150 Hamas operatives surrender to Israeli Defense Forces in Gaza

150 Hamas operatives surrender to Israeli Defense Forces in Gaza

Status
Not open for further replies.
Anaebisha kuwa waarabu na hamas yao hawakona'gotwi yumkini ni mwehu,chizi,kichaa. Msitoke nje ya mada kupoteza lengo.
 
Kama kweli wanaweza muda vita kama mnavyowasifia ebu pawe na usawa basi , inawezekanaje Izrael anatumia madege, vifaru, mabomu lakini hawa jamaa maroketi ! vipi kama na wao wangekuwa na vifaa hivyo unazani mambo yangekuwaje?[/
kwani 1967 mambo yalikuaje?
 
Sasa wewe ndugu yangu chizi au vipi! Unalinganisha watu ambao wanapewa kila silaha na NATO, mpaka NUCLEAR Power na watu ambao wamewekewa vikwazo vya silaha wanapigana kwa maroketi ya kutengeneza wenyewe, tena kwa zana hafifu, ndani ya mahandaki kama digidigi. Mbona wenzetu mnatuchosha, au bongo zenu ni kama za nyani!

hizo technology za nuclear na atoms bila myahud (einsten) zisingekuwepo dunian...israel hawapewi misaada bure ati...akili zao ni rasilimali tosha..
 
kwani 1967 mambo yalikuaje?
Soma hii hapa habari, nimeipata somewhere lakini inaonekana kuandikwa na kamanda Yericko Nyerere
[h=1]Vita vya YOM-KIPPUR na funzo kwa dunia[/h] By
Yericko Nyerere

Tupokwenye miaka 40 toka vita vya YOM-KIPPUR kuanza vita hii ilianza tarehe 06-10-1973 nchi za kiarabu zilijipanga vilivyo ili tu kurejesha ardhi zao walizopoteza katika vita vilivyovunja record ya Dunia vita vilivyopiganwa kati ya nchi za Ki-arabu na Israel kwa mda wa siku sita Mwaka 1967 na majeshi ya nchi za Ki-arabu kusalimu Amri na kuacha ardhi zao kutekwa na askari wao kwa mamia kupoteza maisha yao na Maelfu kutekwa.
Vita hii iliacha maumivu na makovu makubwa sana katika ulimwengu wa Kiarabu hata kupelekea nchi hizo hasa Misri na syria kuanza mikakati ya kukomboa ardhi zao zilizotekwa na Mjeshi ya Israel,kwa maana syria milima ya Ki-mbinu ya Golan ilikuwa imetekwa na kwa upande wa Misri ilipoteza Jangwa lote la sinai ikiwa pamoja na Mfereji wa Suez nchi hizi zilikuwa na machungu sana hasa ikichukuliwa kuwa nchi iliyowashinda ni ndogo sana hivyo mipango iliyofanywa mwaka 1973 ni kuzikomboa ardhi zilizotekwa baadaye kuifutilia mbali Israel katika uso wa Dunia.
Mipango ya kuivamia Israel ilipangwa ifanyike siku ya Jumamosi ambapo kulikuwa na sikukuu ya Kiyahudi inayojulikana kama YOM-KIPPUR,Siku hiyo Israel ilipata changamoto kubwa ambayo katika historia ya nchi hiyo Kivita haijawahi kutokea, maana siku hiyo Maelfu ya vifaru na Makumi elfu ya Majeshi na ndege za kijeshi zilifanya shambulizi la kushitukiza na kwa pamoja katika mipaka ya Israel ya kusini na kaskazini hii ilikuwa Ishara tosha kuwa Syria na Misri zilikuwa zinataka kurudisha ardhi zao zilizotekwa katika vita vya siku sita vya mwaka 1967.
CHANZO CHA VITA YA YOM-KIPPUR. Baada ya Israel kushinda vita vya 1967 Israel ilipata ardhi kubwa ambayo ilipaswa kulindwa kwa gharama yoyote ili kupata Muafaka wa kisiasa kati ya nchi hiyo na nchi za Kiarabu kwa upande wa Misri Israel ilichukua Sinai na Suez canal hivyo Jeshi la Israel lilipata changamoto kubwa sana kulinda mpaka wote wa sinai na Mfereji wa Suez,Majeshi ya Israel yaliweka vituo vya ulinzi vilivyojulikana kama BAR-LEV line,na kwa upande wa Syria Israel ilichukua Milima ya Golan ambayo kwa Israel lilikuwa eneo jipya lililotakiwa kulindwa kwa nguvu zote maana Ki-Jeshi lilikuwa ni strategic la kimbinu sana Maana milima hiyo ya Golan iko kwenye mwinuko kwa hiyo eneo hilo likishikiliwa na Syria ina maana Majeshi ya Syria yana Uwezo wa kumiliki Kijeshi ndani ya Israel kilomita zaidi ya 25 na wakati huohuo Israel haingekuwa na uwezo wa kupata target Shabaha nzuri kupiga majeshi ya Syria yaliyoko kwenye milima hiyo ya Golan na ndiyo maana mpaka leo Israel haiwezi kuiachia milima hiyo maana kufanya hivyo ni sawa na kujitoa MHANGA kwa jeshi la Israel,Badala yake Inataka kuirudisha milima hiyo kwa kubadilisha na AMANI na Syria ili wawekeane mkataba wa AMANI na kutoshambuliana na Israel ili iweze kupata uhakika wa kutoshambuliwa toka milima hiyo ya Golan.
Baada ya vita vya 1967 Msri na Syria zilianza kujenga majeshi yao ili waweze kukomboa ardhi zao zilizotekwa, Nchi hizo zilihitaji zana za kivita zaa kisasa ili kuweza kummaliza adui yao Israel walihitaji sana kupata silaha toka Urusi wakati huo USSR Walihitaji kupata Ndege aina ya MIG na vifaru aina ya T-62 Vilevile makombora ya kuangushia ndege aina ya SA-2,3,6 na SA-7 pamoja na silaha za kubomolea Vifaru aina ya SAGGER ANT-TANK GUIDED MISSILES.
Kufikia mwezi October 1972 Rais wa misri wakati huo Anwar Sadat aliwahi kuongea na makamanda wake kuhusu kuishambulia israel na ilipofikia mwezi may 1973 vyombo vya kijasusi vya Israel vilikuwa vimepata habari kuwa Misri itaishambulia Israel kupitia mfereji wa Suez Misri walikuwa wanajua kuwa kama Misri itaishambulia Israel basi Syria nayo ingejiunga na kuishambulia Israel kutokea Kaskazini. Vilevile Israel walidaganyika kuwa Misri itaishambulia Israel mara tu itakapopokea ndege aina ya MIG-23 na SCUD-D toka Urusi Jeshi la Israel lilijua kuwa Misri haijapokea silaha hizo toka Urusi hivyo iliamini Misri haiwezi kuanzisha vita hivyo kabla ya kupokea silaha hizo toka Urusi.
Mwezi May na Mwezi August 1973 Majeshi ya Misri yalifanya mazoezi makubwa ya kijeshi katika eneo la mpaka na Israel,Israel nayo ilipoona hivyo ilianza kukusanya askari wake kwa maandalizi ya vita lakini baada ya pale hakukuwa na harakati zingine za kijeshi katika eneo hilo la mpaka hivyo Jeshi la Israel liliona kuwa hiyo ilikuwa kawaida tu yaani waliona kama yalikuwa mazoezi ya kawaida tu.
Septemba 25,1973 Mfalme hussein wakati huo alikutana na waziri mkuu wa Israel wakati huo Mama Gold Meir wakati huo Mfalme Hussein alishakutana na Rais Sadat na Assad wa Syria na alimwonya waziri mkuu wa Israel kuhusiana na kukalia eneo la Syria la milima ya Golan na Sinai eneo la Misri,Baada ya kumalizika kikao hicho na Mfalme Hssein waziri mkuu wa Israel pamoja na waziri wa ulinzi wa Israel wakati huo MOSHE DAYAN pamoja na vyombo vya Kijasusi vya Israel waligundua moja kwa moja kuwa Misri ingewashambulia wakati wowote.
Masaa machache tu kabla ya Misri kuishambulia Israel tarehe 06-10-1973 waziri mkuu Golda Meir na waziri wa Ulinzi Moshe Dayan na Mkuu wa utawala jeshini Gen.David Elazar kwa pamoja waliamua kuwaita wanajeshi wa anga wale wa akiba na wale wa vifaru wale wa akiba maana walijua hapo sasa vita haiepukiki.
Kabla ya vita siku hiyo majeshi ya pande zote mbili yalikuwa na zana zilizokuwa zinakisiwa kuwa hivi:
ISRAEL
Ndege za kivita 358
Vifaru 2100
Meli za kivita 37
MAADUI ZAKE
Ndege za kivita 998
Vifaru 4350
Meli za kivita 137


Ilipofika saa nane kamili mchana majeshi ya Msri na yale ya Syria yalianza kumimina makombora kuelekea katika sehemu zilizokuwa zinakaliwa na Israel,Misri na Syria zilichagua siku ya jumanosi maana ilikuwa ni sikukuu ya kiyahudi ya YOM KIPPUR waliona siku hiyo wayahudi wote huwa wanasherehekea hivyo ilikuwa upenyo mzuri sana kwao.
Kwa upande wa Sinai majeshi ya Msri yaliweza kuvuka mfereji wa Suez kupitia sehem tano tofauti na kwa upande wa mizinga Misri iliweza kukipiga kituo cha wanaanga wa Israel waliokuwa Refidim katika jangwa la sinai na vikosi vingine vya mizinga vya Israel vilishasmbuliwa na mizinga ya Misri,na kufikia saa 11 jioni maelfu ya Wanajeshi wa misri walikuwa wamefika upande na kulikamata eneo lote la mashariki mwa mfereji wa Suez na wakati wa usiku vikosi vya vifaru vilivuka mfereji wa Suez hapo ndipo hali ya uwanja wa vita ilibadirika kabisa kwa Israel uwepo wa askari wa miguu wa Israel na mizinga yao hakukuweza kuyasimamisha majeshi ya Misri. Division ya 252 na Brigedi ya 14 ya kikosi cha vifaru viliadhirika vibaya sana asilimia kubwa ya vifaru vyao vilikuwa vimeangamizwa na silaha aina ya SAGGER ANT-TANK GUIDED MISSILES toka Misri.
Jeshi la anga la Israel lilipoitwa ili kudhibiti majeshi ya Misri,Ndege hizo zilijikuta zinaangushwa na mizinga ya kuangushia ndege, Misri iliweza kuzitungua ndege za Israel kiasi cha kuzimalizia uwezo wa kushambulia na baada ya kujipanga vizuri na kujua namna ya kukwepa makombora ya kuangushia ndege aina ya SA-7 ndege za Israel ziliweza kuziangamiza helcopter zilizokuwa zimebeba Makamandoo wa misri na kuweza kuzitungua ndege 7 aina ya MIG kwenye uwanja wa mapambano. mapambano hayo yalifanyika kusini mwa mfereji wa Suez ndege hizo ziliangushwa na ndege za Israel aina ya PHANTOM.
Kwa upande wa milima ya Golani majeshi ya Syria yaliweza kusonga mbele huku mizinga na vifaru pamoja na askari wa miguu waliweza kumiminia mizinga,risasi majeshi ya Israel kwa saa nzima mfululizo wakati huo Israel ilikuwa na Brigedi mbili za vifaru Division ya 36th ndiyo ilikuwa mstari wa mbele na Brigedi 188th nayo ilikuwa na jukumu la kulinda sehemu ya kusini ya mlima wa Golani na Brigedi ya 7th ilikuwa na jukumu la kulinda sehemu ya kaskazin mwa mlima Golan hivyo vifaru vya Israel havikuweza kuvishambulia vikosi vya Syria sababu havikuwa kwenye RANGE ya kuweza kushambuliwa.
Mapigano ya vifaru yalianza tu siku hiyo baada ya jua kuzama majeshi ya Syria yaliweza kupenya ngome za Majeshi ya Israel kwa kuwa walikuwa wanatumia NIGHT-VISION viona usiku hivyo vilisaidia sana majeshi ya vifaru vya Syria vifaru vya Israel vilivyokuwa upande wa kaskazini havikuweza kufua dafu mbele ya vikosi vya Syria,vifaru vya Syria viliweza kushika sehemu ya kusini mwa mlima Golan na ilipofika asubuhi ya tarehe 07-10-1973 vifaru zaidi ya 600 vilikuwa vimeingia ndani ya ardhi ya Israel na vilikimbilia kwenda kulishika Daraja mhimu la nto Jordan na kambi ya kijeshi ya Nafar,Israel pia ilipoteza mlima wa HELMON ambao ulikuwa wa kimbinu strategic nao uliangukia mikononi mwa majeshi ya Syria hili lilikuwa pigo kubwa kwa majeshi ya Israel.
Kwa upande wa majini majeshi ya Israel yaliweza kuziangamiza boat zilizokuwa zinabeba makombora za Syria na miji yote iliyokuwa inazunguka milima ya Golan wakazi wake waliondolewa na majeshi ya Israel.na baada ya siku 18 Majeshi ya Israel yaliweza kujijenga upya na kuchukua tena eneo lote la milima ya Golan na mlima Hermon
 
Last edited by a moderator:
Waarabu wote wamesha wakimbia. Hamas sasa wanalia na kuomba msaana UN
Halafu kuna watu hapa JF wanakesha wanatuambia eti Israel imezidiwa na Hamas, watu wengine wa ajabu sana yaani wanapiga propaganda kwenye mtandao huku uhalisia ukiwa unaonekana kabisa...
 
Hayo ya 1969s na 70s
Wakati huo nchi hizi za kiarabu zilikua na wingi wa wanajeshi lakini vifaa hafifu na mafunzo hafifu pia. Vifaa vyao vingi vya kirusi na china na zana zenyewe ni mabaki ya silaha vita kkuu ya pili.israel kwa upande wao walikua na silaha za kisasa na misaada mikuu kutoka usa na europe.
Vita yote alikuwa akisaidiwa inteligence na usa na nchi za europe.hawakua peke yao.
Pia ukumbuke vita vyote hivo vilipigwa muda mfupi sana na israel ikilazimisha usa wafanyr suluhu ni wazi wasingeweza kupigana na nchi za kiarabu muda mrefu ni sawa na suicide.wanajua vizuri ndio hata vita hivi na wanamgambo tu wa hamas na hizbollah hutumia strategy ya kuharibi infrastructure na kuua raia zaidi ili kuharakisha suluhu.
Ni wazi israel haiwezi hata siku moja kuwamo ndani ya vita kama serikali ya syria kwa zaidi ya miaka 3...israel hauwezi ku suvirve...kwanza nusu ya wayahudi watakimbia ni woga wapenda kuishi.huvyo vita vyao ni kuvunja na kuua raia ili kupata suluhu.kumbuka wakati wa intufada ya mwanzo ambapo palestine walichagiza israel kwa maandamano non stop mpaka israel ikakubali suluhu ya mkataba wa Warsaw.ambapo baadae waliuvunja
Tuongee wakati huu wa 2000s israel ilipigana na nchi gani ?
Kwa wakti huu israel imepigana na mgambo tu wa hamas na hizbollah.
Mara zote hizo hupiga na kuua zaidi watoto na wanawake.na kuharibu miundo mbinu. Wanaookabiliana durect na mgambo hao huambuli vifo kama hisbollah iliwaua askari 129 mwaka 2008 na sasa hivi wameulliwa 39 na hamas.
Hivo wayahudi hawana lolote stratrgical wapo exposed sana kushambuliwa. Tatizo nchi za kiarabu wana inaongozwa na puppets na ukweli arab spring bado kuleta mafanikio ya democracia na kuondoa vibaraka wa usa.
Siku nchi hizi zikiwa huru kama iran basi ndio mwisho wa israel
 
Kama kweli wanaweza muda vita kama mnavyowasifia ebu pawe na usawa basi , inawezekanaje Izrael anatumia madege, vifaru, mabomu lakini hawa jamaa maroketi ! vipi kama na wao wangekuwa na vifaa hivyo unazani mambo yangekuwaje?
mbona six days war na yom kipur war waarabu walikua na madege ya urusi, Vifaru na makombora lakini walichakazwa ndani ya mda mfupi sana? In short muarabu anaujua mziki wa myahudi hilo halina ubishi, kamuulize tu muegypt atakupa full details,waarab wanamuogopa myahudi,ndoto zao ni kumuondoa myahudi midle east, lakini sasa wataanzaje? Hapo ndo kazi ilipo, wangekua na uwezo huo wangeshafanya zamani sana, na ushahidi upo kwamba washajaribu na wakashindwa vibaya, rais aliyepita wa iran ahmednejad alishasema kwamba israel ni cancer, so hao wapalestina nyuma yao yapo mataifa yote ya kiarabu, ila wengine wapo kwa kificho
 
unatuletea habari ya enzi ya ukoloni.ongea mambo ya sasa.mpaka leo israel hajaweza kuiteka gaza.hawana kitu wanasaidiwa na technology.
Na mpaka leo waarabu wa syria hawajaweza kulikomboa eneo la golan heights walilolipoteza kwenye six days war, kipi sasa kinawafanya washindwe? Kama wana uwezo huo si warudishe hilo eneo kwenye himaya yao? Pia misri alipoteza eneo la sinai kwenye hiyo vita, misri angekataa kuitambua israel kama taifa asingerudishiwa hilo eneo la mlima sinai, egypt aliona kulikomboa hilo eneo kijeshi hatakaa akaweza, mwenzako akaomba suluhu mapemaa?
 
Hayo ya 1969s na 70s
Wakati huo nchi hizi za kiarabu zilikua na wingi wa wanajeshi lakini vifaa hafifu na mafunzo hafifu pia. Vifaa vyao vingi vya kirusi na china na zana zenyewe ni mabaki ya silaha vita kkuu ya pili.israel kwa upande wao walikua na silaha za kisasa na misaada mikuu kutoka usa na europe.
Vita yote alikuwa akisaidiwa inteligence na usa na nchi za europe.hawakua peke yao.
Pia ukumbuke vita vyote hivo vilipigwa muda mfupi sana na israel ikilazimisha usa wafanyr suluhu ni wazi wasingeweza kupigana na nchi za kiarabu muda mrefu ni sawa na suicide.wanajua vizuri ndio hata vita hivi na wanamgambo tu wa hamas na hizbollah hutumia strategy ya kuharibi infrastructure na kuua raia zaidi ili kuharakisha suluhu.
Ni wazi israel haiwezi hata siku moja kuwamo ndani ya vita kama serikali ya syria kwa zaidi ya miaka 3...israel hauwezi ku suvirve...kwanza nusu ya wayahudi watakimbia ni woga wapenda kuishi.huvyo vita vyao ni kuvunja na kuua raia ili kupata suluhu.kumbuka wakati wa intufada ya mwanzo ambapo palestine walichagiza israel kwa maandamano non stop mpaka israel ikakubali suluhu ya mkataba wa Warsaw.ambapo baadae waliuvunja
Tuongee wakati huu wa 2000s israel ilipigana na nchi gani ?
Kwa wakti huu israel imepigana na mgambo tu wa hamas na hizbollah.
Mara zote hizo hupiga na kuua zaidi watoto na wanawake.na kuharibu miundo mbinu. Wanaookabiliana durect na mgambo hao huambuli vifo kama hisbollah iliwaua askari 129 mwaka 2008 na sasa hivi wameulliwa 39 na hamas.
Hivo wayahudi hawana lolote stratrgical wapo exposed sana kushambuliwa. Tatizo nchi za kiarabu wana inaongozwa na puppets na ukweli arab spring bado kuleta mafanikio ya democracia na kuondoa vibaraka wa usa.
Siku nchi hizi zikiwa huru kama iran basi ndio mwisho wa israel
Sasa mkuu umesema tuongelee 2000s, haya
Tukirudi kwenye hizo vita za 60s na 70s tunaona kwamba muarabu ndo aliyeanza kumshambulia myhudi(six days na yom kipur) coz wao ndo wanaotaka kumuondoa hapo mido east, sasa tukija kwenye 2000s unasema iran yuko huru, sasa kwa nini asiingie vitani direct kumsaidia hamas na kuyakomboa yale maeneo ya waarabu wengine waliyoyapoteza kwa hizo past vita?
 
hawana silaha lakini karibu wiki ya tatu waisrael hawajaweza kuuteka gaza,japo hujisifia walizipiga kwa siku sita nchi za kiarabu kipindi hicho waarabu bado wanapigania SAR.

acha story za vijiweni wewe siku sita waarabu walichakaa hoi taaban hawatarudia tena ule ujinga. wayahudi wakiamua kuichakaza Gaza ni kufumba na kufumbua
 
Wamesha chukua mashimo"tunnels" yenu yote ndio maana sasa husikii yale maroketi yakitupwa hovyo. Jifunze kufuatilia habari kwa umakini.



images


images
images
pesa ya waarabu ya mafuta. wamewekezakuchimba migodi ya ugaidi. ha ha ha
 
Wamekamata raia tu.
Mujahidin hajisalimishi
Wana strict order
Askar wote wa hamas wanajulikana mavazi yao.
Israel haikuambulia kitu zaidi ya PR dilema .
Wameua vitoto na wanawake basi.
Hamas in mujahidin 20000.
Na walokufa ni wachaache.

Nami kasemaa israel hapigwi? Yaani ukitaka kujua hawa israel sasa hivi hawana kitu angalia vipi siku 16 tu za kupambana ma vikoso vya hamas ambao mafunzo yao yanafanywa ndani ya nyumba tu kwa kujificha .hamas hawana vufaru
Hawana ndege na helicopter
Hawana meli za kivita
Hawana mizinga
Hawana radar
Hawana vifaa vya usiku
Hawana magari ya deraya
Hawana silaha za kuharibu vifaru au ndege.lakini mujahudin hawa kwa ushujaa tu tayari majeshi komandio 39 wamekufa !!!!
Ni wazi hi jeshi hamna kitu.
Kigezo cha vita vya zamani ambapo warabu hawakua na ujuzi na silaha za kutosha.
Ni wazi hamas wakipata silaha basi israel itasaim amri.

Eti "Israel wameua Vitoto na Wanawake basi" kwani wao siyo Binadamu??! Acha kuandika Upumbavu!! Kumbe ndiyo maana mnaambiwa mnawatumia as human shield!! Nilikuwa siamini! Kama hao Hamas wana akili iliyochacha kama yako hakika wapalestina wasio na hatia wataendelea kufyekwa tu!
 
Pilato goes "Jamani eeh, kila PASAKA Serikali ya Kirumi ina utamaduni wa kuwachia huru wafungwa wasio na kosa la jinai - sasa kati ya YESU na hawa majambazi wawili tumwachie/fungulie nani?" Je, Wayahudi walijibu nini? "Wachie huru majambazi, mfungeni Yesu - kwanza anajigamba kwamba yeye ni mwana wa Mungu!!" Maneno haya yalitamukwa na Wayahudi karne ishirini zilizo pita!! Nikiangalia ukatiri uliyo pitiliza mipaka wanao wafanyia Wapalestina - Wayahudi bila aibu wanaua mbu kwa kutumia a sledgehammer, binafsi sioni dalili kama wamebadilika chochote miaka nenda rudi - wanaendeleza uongo wao iliyo kubuhu kwa kutumia mainstream media wanazo own Merikani na Ulaya kueneza propaganda zao, katika nyanja hizo hawajambo sana - we chukulia mfano wa picha wanazo dai zinaonyesha eti Wapalestina walio-surrender, kila binadamu mwenye akili timamu anajua fka kwamba Wapalestina ni majasiri kweli kweli hawawezi hata siku moja kukubali to go down without putting up a fight 2 a bitter end if need be.

International Community inapaswa kuwakemea binadamu hawa na kuwalazimisha warudishe aridhi wanayo kalia kimabavu na kujenga makazi ya kudumu kwenye aridhi ya Waarabu, wawaheshimu Wapalestina wajiamulie mambo yao wenyewe, pasiwepo na double standard Wapalestina waruhusiwe kumiliki ndege za vita, vifaru, mabomu ya Nuclear na ya kibaiolojia -oh yes, pawepo usawa wa umiliki silaha kali kati ya Wayahudi na Wapalestina, wakiwa na nguvu sawa kijeshi hapo ndipo Wayahudi watajifunza kuwa heshimu binadamu wenzao.

Merikani ikiendelea kudekeza jamaa hawa - Dunia siku moja inaweza kujikuta inaingia vita ya tatu ya Dunia kutokana na ulaghai wao wa kujifanya Waarabu na WA Persia/Iran wana mpago wa kuvamia Taifa lao, hawataki Taifa lolote mashariki ya kati liwe na nguvu kijeshi - wanataka wabaki wao TU waendeleza ubabe wao.

Genious! Na huu ndiyo Uislam!
 
Eti "Israel wameua Vitoto na Wanawake basi" kwani wao siyo Binadamu??! Acha kuandika Upumbavu!! Kumbe ndiyo maana mnaambiwa mnawatumia as human shield!! Nilikuwa siamini! Kama hao Hamas wana akili iliyochacha kama yako hakika wapalestina wasio na hatia wataendelea kufyekwa tu!

Ndio watafyekwa kwa sababu washenzi walolaaniwa ndio strategy yao ya vita ua watoto vunja miundo mbinu . Hatushangai ndio mila yao.
Wwzungu walijua haya .
Waliona nunda huyu akiwako ulaya huko haya yange tokea kwao ulaya
Wakaawachinja wakawa choma na acid na walobaki wakawafukuza.
Waliwapeleka palestine na sasa kweli wanainesha tru character yao...unyama wao.
Wanainesha kwa nini walilaaniwa ..wameua mitume yao wenyewe itakua watoto wa palestine ? Hatushangai hata...
Na leo Alhamdulilah dunia nzima inaandamana kupinga ushenzi wa hawa mayahudi washenzi...sio mbali hao hao wwzungu walo waleta palestine wataona hawa ni virusi ukoma ogopa wenyewe watawashughulikia....
watabakia wayahudi weusi ndo wana wasuport ..hawa wenyewe wayahudi huwaita Goyim....yaani vijibwa vidogo ambao hupenda kumramba bwana wake kujipendekeza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom