ziwa victoria

Kagera is one of Tanzania's 31 administrative regions. The region is located in the northwestern corner of Tanzania on the western shore of Lake Victoria. The region neighbours Uganda, Rwanda, and Burundi and lies across the lake from Kenya. The region was known as West Lake before June 1979. The regional capital is the city of Bukoba. According to the 2012 national census, the region had a population of 2,458,023, which was lower than the pre-census projection of 2,763,329. For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country. It was also the ninth-most densely populated region, with 97 people per square kilometre.On 10 September 2016, the region was struck by an earthquake measuring 5.9 on the moment magnitude scale.
It was the biggest earthquake to have been recorded in Tanzania.Its attempted annexation by Uganda in 1978 triggered the Uganda–Tanzania War which culminated in the overthrow of Ugandan dictator Idi Amin on 11 April 1979, at the Fall of Kampala.

View More On Wikipedia.org
  1. Jephta2003

    Sangara Ziwa Victoria: Ni Baraka kwa Uchumi au Laana kwa Ikolojia ya Samaki wetu wa Asili?

    Habari za muda huu wana-JF, Nimekuwa nikifanya tafakari ya kina juu ya hali ya Ziwa Victoria tangu miaka ya 1980 hadi sasa. Wote tunajua kuwa katika miaka ya 1950, uamuzi ulifanywa wa kumwingiza Sangara (Nile Perch) ndani ya Ziwa Victoria akitokea Ziwa Albert na Mto Nile nchini Uganda. Lengo...
  2. Beira Boy

    Mama Samia ile ahadi yako ya kuwaondoa samaki ziwani Kisha kuwaweka akina mama pamoja na mamba Kisha ukajenga uzio ndani ya ziwa itakamilika lini?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Najaribu kuiweka hapa ile video ya ya mama Samia ya kuwaondoa samaki ndani ya ziwa Victoria Kisha awaweke mamba na akina mama kwa pamoja Kisha anajenga uzio ndan ya ziwa Victoria Inagoma wakuu video hii Na alisema ahadi hii ataikamilisha...
  3. Mhaya

    Ukanda ya Ziwa Victoria (Nyanza) ni eneo linalotoa viongozi wa kimkakati sana, shupavu, na watu kazi

    Watoto wawili kutoka Ziwa Victoria na kama Wakoloni wasingetutawala na kuweka mipaka au wakazi wanaozunguka ziwa Victoria wangetengeneza nchi yao. basi Ukanda wa Nyanza (Ziwa Victoria) ungekuwa ukanda tofauti sana, tumbo la Ziwa lile limetupa Watu Mashujaa sana kwenye majukwaa ya siasa na...
  4. JanguKamaJangu

    TANAPA kufadhili vizimba vya samaki kudhibiti uvuvi haramu Ziwa Victoria

    SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limekuja na mpango wa kufadhili mradi wa ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ndani ya Ziwa Victoria kwa jamii ya wakazi wanaoishi jirani na hifadhi ya taifa kisiwa cha Rubondo. Mradi huo ni sehemu ya makundi matatu ya miradi ambayo inahusisha...
  5. Mafyangula

    GE2025 Samia: Serikali imeanza ujenzi wa uzio ndani ya Ziwa Victoria kudhibiti mamba

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imeanza ujenzi wa uzio ndani ya Ziwa Victoria kwa lengo la kudhibiti mamba ili kuwalinda wananchi wanaotumia ziwa hilo kwa shughuli mbalimbali. Akizungumza leo, Jumanne...
  6. Mkalukungone Mwamba

    Polisi Mwanza wapokea Boti ya Mwendokasi yenye thamani milioni 400 ili kufanya kwa Doria Ziwa Victoria

    Jeshi la polisi mkoani Mwanza limepokea boti ya mwendokasi itakayotumiwa na kikosi cha polisi wanamaji kwaajili ya Doria katika ziwa victoria hatua inayolenga kupambana na vitendo vya kihalifu pamoja na kudhibiti uvuvi haramu. Boti hiyo iliyogharimu zaidi ya shilingi milioni mia nne itasaidia...
  7. The humble Man

    samaki Aina ya GOGO

    Kama unafahamu samaki aina ya GOGO, tafadhali nijulishe Jina lake lingine ni lipi, anapatikana wapi kwa mwambao wa ziwa Victoria, kama una picha itasaidia zaidi.
  8. M

    Israel ikifanikiwa katika mpango wake wa Greater Israel Watanzania tujiandae kupoteza Ziwa Victoria

    Bila shaka sasa siyo siri, Israel imeonyesha kwa vitendo na maneno kuwa Inataka ile kitu inayoitwa "Greater Israel". Hilo lilithibitishwa na Bwana Benjamin Netanyahu wakati akihojiwa na mbunge wa zamani ktk bunge la Israel bwana Gal. Netanyahu aliulizwa kama anaamini katika Greater Israel...
  9. D

    Rais Samia: Ua zuri liliochipua katikati ya ziwa Victoria

    Katika kina cha Ziwa Victoria ziwa kubwa kabisa barani Afrika, lenye mawimbi yasiyotulia na upepo wa ghafula ni nadra kuona ua likimea katikati ya maji, likadumu, na zaidi likachanua kwa uzuri wa ajabu. Hilo ndilo fumbo la uumbaji, na huo ndio mfano halisi wa Rais Samia Suluhu Hassan ua zuri...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Hii boti ya uokoaji inayopelekwa ziwa Victoria imeandikwa Mitano tena na kazi iendelee, si kampeni ya wazi kwa mama?

    Boti maalumu ya uokoaji katika Ziwa Victoria (Ambulance Mwanza) inayosafirishwa kwa njia ya barabara imegeuka kama jukwaa la kampeni maana imeandikwa mitano tena, kazi iendelee. Sasa je mali ya wanachi wote ya watanzania imeaguzwa kuwa kama mali ya mtu moja?
  11. SankaraBoukaka

    Kwanini tuendelee kuliita Ziwa Victoria na si Nyanza?

    Katika moyo wa Afrika Mashariki lipo ziwa kubwa, lenye umuhimu mkubwa wa kiuchumi, kijamii na kiutamaduni kwa mamilioni ya watu wanaolizunguka – Tanzania, Kenya na Uganda. Ziwa hilo, ambalo kwa karne sasa limekuwa likiitwa “Ziwa Victoria,” lilikuwa na majina ya kiasili kabla ya kupewa jina la...
  12. Mtumishitu

    Dagaa zimeanza ziwa victoria wa Congo, Rwanda wakiwa vinara soko la nje

    Wanajamii habari zenu ;;?? Heri ya pasaka kwa wale wageni na page hii ni NDARO muuza dagaa kandq ya ziwa kwa hapa jamiforum nafahamika kama mtumishi yaani nawatumikia jamii sio vingine. Yoyote kwa yote dagaa ni biashara inayo zidi kushika kasi ndani ya Tanzania na inje pia ya Tanzania kama...
  13. Torra Siabba

    DOKEZO Hivi Mamlaka za Mwanza zimeshindwa kukabiliana na magugumaji Ziwa Victoria?

    Maeneo kadhaa ambayo yamekuwa yakitumiwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kibinaadamu kando ya Ziwa Victoria upande wa Mwanza yamekuwa yana magugumaji ambayo yamekuwa changamoto na kukwamishwa shughuli nyingi. Magugumaji hayo yamekuwa kikwazo mara kadhaa katika vivuko na kusababisha...
  14. M

    Bonde la Ziwa Victoria hongereni kwa hili la wananchi wa kijiji cha Iyogelo, Maswa

    Maswa:Ni saa 22 tangu kuwekwa humu jamvini uzi uliokuwa na kichwa cha habari”Bonde la Ziwa Victoria mnataka kuwadhulumu wananchi wa kijiji cha Iyogelo,wilaya ya Maswa ardhi yao mliochimba bwawa?”leo mmefika katika kijiji hicho katika kitongoji cha Bugarama na kufanya tathimini ya maeneo ya...
  15. Mtumishitu

    Biashara ya dagaa kutoka ziwa victoria mkoani ni fursa jamani

    Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele. Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na ukiacha kukanyaga lazima udondoke.Hivyo endelea kukanyaga MUNGU WA WOTE Haijalishi kiasi gani tunamkosea...
  16. M

    DOKEZO Bonde la Ziwa Victoria mnataka kuwadhulumu Wananchi wa Kijiji cha Iyogelo, Wilaya ya Maswa ardhi yao mliochimba bwawa?

    Bonde la Ziwa Victoria chini ya Mkurugenzi, Dkt Renatus Shinhu waliandikiwa barua na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Maswa kupitia kwa Katibu Tawala Wilaya, Athuman Kalaghe yenye Kumb Na. AB. 73 /171 /01E/86 ya tarehe 4/04/2025 yenye kichwa cha habari ”KUFANYA TATHIMINI YA MAENEO YA ARDHI YA WANANCHI...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Mradi wa maji Ziwa Victoria kuelekea Singida - Dodoma, kukamilika Juni 2025

    Serikali inaendelea na upembuzi yakinifu na usanifu wa kina wa mradi mkubwa wa maji kutoka Ziwa Victoria hadi mikoa ya Singida na Dodoma, ambao unatarajiwa kukamilika ifikapo Juni 2025. Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew, ameeleza hayo leo Aprili 14, bungeni jijini Dodoma wakati...
  18. Saidama

    Hali si shwari Ziwa Victoria, linageuka kuwa la kijani

    Hii ni kwa mujibu wa website ya masuala ya sayansi yenye makao yake nchi Uingeleza ya IFLSCIENCE ambao wameripoti kua 'Ziwa kubwa barani Afrika linageuka kua la kijani' Hii inatokana na hali ya kiasili inayotambulika kwa kitalamu kama 'eutrofication', ambayo ni hali ya ziwa/bahari/mto kujaa...
  19. K

    NINA USHAURI KWA SERIKALI ZETU ZINAZOCHANGIA MAJI YA ZIWA VICTORIA

    Serikali ya Tanzania, Uganda na Kenya wote ni wanufaika wa maji ya Ziwa Victoria. Mito yote ya Kanda ya Ziwa na mito yote ya Uganda na Kenya inamwaga maji yake Ziwa Victoria na hatimaye maji hutiririka kupitia Mto Nile hadi Mediterranean Sea. Maji yanayotoka Ziwa vcictoria hupita nchi ya...
  20. K

    Ni wakati muafaka serikali kufunga uvuvi wa samaki katika ziwa Victoria kwa muda wa miezi sita kuwezesha samaki kuzaliana

    Ni jambo lisilopingika kwamba samaki katika Ziwa Victoria wamepungua sana na inawezekana kwa asilimia 80. Kunusuru hali hii inabidi Serikali kupandikiza vifaranga wa samaki hasa wale wa sangari, dagaa, sato, mumi, ningu, kamongo, na wengineo kwa mamilioni ili idadi ya samaki iongezeke kwa kasi...
Back
Top Bottom