100 billion USD, Vietnam- USA trade deficit!

100 billion USD, Vietnam- USA trade deficit!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,292
Reaction score
14,960
Haya nchi ya Vietnam ambayo ilikuwa comminist kama sisi, masikini kama sisi leo hii ina trade deficit ya 100 billion dollars na USA, yaani vietnam ina export goods kwenda US zaidi ya USA inavyouza Vietnam, na tofauti ya hiyo import vs export ni 100 billion dollars US.

Tofauti ya Tanzani na Vietnam ipi? vietnam mashirika karibia yote ni state owned, tanzagiza wanasema serikali haifanyi biashara how come it works in vietnam? tanzagiza hata bandari wamegawa wameshindwa kuendesha, tatizo nini? kama ni demokrasia hata vietnam hakuna na chama kimoja, sasa wamewezaje?

Tanzania wanafurahia meli kubwa kujaa kuleta imports huku zikiondoka tupu, vietnam ni kinyume chake, meli kubwa zinaondoka zimejaa mizigo for exports klk inavyokuja na imports.

Mimi naamini dini na culture tanzagiza, ndiyo tatizo …
 
Back
Top Bottom