Financial Analyst JF-Expert Member Joined Nov 27, 2017 Posts 2,384 Reaction score 5,619 Oct 10, 2026 #1 Matokeo yatatoka baada ya mwezi mmoja. Piga kura sasa. THREADS NYINGINE ZA KUPIGA KURAπππ Thread '(2) JF VOTES: MCHANGAMSHA KIJIWE BORA WA MWAKA' Oct 10, 2026 Matokeo yatatoka baada ya mwezi mmoja. Piga kura sasa. Thread '(3) JF VOTES : MASTER WA COMMENT KUNTU NA FIKIRISHI WA MWAKA' Oct 10, 2026 .. Thread '(4) JF VOTES: BFF BORA WA MWAKA (MTU WA WATU HANA MAKUU)' Oct 10, 2026 .. Thread '(5) JF VOTES : MTAALAM WA CHIT CHATS WA MWAKA' Oct 10, 2026 ..
Matokeo yatatoka baada ya mwezi mmoja. Piga kura sasa. THREADS NYINGINE ZA KUPIGA KURAπππ Thread '(2) JF VOTES: MCHANGAMSHA KIJIWE BORA WA MWAKA' Oct 10, 2026 Matokeo yatatoka baada ya mwezi mmoja. Piga kura sasa. Thread '(3) JF VOTES : MASTER WA COMMENT KUNTU NA FIKIRISHI WA MWAKA' Oct 10, 2026 .. Thread '(4) JF VOTES: BFF BORA WA MWAKA (MTU WA WATU HANA MAKUU)' Oct 10, 2026 .. Thread '(5) JF VOTES : MTAALAM WA CHIT CHATS WA MWAKA' Oct 10, 2026 ..
Zero Star JF-Expert Member Joined Mar 22, 2018 Posts 4,251 Reaction score 8,590 Oct 10, 2026 #2 Kuna zawadi gani mkuu...!!?
The king 07 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 1,191 Reaction score 2,845 Oct 10, 2026 #3 Kuna baadhi ya watu majukwaa kama intelligence huwa hawafungui kabisa. Kumshindanisha mtu anaenandika sana intelligence forum na MMU sio fair challenge
Kuna baadhi ya watu majukwaa kama intelligence huwa hawafungui kabisa. Kumshindanisha mtu anaenandika sana intelligence forum na MMU sio fair challenge
camp konzi JF-Expert Member Joined Dec 6, 2025 Posts 507 Reaction score 999 Oct 10, 2026 #4 kwa kweli sisi zetu ni dua tu. ngoja kwanza labda badae kidogo nitajua kura yangu inakwenda kwa nani
Pyaar JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 17,234 Reaction score 80,218 Oct 10, 2026 #5 Nafikiri ingewekwa category kulingana na majukwaa..
Nakfa JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 11,886 Reaction score 16,106 Oct 10, 2026 #6 Yani mzee M.S anapaswa kushinda jukwaa lake
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,598 Reaction score 196,297 Monday at 10:57 PM #7 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw