10,000 Tshs after sex

10,000 Tshs after sex

Mie nakaa na mudada mumoja ananisadiaga shughuli zangu.Huyu mudada alikuja kama housegirl but nikamupeleka shule na kumuweka msafi mpaka sasa ninaishi nae.
Ni mudogo yangu kabisa.
wikiend aliniambia dada naenda kwa mupenzi yake atalala huko.
Akaenda alivyorudi nikamuambia pitia kwa munna anauza sandals 45,000 ukija home nitakupa hela.
Akanijibu dada sina.
Mie kila nikienda ananipa 10,000tshs after sex hata nikimuambia ninataka nini hanipi yeye ananipa afta sex.
Huyu mwanaume hafai kwa nini amupe after sex?
Tena 10,000.
It will be wise kama hamupi aftasex bt anamuingizia akaunt au anamumpesa mda wowote.
mimi nimemuchukia bora Alex hawajawahi sex but anamujali sana.
Na nyie munaopewa ten thousand afta sex musipokee.

Wewe Zahra White unatakiwa kwenda kumusaidia huyo mudada ili muwe wawili kwa huyo mupenzi hivyo mutakuwa mukipata 10,000x2= 20,000 kwa sikux30= 600,000 VAT INCLUSIVE kwa muwezi...
 
Zahra White ni PM bank account number yako, au mumpesa na Tigopesa, mim pia ni kama Alex,
 
Zahra White, wewe ni dada yangu ila katika hili NINAKUKANA HADHARANI, acha kumfundisha mtoto wa watu tabia yako chafu, subiri wa kwako wakikua utawafundisha, and so you will make alot of money through them! Mrudishe kwao kama umechoka kuishi naye! Kumbe ulimfundisha kuoga vizuri ili umfanye mtaji eeeeh...? After all kwani wewe unapewaga shilingi ngapi wakisha kuduu? Ungelikuwa unapewa nyingi, ya nini umkope elfu 45000 za sandles? Si ungelimpigia dereva taksi kisha akaenda kwa Munna akaleta viatu na wewe ukamlipa 70,000! 45,000 being for sandles and 25,000 as transport allowance? Acha hizi Zahra.......!
Makoye78 pokea likes billion moja mpaka akaunti yako ijae. Umefikiria deep sana ukaja na hoja yenye ujazo, naomba kutoa hoja, "Huyu dada Zahra White aijibu sasa hivi kabla haijapoa tumsikie"
 
Zahra White unatomboka nini sasa? Utasemba ni kwa nzambe? Hauna Lusambo kweli nakobanga binute nakobanga nzambe na ngai,lakini oza bien huyo mudada ya kazi?
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe mudogo yake nonini.. Ndo zile wenzako zinapewa arufu tatu.. Si ni bora huyo zinduna anapewaga arufu kumi joh? Zahra White
 
Last edited by a moderator:
Hahahhaaa dah mutyu ya bhana kongo imejaa munyumba ya JF.....!:kev:
 
Bora libaki dau hilohilo kuliko Kukopwa.
Maana wengine ni wakopaji wazuri sana.

Hee...yaani hata nanilihiu mnakopwa?
itabidi muimbe....wanawake tumeumbwa, matesoooo,matesooo kuhangaika....
 
I
need to pay her bills please!,would u mind if a ask u to tell her
through you to PM me?,i'm serious and curious to help her,please!!
 
Hivi ni kusema ubongo wa the so called Zahra White upo kwenye mapaja au ni nini?

Ni ngono tuuuu, hamna kitu kingine akilini mwake....loh!

Na ni nani alimuelekeza kuwa JF ni porn survival site?
 
Last edited by a moderator:
Mie nakaa na mudada mumoja ananisadiaga shughuli zangu.Huyu mudada alikuja kama housegirl but nikamupeleka shule na kumuweka msafi mpaka sasa ninaishi nae.
Ni mudogo yangu kabisa.
wikiend aliniambia dada naenda kwa mupenzi yake atalala huko.
Akaenda alivyorudi nikamuambia pitia kwa munna anauza sandals 45,000 ukija home nitakupa hela.
Akanijibu dada sina.
Mie kila nikienda ananipa 10,000tshs after sex hata nikimuambia ninataka nini hanipi yeye ananipa afta sex.
Huyu mwanaume hafai kwa nini amupe after sex?
Tena 10,000.
It will be wise kama hamupi aftasex bt anamuingizia akaunt au anamumpesa mda wowote.
mimi nimemuchukia bora Alex hawajawahi sex but anamujali sana.
Na nyie munaopewa ten thousand afta sex musipokee.

Fafanua zaidi
 
Back
Top Bottom