NHS
Senior Member
- Sep 19, 2016
- 121
- 61
Kweli hata kama itakua ya uongoHaya mambo mi naona yapo tu kwenye maandishi lakini ki halisia hakuna, maana watu wapo ki maslahi zaidi, mahusiano yametekwa na pesa , na ukiwa na pesa basi yaani kila aina ya furaha na upendo utapata tu