100% ya wanawake hawafiki kileleni

100% ya wanawake hawafiki kileleni

Sasa kama huniambii, mi nitajuaje? Halafu wengi wanajua kutuzuga balaa. Ni ngumu hata kujua yupi anasema ukweli, yupi anadanganya.

Ndio hapo sasa! Kulia kwingiii kumbe hakuna lolote lililotendeka, ila inategemea na how cloz you are na mazingira unayomjengea ili awe wazi kwako kufunguka, mawasiliano mataz alot na hii ndio shida, wengi hawana mahusiano ila wako kungonoka tu.
 
Inawezekana ikawa kweli kwa kiasi flani,
Mtu unaingia kula papuchi huku ukiwaza namna utakavyoitefura, yeye anakuja akiwaza namna kulipa deni lako baada ya kukuchuna kwa mda mrefu, kilele atakionea wapi.
 
Ndio hapo sasa! Kulia kwingiii kumbe hakuna lolote lililotendeka, ila inategemea na how cloz you are na mazingira unayomjengea ili awe wazi kwako kufunguka, mawasiliano mataz alot na hii ndio shida, wengi hawana mahusiano ila wako kungonoka tu.
Exactly. Sema kuna wanamama wengine too uptight, hata sexting ni unforgivable taboo kwao. Yaani hao huwezi hata kutengeneza mazingira ya kujadili mnayofanya faragha.

Wengine wanajifanya too classy to have that talk.
 
Awawezi kwa sababu wanakula chips mayai mwanamke anaye pata lishe bora anaweza fika kileleni
 
Exactly. Sema kuna wanamama wengine too uptight, hata sexting ni unforgivable taboo kwao. Yaani hao huwezi hata kutengeneza mazingira ya kujadili mnayofanya faragha.

Wengine wanajifanya too classy to have that talk.

Ukiona hivyo ujue yo not compatible, ila km mnaendana walaaa hakuna kinachoharibika, mbona rahisi tu.
 
Lakini kuna wadada wengine wao mda Wa mechi ukifika yeye anaanza kuongelea vicoba na marejesho. Sasa kinachofuata hapo nini , unafikiri ni una matawanya fasta ule kona otherwise
 
Siku moja kingunge aliwakusema kwenye mkutano wa ukawa kuwa ccm imeshindwa kuwafikisha kileleni ndicho mnacho maanisha au?
 
unajua Jf nina cheo Siku Hizi?

WAZIRI WA MICHEPUKO, SERA NA URATIBU WA JF.

Ntakuazima Siku Moja lakini Tambua Kukauka kwa Papuchi Sababu sio kufika kileleni.

Labda mnagegedana bila Mchuzi Mix

Ahah?aaa, Royco mchuzi mix is missing!
 
Hahahaaaaaa lizybert hadi godoro linalowa
Kweli wewe unapajua kileleni

Na matusi mengi mnatabu wanawake na kileleni teh teh
 
Hawafiki Kileleni Kwa Sababu Wengi Wao Ni Wana Ccm!
,....Swiss Me...!
 
Back
Top Bottom