.

.

Ni kweli japo umri wangu na haya mapesa ni indirect proportional, mpaka kuna muda inabidi uongeze umri au uweke nywele lowasa style kusudi tu upate japo shkamoo though face inakua inNihukumu

Sent using Jamii Forums mobile app


hahhahahahahahahh ! asalaleeee wengn tunachomwa na joto la mabat !wengne mnakula kipupwe na tequila za kutosha olaallaa
 
tena room 1!ova stoo
IMG_20170903_115201.jpg
IMG_20170903_115143.jpg
IMG_20170903_115126.jpg

Pole na Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haaaaaaaaaaahahaahhahhaaaaaaaaaa my ribs !asante sana mkuu !ngoja nipambane tu na hali yangu
Hahah yes pambana na hali yako ila ukikwama unasema mkuu after all, jf ni familia moja. Hii mipunga isikutishe mama, yaan huyo lucchese mwenyewe alivyo simple ukikutana nae unaweza hisi labda ni nanyupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah yes pambana na hali yako ila ukikwama unasema mkuu after all, jf ni familia moja. Hii mipunga isikutishe mama, yaan huyo lucchese mwenyewe alivyo simple ukikutana nae unaweza hisi labda ni nanyupu

Sent using Jamii Forums mobile app


haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhh naogopa kumuita hapa !hahaa ! nina kigodoro soon nitakuomba uniassist kwakwel! teh teh !
 
Hahaha, mama tequila? Ni mwendo wa Cognac Croizet Cuvée Leonie 1858 (limited stuff. Ma kvant nawaachia wakina nanyu nani sijui

Sent using Jamii Forums mobile app



haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ukinywa k vant koo linakwaruza asbh hahaaaaaaaaa jaman !hizo mie nazijulia wapi mkuu !hahahha!kwakweli mume wqangu anadharaulika namna hii !ngj tujipange
 
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ukinywa k vant koo linakwaruza asbh hahaaaaaaaaa jaman !hizo mie nazijulia wapi mkuu !hahahha!kwakweli mume wqangu anadharaulika namna hii !ngj tujipange
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] , kiukweli ukila vizuri, ukanywa vizuri na kulala vizuri lazima tu utakua tofauti na wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom