1080, 4K Video downloader

1080, 4K Video downloader

Unaweza ukiwa na pc app ya 4k video downloader au videoder. Shida ni ujipange bundle. Video ya nyimbo dkk 3-4 unakuta ina mb 500 - gb1+
 
Unatakiwa ku update browser yako kwanza mkuu..kisha utumie latest version ya idm
And then una add idm extension kweny browser yako..hapo ndio utaweza kuona ikitokea wakati unaplay video

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Hii ilikuwaga haitoi machaguo unataka quality gani. Ilikuwa unadownload tu kwa low quality. Au siku hizi wameboresha?
 
Habari za pilika wana Jf, bila kuwachosha ngoja niende moja kwa moja kwenye mada yangu

Kutokana na teknolojia kuongezeka kwenye Tv zetu hadi kufika 4k, 8k n.k lakini kila nikiweka hizi video za 720 kwenye TV yangu naziona hazina ubora unaotakiwa.

Sasa nilikuwa na ombi kama kuna mtu anajua programu ya kuweza kudownload hizi video zenye 1080, au 4k tafadhari naomba msaada wako niweze kupakua mwenyewe kupitia Pc.
Videorder
 
4k video ya kawaida ya 1gb,inaweza fika 50gb[emoji23][emoji23].
yani kwanza space pili hizo gb zinazotembea halafu kamovie ka 1 hour atleast basi ingekua ni series ila unapoteza 50gb kwa ajili ya movie 1 tu,hizi mbwembwe ni za muda mfupi sana na wengi wenye hizi mbwembwe wanakitete chakuona jinsi utamu wa 4k ulivyo kwenye brand new baby tv zao.

Lakini ni nguvu za soda yani hizi mbwembwe huwa hazidumu hata wiki 1 ni mbwembwe za siku mbili zikizidi sana siku 3 baaada ya hapo tunakutana kwenye 1080 na 720,4k tv inabaki sifa tu kuwa "home nina 4k buana" 🤣
 
Habari za pilika wana Jf, bila kuwachosha ngoja niende moja kwa moja kwenye mada yangu

Kutokana na teknolojia kuongezeka kwenye Tv zetu hadi kufika 4k, 8k n.k lakini kila nikiweka hizi video za 720 kwenye TV yangu naziona hazina ubora unaotakiwa.

Sasa nilikuwa na ombi kama kuna mtu anajua programu ya kuweza kudownload hizi video zenye 1080, au 4k tafadhari naomba msaada wako niweze kupakua mwenyewe kupitia Pc.
Ktk pita pita zangu zote mtandaon au kwenye maduka ya dvd quality ya juu kabisa ni 1080p ata youtube video nying quality haizid io 1080p sasa ndugu yngu ww umeenda adi 4k itabid uwe unanunua Cd tena posta zile library kubwakubwa huku mtaan upawez hata torrent site.save from net site karibu site zote za kudownload quality ya mwisho ni 1080p naamin 4k bdo sn na utapata tabu kupata kaz nying coz 4k it look very clear nahis itabid ulipie na sio free

Kwa yote video tumia savefromnet.com huko quality zote zipo

Kwa movie tumia torrent siye piratebay na kivkasstorrent huko qualitu zote zipo

Ila 4k mmmh huwez we tafuta 1080p
 
Mkuu tunaogopa kuvunja sheria za JF lakini kifupi katafute google "best youtube video downloaders" utazipata, zipo nyingi mno.
Kuna zingine una type URL kwenye web-based application yao unachagua mwenyewe size kama hiyo app uliyoweka picha.

Lakini kama alivyosema mdau hapo juu youtube video nyingi mwisho 1080P.
 
Ktk pita pita zangu zote mtandaon au kwenye maduka ya dvd quality ya juu kabisa ni 1080p ata youtube video nying quality haizid io 1080p sasa ndugu yngu ww umeenda adi 4k itabid uwe unanunua Cd tena posta zile library kubwakubwa huku mtaan upawez hata torrent site.save from net site karibu site zote za kudownload quality ya mwisho ni 1080p naamin 4k bdo sn na utapata tabu kupata kaz nying coz 4k it look very clear nahis itabid ulipie na sio free

Kwa yote video tumia savefromnet.com huko quality zote zipo

Kwa movie tumia torrent siye piratebay na kivkasstorrent huko qualitu zote zipo

Ila 4k mmmh huwez we tafuta 1080p

Sawa hata hiyo 1080 ni nzuri tu, shida ni programu ya kuweza kupakua. Maana imepata ya free inadownload HD mwisho 720..
 
Kama unataka video za YouTube kwa simu, hata videoder app inadownload fresh tu tena fasta. Sasa hiyo video ya dakika 5 ina mb 961
Screenshot_20201118-075616.png
 
Back
Top Bottom