zitto kabwe

Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe (Zitto Kabwe)
Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe, maarufu kama Zitto Kabwe, ni mwanasiasa kutoka Tanzania kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Zitto aliwahi kuwa mwanachama wa Chama Demokrasia na Mendeleo (CHADEMA) toka mwaka 1992 mpaka 2015 alipoachana na chama hicho.

Zitto ameshika nafasi ya Kiongozi wa Chama ACT-Wazalendo kwa miaka 9, mpaka March 2024 ambapo nafasi hiyo imechukuliwa na Dorothy Semu. Amewahi kuwa Mbunge wa Tanzania kwa vipindi viwili kuanzia 2005 mpaka 2015 akiwakilisha Jimbo la Kigoma Kaskazini.
  1. Manyanza

    Ujumbe wa Seleman Bungara '' Bwege'' kwenda kwa Zitto Kabwe

    Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini Seleman Bungara 'Bwege' ameandika kwenye mitandao ya kijamii na kueleza kuwa masikitiko yake ya kutomuona Zitto Kabwe, Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo. "Tunajua Tundu Lissu ni rafiki yako wa karibu sana alipopigwa risasi 16 ulisafiri kwenda Kenya...
  2. M

    Kwa namna Zitto Kabwe alivyowahi kuisaliti CHADEMA na watanzania kwa ujumla hakupaswa kupewa nafasi kuongea msibani.

    Kipindi kile CHADEMA ilikuwa na nguvu kiasi cha kukaribia kuchukua dola. Dk Slaa alikubalika sana watu walitaka ukombozi. Lakini Zitto Kabwe akatumiwa kuisaliti Cdm akawa anapewa pesa kwenye magunia ili awahonge wanachama makini wa CHADEMA Warudi CCM. Hakustahili kabisa kupewa nafasi kuongea...
  3. Mhaya

    Zitto Kabwe akataa Kupinga USHOGA asema "Naheshimu Faragha Za Watu"

    Baada ya Chief Odemba kumbananisha Zitto Kabwe na kuambiwa hadharani aping ushoga, kulingana na maadili ya Tanzania na Nchi nyingi za Afrika, watu walitegemea atapinga ushoga kwa kauli moja tu. Badala yake alikwepa na kusema yeye anaheshimu faragha za watu. Jambo lililotafsiriwa kama...
  4. M

    Zitto Kabwe ambwaga Harbinder Sethi Mahakamani tuhuma za kumkashfu na kumvunjia heshima mbele ya umma

    Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali kesi ya madai ya matusi iliyokuwa ikimkabili Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, iliyofunguliwa na Harbinder Singh Sethi wa kampuni ya Pan Africa Power Solutions Ltd (PAP). Pia soma > Zitto Kabwe afunguliwa kesi na Harbinder Singh...
  5. Nyankurungu2020

    CCM watu wabaya sana. Pamoja na Zitto Kabwe kuwa kibaraka wao wamemnyima ubunge.

    Yaani Comedian kama Baba Levo anaingia Bungeni kwenda kufanya maamuzi makubwa kwa ajili ya taifa letu! Zitto Kabwe pamoja na kujifanya mnafiki mwenye udini na anayejali tumbo lake wamekataa kumpa hat ubunge wa mchongo! This CCM hapana
  6. Q

    PostGE2025 Zitto Kabwe: Tunakiri tulishindwa kulinda kura, sasa tuungane kupigania Haki

    Zitto: Kura hata kuhesabiwa hazikuhesabiwa. Zilitangazwa tu. Tulijribu kulinda kura tukashindwa. Tumekiri. Ni muhimu tuungane pamoja kupigania haki za watu.
  7. Common Folk

    PostGE2025 Zitto Kabwe aomba ufanyike uchunguzi wa Umoja wa Mataifa kuhusu mauaji ya Tanzania katika uchaguzi mkuu 2025.

    "Tunatoa wito wa uchunguzi huru na usio na upendeleo kuhusu Mauaji ya Oktoba 2025, unaoongozwa na Umoja wa Mataifa au Umoja wa Afrika. Mwanga wa ukweli na uangaze kila kitendo cha kikatili, kila amri iliyotolewa, kila uhai uliozimwa. Ili kusafisha majeraha haya, ni lazima tuchukue haki ya...
  8. Heparin

    PostGE2025 Zitto Kabwe tulikuonya uache uchawa hukusikia, sasa umeishia kuwekwa Selo na wafuasi wako kushtakiwa kwa makosa yasiyo na dhamana

    Taarifa kutoka Kigoma zinazai dalali wa siasa, Zitto Kabwe aliwekwa mahabusu kwa siku kadhaa baada ya uchaguzi mkuu kwa kuleta vurugu baada ya kushindwa uchaguzi. Inadaiwa aliposhindwa kulinda kura kama alivyojinasibisha kabla, Zitto alianzisha vurugu akipinga ushindi wa Baba Levo, na hatimaye...
  9. Mto wa mbu

    Ni kilio na kusaga meno kwa Catherine Ruge, Moza Ally, Susana Kiwanga na Zitto Kabwe

    Mwaka 2025 ni mwaka wa historia kwenye nchi yetu. Picha lilianza January 24, pale ambapo Mbowe alikumbana na kilio Cha kusaga meno Kwa kupoteza nafasi ya Mwenyekiti Chadema. Basi G55, wakahama chama na kwenda CHAUMMA, kila siku walikuwa wanaitisha press conference kukinanga Chadema. CHAUMMA...
  10. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Zitto Kabwe: Nikiwa Mbunge wanawake watajifungua bure katika Manispaa ya Kigoma

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuwa Mbunge katika jimbo hilo, Manispaa ya Kigoma itatoa nafasi kwa wanawake kujifungua bure. Zitto ametoa kauli hiyo leo, Oktoba 28, wakati wa hafla ya kufunga kampeni...
  11. BigTall

    GE2025 Zitto Kabwe: Vyombo vya Usalama viepuke kuwa chanzo cha uvunjifu wa amani

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama mkoani humo kuepuka kuwa chanzo cha uvunjifu wa amani, akisisitiza kuwa hali ya usalama katika mkoa huo ni shwari. Zitto ametoa wito huo leo Oktoba 28 wakati wa hafla ya...
  12. Mafyangula

    GE2025 Zitto: Haiwezekani wewe mzazi umlipe mlizi anayelinda shule, ulipie umeme wa shule, kazi ya serikali ni nini? Michango hii tutaitoa

    Mgombea ubunge jimbo la Kigoma mjini kupitia ACT Wazalendo @actwazalendo_official Zitto Kabwe ameahidi kuwa chama chake kitakaposhinda nafasi ya ubunge na pamoja na kuwa na madiwani wengi kisha kuongoza Halmashauri ya Kigoma Ujiji kitaondoa michango yote mashuleni katika manispaa hiyo ambayo...
  13. PAYE

    GE2025 Wananchi wamwambia Zitto: Tulikugomea, baadaye tukajuta, tumehenyeka sana

    Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa na mgombea udiwani kata ya Gungu wa chama hicho, walipokuwa wakiomba kura kwa wakazi wa kata hiyo katika soko la masanga, wamekutana na kilio cha wananchi hao juu ya uboreshwaji wa soko hilo. Mmoja wa wananchi...
  14. Waufukweni

    GE2025 Zitto: Oktoba 29 mkapige Kura hakutakuwa na vurugu yoyote

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amewataka wasimamizi wa uchaguzi kuhakikisha zoezi la upigaji kura linakuwa la wazi kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi mkuu. "Ninajua watu wanahofu na uchaguzi, wengine wanauliza tukikupa kura hawa watu...
  15. M

    GE2025 Zitto Kabwe: Kususia uchaguzi siyo suluhisho

    Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kususia uchaguzi siyo suluhisho la kupambana na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani hakijali chochote, bali njia pekee ni kupambana nacho kwenye sanduku la kura kwa kuhakikisha wananchi wanapiga kura nyingi za kukiondoa madarakani...
  16. R

    GE2025 Zitto: Tutakata rufaa kupigania haki yetu ya kuwa na Mgombea Urais

    Kamati ya Uongozi ya chama cha ACT Wazalendo imesema itakata rufaa kupiga uamuzi wa Mahakama kuu Masijala ya Dodoma, kuitupilia mbali kesi ya mgombea Urais wa Chama hicho, Luhaga Mpina aliyepinga kuondolewa kwenye kinyang’anyiro hicho Mahakama hiyo ilisema haina mamlaka ya kuingilia maamuzi ya...
  17. Mafyangula

    GE2025 Zitto: Kesho tutawaambia namna ya kupiga kura ya urais

    Kamati ya Uongozi wa Chama cha ACT Wazalendo inatarajiwa kukaa kikao cha dharura usiku wa leo Oktoba 15, 2025 ili kujadili na kuamua ni namna gani wanachama wa chama hicho watapiga kura ya Urais au watampigia nani. "Usiku wa leo kamati ya uongozi wa chama chetu chini ya kiongozi wetu wa chama...
  18. Mafyangula

    GE2025 Zitto Kabwe: Tukipata wabunge wengi ndani ya bunge tunaenda kushughulika na CCM

    "‎Wamezuia mgombea wetu na kesho(leo Oktoba 15,2025) tunakwenda mahakamni kupata uamuzi, lakini kwa maamuzi yoyote yale bado nyinyi mna maamuzi ya kufanya." Aidha amesisitiza endapo Mpina asipopitishwa na Mahakama, wananchi wawachague Wabunge wa ACT Wazalendo "tukipata wabunge wengi ndani ya...
  19. BigTall

    GE2025 Zitto: Kama Wamasai hawasumbuliwi Uraia kwanini Watu wa Kigoma wasumbuliwe Uraia?

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema moja ya ahadi zake ni kitetea Watu wa Kigoma ambao wamekuwa wakipata usumbufu katika suala la Uraia wao. Zitto ambaye ni Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo amesema hayo Jumapili Oktoba 12, 2025...
  20. ACT Wazalendo

    GE2025 Zitto Kabwe anafanya Mkutano Mkubwa Kigoma, leo Oktoba 12, 2025, asema "Mimi ni Zitto yuleyule"

    Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, leo Jumapili Oktoba 12, 2025 anafanya Mkutano Mkubwa wa Kampeni katika Uwanja wa Community Center. https://www.youtube.com/live/FfJn75bEH7Y?si=XT0o3ke-vz7q0bIs...
Back
Top Bottom