Mr. Django
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,830
- 2,434
Itakuwa hujawahi kufanya kazi za Remote Sensig au GIS Kwa kutumia high resolution satellite images! Walioko kwenye hiyo field hatu/washangai!Mkuu sijawahi kuziona izo ulizotaja ila hii imetisha
Asante. Ila mkuu ninachojua mm satellite nikifa ambacho kipohewani, sana sana nje ya atmosphere na kwakawaida picha zake zinakua aerial photo. Ila Kwa hii picha naona naweza zoom Kila upande tena horizontal . Inaweza kua satellite kweli hii... Au satellite inamaana nyingine zaidi ya mm ninavyo fahamu.Itakuwa hujawahi kufanya kazi za Remote Sensig au GIS Kwa kutumia high resolution satellite images! Walioko kwenye hiyo field hatu/washangai!
Kuna satellite nyingi sana za picha, zikiwemo nilizotaja na nyingine nyingi! Ziko monitored na US department of Defense kwa ukaribu mkubwa.
Makampuni kama akina Google Maps, Bing maps nk wanatumia sana siku hizi kupata street view kama hiyo uliyoweka hapo.
Kwa aina nyingine unaweza tembelea satimagingcorp.com/satellite-sensors
Mkuu hii inaenda Kila upande (360 view). Icheki tena. Ila nikweli itakua imeunganishwa (panorama photo)Hizo ni picha zilizounganishwa kijanja na wala sii picha ya kupigwa imetengenezwa na ukitaka kujua ukweli, picha ya kawaida unaweza ku izoom kila sehemu au kila pande lakini hii inakupeleka hapo hapo tuu waliposimama hayo maroboti ya watu
Ila imejitaidi au sio.Mbona hapa hola ?View attachment 971758
Ka screen kako hakana pixels za kutosha.Mbona hapa hola ?View attachment 971758
Mmmh ila brother, street view images hazipigwi na satellite, wanyamwezi wanapitabna magari mitaani na makamera ya kisasa wanapiga mapicha mtindo wa panorama... then wana link na map zao... ndio maana street view nibkwa baadhi ya sehemu tu ... sio kila mahali... ila map kama Google maps / earth wanatumia satelliteItakuwa hujawahi kufanya kazi za Remote Sensig au GIS Kwa kutumia high resolution satellite images! Walioko kwenye hiyo field hatu/washangai!
Kuna satellite nyingi sana za picha, zikiwemo nilizotaja na nyingine nyingi! Ziko monitored na US department of Defense kwa ukaribu mkubwa.
Makampuni kama akina Google Maps, Bing maps nk wanatumia sana siku hizi kupata street view kama hiyo uliyoweka hapo.
Kwa aina nyingine unaweza tembelea satimagingcorp.com/satellite-sensors
Wakifunga bongo kama CCTV tunaitaji nne tu kuangalia dar nzima
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mbona hapa hola ?View attachment 971758
mleta mada angetueleza kdogo camera aina gan imetumika hapo maana ni shidah
Mkuu hapo Bado sijafahamu ila lazma ziwe spesho sana.
Hizo ni picha zilizounganishwa kijanja na wala sii picha ya kupigwa imetengenezwa na ukitaka kujua ukweli, picha ya kawaida unaweza ku izoom kila sehemu au kila pande lakini hii inakupeleka hapo hapo tuu waliposimama hayo maroboti ya watu
上海超级全景Mkuu BirdsEye ni satellite imagery! Ifuatilie vyema!
Tumia google chrome mkuu utaionatuwekee mkuu tuione basi