100% ya wanawake hawafiki kileleni

100% ya wanawake hawafiki kileleni

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,220
Habari zenu humu ndani?

Baada ya salamu, usishangae asilimia hizo, nianze na wewe huyo mwenza wako una mfikisha kileleni?Au unapanda na kushuka kama upo Tabora unaendesha baiskeli.

Hawa dada zangu wengi wapo wapo tu hata kileleni hawapajui kabisa na wengi wao wakipata hivyo vitu nje ya ndoa basi hata ndoa yenyewe huyumba sana.

Nakurudishia wewe
 
Unapotuuliza maana yake hujui sasa hiyo 100% umeipata wapi
 
sasa kama hataki nimdrag afke kilelen??weng hawatoi maelekezo sasa m2 anachokonoa angle moja 2 waaaaaaah huyo anasepa
 
Tatizo mnafanya mapenzi katikati ya mwezi...
 
Kama humfikishi mwanamke kileleni una matatizo muone daktari
 
hizo hesabu za kupata 100% katika swala la hivi ni za wapi?
 
Tatizo kubwa ni wanawake wenyewe, kidume unaweza kujipinda kwa dhati umfurahishe mwenzio kumbe mwenzio mawazo yake kayapeleka mbali.
 
Asilimia mia moja ya wanawake hawafiki kileleni? Ha ha haaa!!! Hii ya leo kali!
 
Back
Top Bottom