Mwenye swali yupo msikitini anaswali sasa.
man u maradhi ya figo.
oscar ni fundi
Niambie habari ya meli kuzama, umepata?
Siku zote chagua Ozil π mie na hao mbali mbali kabisaaaaa
Nasubiri dada
Aya nimerudi....nlivohadithiwa ni hivi kuwa hiyo meli haikuzama,ilikua inatokea pemba kufika nugwi pale kwenye mkondo ikapigwa na wimbi kali kwa mbele na kulikua na watu mbele kama 10 wakajitupa kwenye maji au sijui wameanguka ila 5 wameokolea....
Innalillah wainnailaihi raajiun
Hhhahha aya nabadili team mie leo....kuanzia leo arsenal ila ikifungwa tu nahamaπππ
Nshawahi kutaka kuumbuliwa mie kwa ugomvi wa timu...hhhahahaha nkikumbuka nachekaaa.
Karibu sana maskani, ila nakuomba usiondoke tukifungwa mara moja tu, subiri tufungwe mara kumi ππ hapo ndio utastahili kuondoka.
Sawa ntaftieni na t shirt kabisa......naja na mabakuli siku team yetu ikicheza napiga ngoma