Tangopori
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 1,628
- 1,290
Ebu tuambie mwanachitchat siku kama ya leo ulishafanikiwa mara ngapi kusheherekea hii siku vizuri either kwa kudanganywa ukadanganyika au kwa kumdanganya mtu nae akakubali!!!
Kwa upande wangu nakumbuka nikiwa shule enzi hizoo
nikamwambie ticha fulani anaitwa na headmaster na mimi nikaenda kweli na ticha nae akaenda ila outcome yake nilikula kichapo cha hatari from the two!
Basi kuanzia siku hiyo nakuaga sensitive kweli na siku hii!