MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,139
- 3,228
Habari za pilika wana Jf, bila kuwachosha ngoja niende moja kwa moja kwenye mada yangu
Kutokana na teknolojia kuongezeka kwenye Tv zetu hadi kufika 4k, 8k n.k lakini kila nikiweka hizi video za 720 kwenye TV yangu naziona hazina ubora unaotakiwa.
Sasa nilikuwa na ombi kama kuna mtu anajua programu ya kuweza kudownload hizi video zenye 1080, au 4k tafadhari naomba msaada wako niweze kupakua mwenyewe kupitia Pc.