FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Leo homu boi huku ndani unyenyekevu ''A'' aka Msonge aka Kibanda.......! Yaani mzee unashusha masifu sijui ya zaburi gani ile or kitabu gani vile.........''wanamacho lakini hawaoni, wanamasikio lakini hawasikii, wanapua lakini hawanusi... then....Mungu wetu yupo mbinguni, msifu yeye msifu yeye...etc etc.....seminary raha!
Back to point........we talked mzee! Binafsi naweza nisiwepo kny send off...bt tukio kubwa, we try make sure nakuwepo physically.....and u know this will be in additional to my mchango ambao utaupata in two weeks kny account yako!
Kama nitaenda which will confirm two weeks before tukio, nitakuwa na GX100.....so unayependa kwenda...si zaidi ya watatu....tunaweza tumia usafiri huo pamoja for JF members, tunaondoka Ijumaa 12 Feb and back Sunday 14.
So mkuu Geoff tupo pamoja!

Duuh, isije ikawa ndo hiyohiyo inayozungumzwa hapa, JF ikatoa couple nyingine!! Hebu tusubiri tuone!!Na mimi NAOLEWA tarehe hiyo hiyo wapwazz na binamuzz................sasa inakuaje????????😉
Afu na wewe hebu tubadilishe hako ka avata kako!
natarajia kuondoka hapa dar tar 11/02/2010 kwa ajili ya kuwahi maungamo na mafundisho kidogo kabla ya ndoa!......
Here I am Sir! Please tuwasiliane, nahisi una kamchango ketu.!
wachana na ile kitu kabisa, ile kitu ni special esp ukapata ile fresh.....mweh home sweet home JS....hivi kumbe tupo barabara 1? aika mpora.
today is 13th-january-2010.
kwangu ni siku muhimu zaidi ya kukumbuka
BABA YANGU MZAZI ALIFARIKI TAREHE NA MWEZI KAMA WA LEO MWAKA 2004
ILIKUWA JUMATANO KAMA YA LEO
ILIKUWA SAA TANO NA DK 20 ASUBUHI
i miss you dad!.....
Jamani Xspin kwani imefanyaje??Niko busy nazungusha bambataaa mtoto mashallah usipimie si unaniona mwenyewe hapo navyojishughulisha mpaka basi ilmradi tu unione lakini bado wacomplain>>>>>>>basi ngoja nijibadilishie nirudi kama zamani
Samahani naomba kuuliza, valuu inaruhusiwa ndani ya GX?
thank you very much!oooh pole sana my dear...ni njia yetu sote. may he continue to RIP
Nilikutana na kijana moja................. akanambia sina pesa ya chakula!!Ntaongea na Geoff muziki tufungue kwa twisti afu unizungushie hivyo wakati mi nakwangua soli ya kisigino!
Ntaongea na Geoff muziki tufungue kwa twisti afu unizungushie hivyo wakati mi nakwangua soli ya kisigino!
kwenye send-off rangi watakayotumia watakuwa na light blue,kwavyovyote juu nitavaa shati light blue
Ndio hilo vumbi unalozungumzia?2010-HAPA VUMBI TU!