Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
++
Tunajua kuwa Moja kujumlisha Moja jawabu ni mbili..Ndivyo tulivyofundishwa na kweli jibu liko hivyo.
1+1=2
++
Lakini linapokuja ktk Mahusiano ya mapenzi na ndoa Baadhi ya maelekezo ya dini husema kuwa Mwanaume na Mwanamke wataungana na kuwa Mwili mmoja.
Kwa lugha ya hesabu
1+1=1
++
Kwamba,,suala la wapenanao wawili wa jinsia tofauti kuishi pamoja katika kiapo cha kudumu hadi kifo kiwatenganishe Bila mahusiano ya nje basi ni jambo ambalo kila uchao linaonekana kuwa gumu.
Yaani heri hesabu ya 1+1=2 kuliko 1+1=1
++
Wanaume hawaishi kukodoa macho nje ya ndoa zao hali kadhalika Wanawake..Ahadi zinavunjwa,,viapo vinapuuzwa,,ngono zinaendekezwa.
Ndivyo hata watoto wadogo,wanafunzi,maofisa,na kila mwenye mpenzi anajitahidi kudumisha hesabu ya kawaida moja ongeza moja sio mbili tu bali ikiwezekana iwe kumi na moja.
++
Bado natazama jinsi Falsafa ya wawili kuwa mwili mmoja inavyozidi kupotea.
Alama ya "F" score sio madarasani tu bali pia katika ndoa na mapenzi yetu