16 Texts Every Man Wishes His Woman Would Send Him

16 Texts Every Man Wishes His Woman Would Send Him

Kabisa sio wewe tu ni stage kila mtu atapitia/alipitia,kinachonishangaza mibibi bomba Kama kina Evelyn Salt ina wajukuu bado wana akili za watoto wa 20s wakati washafika hadi Menopause,kwa Mtoto kuandika Hiyo post haushangai kabisa.

Kwendraaa qmamae unang'aa sharubu hapa afu wajitia una majukumu, umepewa mwaliko mwende jukwaa la majukumu huku mtoke hapa.... Bibi nmekuzalia shangazi ako mfyuuu
 
Kwendraaa qmamae unang'aa sharubu hapa afu wajitia una majukumu, umepewa mwaliko mwende jukwaa la majukumu huku mtoke hapa.... Bibi nmekuzalia shangazi ako mfyuuu

Single Bibi mna shida sana ma stress kibao,mtapata soko la vitoto vidogo hivyi vyenye balehe mvibemende Ila wenye akili kubwa hampati,endelea kushabikia ngono utaokota kina nuhu mziwanda humu JF.
 
Bro hao wtt wa kike wanapatikana wapi??..Hii Dunia nilipo sijakutana nao aisee

Daah pole daddy angu, kweli yule tapeli alikuwa anakudhulumu mahaba. Sema tu ndo vile wewe mzee wangu, Ningekupa kisample kidogo amazing ila kigazeti kama kawaida lol. Akija ma mdogo mpya ntamtrain mapema akupe raha za duniani bana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom