15 Reasons Why Couple Breaks - Up | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

15 Reasons Why Couple Breaks - Up

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by VoiceOfReason, Jan 24, 2011.

 1. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  1. Desire to be independent.
  2. Getting attracted to another person.
  3. Infidelity.
  4. Physical incompatibility.
  5. Less attracted to the person in a sexual way.
  6. Lack of proper body maintenance, like becoming too fat.
  7. Conflict in tastes and desires.
  8. Continuous nagging.
  9. Comparing the man or woman to others constantly
  10. Imparting unsolicited advice all the time
  11. Addiction to alcohol or drugs
  12. Deterioration in the health of one spouse or suffering from incurable ailments like HIV
  13. Physical and mental abuse and exhibiting sadistic tendencies
  14. Ignoring or showing disrespect to friends and relatives of one spouse
  15. Impotency or inability to bear children.
  MY TAKE...
  Mengi hapo juu tunaweza kuyavumilia ...... UVIMILIVU..., thats all needed in Relationship..., Je mnadhani among the above ni kipi hakivumiliki?
   
 2. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu ukame wa mshiko(pesa) unaweza kuwa sababu pia?
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  True tena hii nahisi ipo sana huku kwetu..., (lakini nadhani hii tunaweza kuiweka kwenye conflict in tastes and desires)
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Siwezi kuvumilia infidelity jamani.
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  kwahiyo mtu akiwa muaminifu hayo yote mengine hakuna neno....? mi nadhani physical and mental abuse ni mbaya zaidi..., je vipi kuhusu kumpenda mwingine au wewe moyo wako ukashapenda hauwezi kuacha ?, Does this mean kwamba wewe utakuwa faithfully wakati wote?
   
 6. deom2i

  deom2i Member

  #6
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo!

  number 4,7,13,14 :A S-fire1: yanakera kulikoni na wengi wanaachana kwa vile ya hayo. Magojwa, malalamiko na mengineyo yanahusisa sana husiano wa wapenzi kuvumiliana.
   
 7. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Jamani kwa kua sina experience ya kuacha sina neno katika hili...ngoja nizeeke zeeke kwanza!
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na yote unayosema lakini physical incompatability nadhani ni kumuonea mwenzako.., kwani hukujua mwanzoni mlivyoanza unless kama relationship yenu ilikuwa fupi sana.
   
 9. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Je kuachwa??, au ni kipi ambacho mwenzako leo akikileta utamuonesha mlango....,
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Jan 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Well tungeanza na kutaka kujua nini kinapelekea hayo yote maana kama yanaweza kuvunja mahusiano ina maana hayakuwepo mwanzoni au hayakua tatizo...sasa nini kinayageuza kua tatizo?

  1.What would make someone feel like they need/have lost their independence all of the sudden?
  2.What would make make a person attracted to other people and not you any more??
  3.What would push someone to cheat on you if it's not infact a common behaviour to him/her?
  4.What could change your physical compatibility to incompatibility?
  5.What would cause one to be less sexually attracted to their partner?
  6.What makes one so comfortable that they let go of themselves?
  7.What would be the reason behind change in taste and desires if the two were on the same page in the begining?
  8.What makes someone starts nagging nonstop?
  9.What would drive one to start comparing you with others in a way that you always end up beneath them rather than above?
  10.Why and when does unsolicited advice turn out to be a bad thing?
  11.Why and when does one develop addiction to substances that he/she didn't have before?

  Swala la uvumilivu linategemea sana na nini kilichopelekea tabia fulani kuibuka bila kusahau kwa zile ambazo zilikuwepo tangu mwanzo nini kinachozifanya kua tatizo kama zilikuwepo na ulizifahamu tangu mnaanza mahusiano.

  Vitu vingine hapo wala havihitaji uvumilivu ni swala la kujirekebisha kwa upande wako ili kuondoa kero upande wa pili!
  Kwa mfano no.10.....nini kinamfanya awe wakukupa ushauri kila saa bila hata kuomba kama sio ameona unachofanya sio au unakosea??Kwanini hilo liwe tatizo ikiwa yupo kwenye position ya kukupa ushauri?

  no.8 ina mawili...kuna yule anaelalamika hata pasipo sababu na kuna yule anaelalamika kwasababu you don't seem to do anything right!!Husikilizi..majukumu yako huyafanyii kazi n.k!Hapo hamna cha kuvumilia ni swala la kusikiliza na kurekebisha pale unapokua unakosea!

  All in all kwa maoni yangu kujua/gundua chanzo cha tatizo kunarahishisha maamuzi ya je mtu anaweza kuvumilia au la!!!
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  uaminifu wa mtu huweza kuvunjika kutokana na jambo la 2, 5 na hata la 9. Matokeo ya infidelity inaweza kuwa 12,13 na 14. Kwa hiyo uaminifu pekee. haujajitosheleza hapo.
  Kuhusu kumpenda mwingine ni kwamba moyo wangu ukipenda huwa unaridhika na nikipenda nimependa na siwezi kuacha labda kama itanilazimu kuacha kutokana na sababu ulizotaja.
  Mwisho, sijui kama naweza kuwa faithfull siku zote kwa sababu sa nyingine mpenzi wako anaweza akafanya na wewe usiwe faithfull kutokana na tabia/matendo yake.
   
 12. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #12
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Nielekeze kwenu nilete posa....:)
   
 13. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #13
  Jan 25, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  mmh.. sasa hizi ndizo mada zinahusiana na mahusiano ya ukweli siyo "nilimchungulia jirani akioga, sikujua nifanye nini" !
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  ha ha ha ha!
  Tatizo kwetu mbagaraaaaaaaaa
   
 15. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Uliyoongea ni ya kweli kabisa hadi nimeshindwa kukuchallenge... Lakini nadhani problem kubwa people never show their true colours mpaka umekaa nae kwa muda mrefu.. unaanza kusema mmmhhh fulani kabadilika siku hizi, kumbe ndivyo alivyo ila it was honeymoon period.

  Pia Couples wengi huwa wanaingia kwenye mahusiano wakidhani kwamba wanaweza wakambadilisha mtu tabia zake, ambapo mara nyingi ni vigumu ... "A Zebra never Changes its Stripes...." so the only way out is to accept a Rose with its Thorns
   
 16. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #16
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Kizuri ni Kizuri tu hata kiwe wapi, Sometimes Roses zinaweza kuwa kichakani lakini kwa uzuri wake inabidi ulifate..., na ukiliweka kwenye glass nzuri linapamba nyumba....
   
 17. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Ingawa macho hayana pazia lakini hapa ndugu ulikusudia..., lakini dont ask dont tell, "asichokijua mwenzako wont hurt anybody" hii iwe siri yako mkuu na mambo yatakwenda kama zamani... after all tamaa ni kitu cha kawaida
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  maneno matamu. Lol!
  Umeyanyuzia asali eeeh?
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  "He who loves 50 people has 50 woes; he who loves no one has no woes" Gautama.
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Jan 25, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mhhh sasa mbona Thanks siioni??Lolzz!!

  Newayz kweli kabisa watu hua wanaficha makucha mpaka waone wako kwenye position amabayo ni ngumu kuwekwa pembeni kirahisi ndo makucha yanajitokeza!!
  Ndo maana kuna siku niliandika hii kitu https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/101189-dondoo-za-mapenzi.html ....ukiwa makini unaweza kumsoma mtu kabla hujajiingiza shimoni!!!
   
Loading...