10,000 Tshs after sex

Wanaume tuongeze dau,walau iwe 20,000/=mpaka mkongo ameamua kulalamika JF ipo kazi
 
we mukaka ya wapi, mugumu kuelewa mutu anakuelewesha huelewi......

nimemuambiya kuwa alikuwa dada ya kazi ila nikamusomesha na kumuweka safi sasa hivi kawa mudada mukari ya mujini.
Sasa huyu mwanamume yeye ni muboss wa wa ttcl
ila ndo ivo anamuharibu mudada wa watu
mie naishi nae mdogo wangu kila kitu namupa kuwa na mwanaume ni haki yake na anataka amupe hela matumizi matunzo
 
nimemuambiya kuwa alikuwa dada ya kazi ila nikamusomesha na kumuweka safi sasa hivi kawa mudada mukari ya mujini.
Sasa huyu mwanamume yeye ni muboss wa wa ttcl
ila ndo ivo anamuharibu mudada wa watu
mie naishi nae mdogo wangu kila kitu namupa kuwa na mwanaume ni haki yake na anataka amupe hela matumizi matunzo

cc grafani11
mwenzio nachekaje leo
 
Last edited by a moderator:
Huyo binti nina mashaka haijui thamani yake kwani hata angepewa mil 10 bado ni ndogo sana maana yeye ni wa thamani kubwa mno tatizo hajajifahamu tu.
 
Mie nakaa na mudada mumoja ananisadiaga shughuli zangu.Huyu mudada alikuja kama housegirl but nikamupeleka shule na kumuweka msafi mpaka sasa ninaishi nae.
Ni mudogo yangu kabisa.
wikiend aliniambia dada naenda kwa mupenzi yake atalala huko.
Akaenda alivyorudi nikamuambia pitia kwa munna anauza sandals 45,000 ukija home nitakupa hela.
Akanijibu dada sina.
Mie kila nikienda ananipa 10,000tshs after sex hata nikimuambia ninataka nini hanipi yeye ananipa afta sex.
Huyu mwanaume hafai kwa nini amupe after sex?
Tena 10,000.
It will be wise kama hamupi aftasex bt anamuingizia akaunt au anamumpesa mda wowote.
mimi nimemuchukia bora Alex hawajawahi sex but anamujali sana.
Na nyie munaopewa ten thousand afta sex musipokee.
Zahra White, wewe ni dada yangu ila katika hili NINAKUKANA HADHARANI, acha kumfundisha mtoto wa watu tabia yako chafu, subiri wa kwako wakikua utawafundisha, and so you will make alot of money through them! Mrudishe kwao kama umechoka kuishi naye! Kumbe ulimfundisha kuoga vizuri ili umfanye mtaji eeeeh...? After all kwani wewe unapewaga shilingi ngapi wakisha kuduu? Ungelikuwa unapewa nyingi, ya nini umkope elfu 45000 za sandles? Si ungelimpigia dereva taksi kisha akaenda kwa Munna akaleta viatu na wewe ukamlipa 70,000! 45,000 being for sandles and 25,000 as transport allowance? Acha hizi Zahra.......!
 
kyana kyo muhaya heb njoo umuchukue jirani yako huku!
 
Last edited by a moderator:
mmmh!!! Hicho kiswahili nina mashaka we mkimbizi, sasa wewe ulitaka apewe shilingi ngapi wakati yeye ni mpenzi wake?
 
Huyu Zahra white anajishaua tu hana lolote...anamuuza mwenzie halafu anajitia kushangaa..
 
Back
Top Bottom