10 Rules For A Long And Happy Marriage.

10 Rules For A Long And Happy Marriage.

.....tunaishi kipindi kigumu sana kwenye eneo la ndoa tofauti na Zamani.....shetani katushika pabaya sana.....sikariri kitu maana nadharia ni tofauti na vitendo.
Haha ni kama mkuu mmoja alisema kama hizi rules zingeongezwa na usisahau kumuoma Mungu ingekuwa bomba sana.
 
Hizo ni siku chache zaidi kulinganisha na zile unazokuwa mapumzikoni... tunazi neglect. Rule inabakia palepale... usilale bila kula cha usiku, hata japo kwa kuonja. Tena hii ni Rule No 1.
Hii tuna add pamoja na rule number 7.
 
Haha ni kama mkuu mmoja alisema kama hizi rule zingeongezwa na usisahau kumuoma Mungu ingekuwa bomba sana.
Na hauwezi kuwa perfect! pale ulipo na kasoro ndio hapo patakusumbua.....mf. una fedha nyingi ila huna muda-shida!!!

Una muda hauko romantic-shida!!!

Uko romantic huna fedha/muda-shida!!!

So huwezi ku-fulfil mahitaji ya mtu.....kuomba Mungu upate mvumilivu na mwelewa.
 
What about the house budget

Kuna siku za safari ya mwezini kwenda kulipa kodi
That has correlation with her shared percentage in family's income, but still my approval weighs.
 
That has correlation with her shared percentage in family's income, but still my approval weighs.
To my understanding, half of a woman's salary can go to house budget and rest is for her up keep,serving or anything she wants to do with it.
 
Upendo pekee ndio suluhisho LA ndoa... Na kajiugomv kadogo ni kichocheo cha mapenz kama pilpil ktk chakula inaleta ladha ya nzur zaid mdomon japo inawasha
 
Back
Top Bottom