180 wakamatwa kwa 'maandamano ya Kinyesi' Afrika Kusini

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,450
33,359
180 wakamatwa kwa 'maandamano ya Kinyesi' Afrika Kusini

Ukosefu wa usafi wapelekea wananchi kuandamana wakitumia kinyesi ishara ya kukosa vyoo mjini Cape Town.

Kiongozi wa upinzani naye alitupiwa takataka na wananchi waliojawa ghadhabu wakitaka kujengewa vyoo vya kutosha

Habari - BBC Swahili


 
siyo kila kitu serikali iwafanyie,inafaa wajiongeze vitu vingine,adi vyoo wajengewe ni aibu hii
 
Back
Top Bottom