Tumia save from net.comMusic tu mkuu. Mimi sio mpenzi wa movie.
Tumia save from net.comMusic tu mkuu. Mimi sio mpenzi wa movie.
Kama unataka video za YouTube kwa simu, hata videoder app inadownload fresh tu tena fasta. Sasa hiyo video ya dakika 5 ina mb 961View attachment 1628899
Tumia save from net.com
Tumia save from net.com
Mkuu natumia iPhone hiyo Videoder kwenye simu yangu ni changamoto, itapendeza ukinipa mbinu kupitia pc, Nahitaji hata hiyo 1080 sawa tu.
chukua vidabox,ila ni kuanzia ios 13 kuendelea.
na video ni kubwa sio kawaida.
Duh hapo mtihani mkuu.
Tatizo jengine la TV hazipo smart kama Simu/pc hivyo ukiweka video ambayo ipo compressed hata kama ni 4k ama 1080p inakuwa haina quality nzuri.Habari za pilika wana Jf, bila kuwachosha ngoja niende moja kwa moja kwenye mada yangu
Kutokana na teknolojia kuongezeka kwenye Tv zetu hadi kufika 4k, 8k n.k lakini kila nikiweka hizi video za 720 kwenye TV yangu naziona hazina ubora unaotakiwa.
Sasa nilikuwa na ombi kama kuna mtu anajua programu ya kuweza kudownload hizi video zenye 1080, au 4k tafadhari naomba msaada wako niweze kupakua mwenyewe kupitia Pc.