~~~~ ~~~~

~~~~ ~~~~

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,368
Kifo alimwendea kijana nakumwambia ''leo ni siku yako''Kijana akajibu ''sipo tayari''kifo akamwambia tena ''ila jina lako ndo linalofuata kwenye list yangu''Kijana akamjibu kifo ''kwanini usikae chini nikupe chakula ule kwanza?''kifo akajibu apewe huo msosi.Kijana akampa chakula ambayo amechanganyia na dawa za usingizi,kifo alipokula akajikuta amelala,kijana akachukua karatasi yenye majina na kulifuta jina lako mwanzoni na kuliweka mwisho...kifo alipoamka akamwambia kijana,''kwa ukarimu ulionifanyia nitaanza na mtu wa mwisho kwenye list kuja juu''.. mh kijana akaanza kujikojolea.
 
Siku ya birthday ya binti yangu nilimnunulia IPHONE,alifurahi sana.
Siku ya birthday yangu mke alininunulia IPOD nikaona poa tu.
Siku ya birthday ya mke wangu nikamnunulia IRON,mara nashangaa ile namkabidi zawadi akanitandika na kiti mpaka nikazimia,sasa hapo tatizo nini?
 
Kifo alimwendea kijana nakumwambia ''leo ni siku yako''Kijana akajibu ''sipo tayari''kifo akamwambia tena ''ila jina lako ndo linalofuata kwenye list yangu''Kijana akamjibu kifo ''kwanini usikae chini nikupe chakula ule kwanza?''kifo akajibu apewe huo msosi.Kijana akampa chakula ambayo amechanganyia na dawa za usingizi,kifo alipokula akajikuta amelala,kijana akachukua karatasi yenye majina na kulifuta jina lako mwanzoni na kuliweka mwisho...kifo alipoamka akamwambia kijana,''kwa ukarimu ulionifanyia nitaanza na mtu wa mwisho kwenye list kuja juu''.. mh kijana akaanza kujikojolea.
:hatari: Duh! kweli kifo hakikimbiwi! :hatari:
 
Maua:mi nimefana na mimea
Parachichi:mi nimefanana na ubongo wa mtu.
Uyoga:mi nimefanana na mamvuli
Ndizi:Oya ebu acheni hiyo mada,mnadhani mi nimefananaje.
 
Mme:mke wangu hivi nikishinda shilingi bilioni 1 kwenye shindano la Bingo utafanyaje
Mke:aah utanipa nusu niende kwetu nikuache
Mme:haya nimeshinda sh 1000 chukua nusu nenda kwenu nisikuone.
 
Kifo alimwendea kijana nakumwambia ''leo ni siku yako''Kijana akajibu ''sipo tayari''kifo akamwambia tena ''ila jina lako ndo linalofuata kwenye list yangu''Kijana akamjibu kifo ''kwanini usikae chini nikupe chakula ule kwanza?''kifo akajibu apewe huo msosi.Kijana akampa chakula ambayo amechanganyia na dawa za usingizi,kifo alipokula akajikuta amelala,kijana akachukua karatasi yenye majina na kulifuta jina lako mwanzoni na kuliweka mwisho...kifo alipoamka akamwambia kijana,''kwa ukarimu ulionifanyia nitaanza na mtu wa mwisho kwenye list kuja juu''.. mh kijana akaanza kujikojolea.
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa u made ma day boy
 
mkuu nipo ndugu yangu
mambo yako poa
leo nimekuja kutembelea humu bana
dah mkuu mi huwa naingia mida ya usiku ila makaratasi yananifanya niwe bize kupitiliza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom