10,000 Tshs after sex

kisa cha kupigwa na jua hadi anuke kwapa ni nini? huyui pale anakuwa anakatwa hela ya kutumia kiyoyozi, water bed, na kupakizwa kwenye range rover achilia mbali shopping na mitoko mingine. kama anaenda kila siku kwa mwezi ni 240,000 je jamaa ana make sh ngapi kwa mwezi? lazima muwe na huruma bana.

hapo kwenye red umesababisha nipaliwe na chakula, anyway unataka kusema ajira zinapotea bora ya hii
 
Huyu anatangaza biashara ya danguro lake tu hana jipya, maana nimemuuliza yeye anamlipa ngapi kwa kila mwezi kwa kumfanyia kazi za nyumbani ameingia mitini.

Angekuwa na huruma sana na maedeleo ya huyo binti angetuambia yeye anamlipa ngapi. Bila shaka kwa kauli zake na yeye mwenyewe yupo sokoni. Dirty game
 
Mie nakaa na mudada mumoja ananisadiaga shughuli zangu.Huyu mudada alikuja kama housegirl but nikamupeleka shule na kumuweka msafi mpaka sasa ninaishi nae.
Ni mudogo yangu kabisa.
wikiend aliniambia dada naenda kwa mupenzi yake atalala huko.
Akaenda alivyorudi nikamuambia pitia kwa munna anauza sandals 45,000 ukija home nitakupa hela.
Akanijibu dada sina.
Mie kila nikienda ananipa 10,000tshs after sex hata nikimuambia ninataka nini hanipi yeye ananipa afta sex.
Huyu mwanaume hafai kwa nini amupe after sex?
Tena 10,000.
It will be wise kama hamupi aftasex bt anamuingizia akaunt au anamumpesa mda wowote.
mimi nimemuchukia bora Alex hawajawahi sex but anamujali sana.
Na nyie munaopewa ten thousand afta sex musipokee.
Hujui unenalo Mungu akusaidie
 
Sala biloko nayo,bolingo na ngai,nzambe na bomoi,chicote ya papa...
 
Huyu anatangaza biashara ya danguro lake tu hana jipya, maana nimemuuliza yeye anamlipa ngapi kwa kila mwezi kwa kumfanyia kazi za nyumbani ameingia mitini.

Angekuwa na huruma sana na maedeleo ya huyo binti angetuambia yeye anamlipa ngapi. Bila shaka kwa kauli zake na yeye mwenyewe yupo sokoni. Dirty game

wewe mugumu sana kuelewa
 
hapo kwenye red umesababisha nipaliwe na chakula, anyway unataka kusema ajira zinapotea bora ya hii

mtoto wa kike anatakiwa kufanya kazi ambayo haitomchosha sana na kumtoa jasho jingi.Kwa sababu hizo hela anapewa na boyfiend wake hakuna tatizo, atumie hiyo opportunity kutafuta kazi yenye hadhi kwa mtoto wa kike.
 
  • Thanks
Reactions: awp
Mie nakaa na mudada mumoja ananisadiaga shughuli zangu.Huyu mudada alikuja kama housegirl but nikamupeleka shule na kumuweka msafi mpaka sasa ninaishi nae.
Ni mudogo yangu kabisa.
wikiend aliniambia dada naenda kwa mupenzi yake atalala huko.
Akaenda alivyorudi nikamuambia pitia kwa munna anauza sandals 45,000 ukija home nitakupa hela.
Akanijibu dada sina.
Mie kila nikienda ananipa 10,000tshs after sex hata nikimuambia ninataka nini hanipi yeye ananipa afta sex.
Huyu mwanaume hafai kwa nini amupe after sex?
Tena 10,000.
It will be wise kama hamupi aftasex bt anamuingizia akaunt au anamumpesa mda wowote.
mimi nimemuchukia bora Alex hawajawahi sex but anamujali sana.
Na nyie munaopewa ten thousand afta sex musipokee.

Hyo tabia chafu umemfundisha wewe, shame on you Zahra White

Wewe Zahra White....wewe ni Mudongo ya Kangame au Kipaki?( i mean Kenyatta?)
Swali ya mbili....wewe unachukuanga ngapi?
Swali ya tatu, akimupa mbifoo sex is it okei with you?

aaaha ha ha ha... this is just funny!
thank you people at least i found something to laugh about today.
 
Mie nakaa na mudada mumoja ananisadiaga shughuli zangu.Huyu mudada alikuja kama housegirl but nikamupeleka shule na kumuweka msafi mpaka sasa ninaishi nae.
Ni mudogo yangu kabisa.
wikiend aliniambia dada naenda kwa mupenzi yake atalala huko.
Akaenda alivyorudi nikamuambia pitia kwa munna anauza sandals 45,000 ukija home nitakupa hela.
Akanijibu dada sina.
Mie kila nikienda ananipa 10,000tshs after sex hata nikimuambia ninataka nini hanipi yeye ananipa afta sex.
Huyu mwanaume hafai kwa nini amupe after sex?
Tena 10,000.
It will be wise kama hamupi aftasex bt anamuingizia akaunt au anamumpesa mda wowote.
mimi nimemuchukia bora Alex hawajawahi sex but anamujali sana.
Na nyie munaopewa ten thousand afta sex musipokee.

wewe ni mtanzania au mrundi?
 
Back
Top Bottom