16 Texts Every Man Wishes His Woman Would Send Him

Yaani acha tu, ni raha iso kifani, unajihisi dunia nyingine kabisaaaa, daaah mapenzi matamu ukipenda unapopendwa.

Teh nyie mapenzi haya mwee. Ishawahi kukukuta mtu kakukaa moyoni na mdomoni kiasi kwamba unajikuta tu mtu wa mbele yako unamuita jina la baby "pauloo" ( mfano tu)

Au ile Unawaza ngoja nimpigie, Unashangaa unanyanyua tu simu na yeye huyo anakupigia teh. Khaa yani kuna muda unahisi wewe ndo mwenye furaha dunia nzima, wenzio hawana teh
 
Haha thank you. What can a brother say? I got it good.
 
Teh nyie mapenzi haya mwee. Ishawahi kukukuta mtu kakukaa moyoni na mdomoni kiasi kwamba unajikuta tu mtu wa mbele yako unamuita jina la baby "pauloo" ( mfano tu)

Au ile Unawaza ngoja nimpigie, Unashangaa unanyanyua tu simu na yeye huyo anakupigia teh. Khaa yani kuna muda unahisi wewe ndo mwenye furaha dunia nzima, wenzio hawana teh

Mnajikuta tu mnafanana, mkiwa pamoja dunia yooote ni yenu, achana kabisa na mapenzi ya dhati.
 
Kabisa sio wewe tu ni stage kila mtu atapitia/alipitia,kinachonishangaza mibibi bomba Kama kina Evelyn Salt ina wajukuu bado wana akili za watoto wa 20s wakati washafika hadi Menopause,kwa Mtoto kuandika Hiyo post haushangai kabisa.
Mkuu ukiona hivyo ujue mhusika/Wahusika waliruka stage hiyo ktk Maisha yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom