10,000+

ee mola mlinde ,mwongoze na mkinge teamo wangu na mabaya yote
nakushukuru mungu kwa kumpa mume wangu teamo busara na hekima za KUNICHAGUA MIMI KUWA EVA WAKE...najua wapo weng lakin roho wa bwana akamshuhudia juu yangu
nahaidi yafuatayo kwako niliyetoka kwa ubavu wako
1.i wl b ya quen kwa vtendo na akshen
2.kukupenda daima
3.kuzika wafu wwoooote na ufu wao(bt dear naomba ruhusa kdg nirud kw arr nikamalizie kale kaproject ili nipate kukupeleka mariedo shpng kesho...km ukiridhia tu....)
4.m ol yrs ukitaka nimeze ukitaka nitafune...
5.i surrender ma body ma sprt na phsique to yrs...
ASANTE MWENYEZ KWA KUNIPA MWANAUME MWENYE BUSARA KM SOLOMON ,NGUVU KM SAMSON,HANDSAM KM YUSUFU...thax god!!
ha ha ha ha ha!
ngoja nikashushie na valuu ya baridi
 
sweeeeeetie vp mbona akina rr hawaj kwenye sherehe yetu?
wamenuna?au hawana nauli?
 
Unatafuta BAN kijana! ID's revelations....hahahahaha You have been warned:kev:
hahahaha!
natania mjomba!

ee bana eeh!unajua hii reading ya TOMI HOAG nimeipenda sana kwasababu yako?tatizo naisoma taratibu sana kwakuwa mkoloni nae kanitait!

upo mujini mpwaaz?
 
sweeeeeetie vp mbona akina rr hawaj kwenye sherehe yetu?
wamenuna?au hawana nauli?
fogert the CRAP rr mama!
hata bila yeye MAISHA YANASONGA!
we have nothing to loose AND YOU KNOW THAT
 
hahahaha!
natania mjomba!

ee bana eeh!unajua hii reading ya TOMI HOAG nimeipenda sana kwasababu yako?tatizo naisoma taratibu sana kwakuwa mkoloni nae kanitait!

upo mujini mpwaaz?

Bado nipo kisiwani mkuu, hali ya kisiasa haijatulia hawa CUF wanabana kila kitu. Nitakushtua Xpin niliongea naye nikamkaribisha kanisani shida alitamani waimba gospel
 
Hivi na Chat zinaunganishwa kwenye idadi ya posts? Nauliza nikitaka kujua.........
 
Karibu kundini mazee, vidole havijaota sugu?




Hili nalo ni neno maana kuna ukweli ndani yake sisi tuna vipost 500 tu lakini kila ukilog out unaenda kukanda vidole na maji ya moto sasa wenye 10000+ duh but anyway hongera teamo kwa kuwa active member na kuninyanganya bibi wa wajukuu zangu
 
okay okay!.....
kwa hiyo mnaniambiaje sasa?
kwamba dkt slaa akagombee HANANG ili arudi bungeni au afanye operesheni-kibua ya nchi nzima NYUMBA-KWA-NYUMBA kwa maandalizi ya 2015?

ninavyojua mimi HANANG atashinda tu
 
nenda sweeeetie..U JUST GO U DSVE T...
bili juu yangu
mwambie eliza I BILI YA MAMA..
ngoja nimwte rr aniwaishe..

ha ha ha ha ha!
ngoja nikashushie na valuu ya baridi

sawa mpz
as u said

Naona ni mdogo mdogo lakini safari inasonga mbele..long live ISC!!!

Ila hayo mananeo mtamu yakianza kuadimika kama maji ya DAWASA msipate shida..njooni babu zenu tutawapa ushauri.

Anyway...Kijana hongera kwa kazi nzuri...10000 hits si mchezo.

DC
 
Back
Top Bottom