Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,913
- 183,317
Yeah tunatuma hizo msg sana tu, ila sio kwa kila utakayekuwa nae, unapokuwa na yule mtu ambae ni soooo special yaani unajikuta tuuu unazituma tuu hizo na zaidi, yaani unajikuta tu ukizituma, that person ambae ukimuwaza tu unajikuta ukismile.
I love you baby.
Ila sio wote, mingine hata moja hapo hayastahili kutumiwa.
I love you baby.
Ila sio wote, mingine hata moja hapo hayastahili kutumiwa.