ziwa victoria

Kagera is one of Tanzania's 31 administrative regions. The region is located in the northwestern corner of Tanzania on the western shore of Lake Victoria. The region neighbours Uganda, Rwanda, and Burundi and lies across the lake from Kenya. The region was known as West Lake before June 1979. The regional capital is the city of Bukoba. According to the 2012 national census, the region had a population of 2,458,023, which was lower than the pre-census projection of 2,763,329. For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country. It was also the ninth-most densely populated region, with 97 people per square kilometre.On 10 September 2016, the region was struck by an earthquake measuring 5.9 on the moment magnitude scale.
It was the biggest earthquake to have been recorded in Tanzania.Its attempted annexation by Uganda in 1978 triggered the Uganda–Tanzania War which culminated in the overthrow of Ugandan dictator Idi Amin on 11 April 1979, at the Fall of Kampala.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uvuvi haramu, athari zake na wajibu wa wananchi katika kuzuia uvuvi haramu ziwa Victoria

    Nimeamua kuandika kuhusu swala la uvuvi haramu hapa nchini hasa nikiangazia ziwa Victoria Kwa sababu nina uzoefu mzuri kwenye shughuli za uvuvi. Nitaanza kwa kueleza maana uvuvi haramu na hali ya uvuvi haramu hapa nchini (hasa ziwa Victoria), athari zake na wajibu wa wananchi katika kuzuia uvuvi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania EU yatoa mamilioni kusaidia mradi wa Eco - Fish ziwa Victoria

    30 June 2021 Dar es Salaam, EU YATOA MAMILIONI KUSAIDIA MRADI WA ECO - FISH ZIWA VICTORIA Mkurugenzi Wizara Ya Mifugo na Uvuvi Bwana Emmanuel M. Bulai akizungumzia kuhusu Mkutano wa Usimamizi wa raslimali za Uvuvi Ndani ya Ziwa Victoria unaosimamiwa na nchi tatu wanachama wa Jumuiya ya Afrika...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Hili la mbunge baraza la wawakilishi kuwadharau samaki aina ya Kambale na Sato wa ziwa Victoria lisipite pasipo mjadala. Linatoa picha mbaya

    Kuna video moja fupi inazunguka mitandaoni anaonekana mbunge wa baraza la wawakilishi akiwaongelea kwa dharau samaki wa Ziwa Victoria. Anasema wao kwa maana ya watu wa visiwani hawana utamaduni wa kula samaki wa aina hiyo, kwamba isitokee mbegu zao zikawekwa kwenye bahari iliyo karibu na visiwa...
  4. THE SHADOW ONE

    JamiiForums Tanzania Nauza samaki kutoka Ziwa Victoria

    Kwa wateja walio na mabucha mikoani na wenye supermarket ninauza samaki aina ya sato na sangara kutoka ziwa Victoria kuanzia kg. 100 nakuendelea ninakutumia popote ulipo usafiri juu yangu. Sato kg. 1 @ tsh. 8000 Sangara kg. 1 @ tsh. 7000 Lakini pia napokea order kwa samaki aina ya kamongo na...
  5. instanbul

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe MV Bukoba enzi za uhai wake

    MV Bukoba ilikuwa moja ya meli kubwa katika ziwa Victoria. Ilikuwa ina uwezo wa kusafirisha watu zaidi ya 400 na tani zaidi ya 100. Meli hii ilikuwa ikiondoka Bukoba siku za Jumatatu, Jumatano na Ijumaa. Meli hii sio kongwe kama ilivyokuwa MV Victoria iliyojengwa mwaka 1961; hii ilijengwa mwaka...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996

    Meli ikiwa inazama na ikiwa imezungukwa na mitumbwi pamoja na boti ambazo zilisaidia kwenye uokoaji RIPOTI ya Tume ya Jaji Robert Kisanga, iliyochunguza chanzo cha ajali ya mv Bukoba, inasema usiku wa kuamkia siku ya ajali, meli hiyo ilipakia abiria kati ya 750 na 800 pamoja na wafanyakazi 37...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ajali ya MV Bukoba: Makosa yamerekebishwa?

    "MV Bukoba was a passenger steamer that sank in Lake Victoria, 30 kilometers from Mwanza, Tanzania on May 21, 1996, killing nearly 1000 people. The boat transported passengers and cargo between Bukoba and Mwanza ports. The steamer's capacity was 430, but around 800 people drowned as the boat...
Back
Top Bottom