zinauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Spika Za Home Theatre Zinauzwa

    Nauza Spika za Home Theatre Zilizotumika Brand ya Sony. Nipo Kongowe, Temeke DSM. Zina Hali Nzuri Kwa Mawasiliano Nicheki kwa Namba 0610257728
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nauza Arduino UNO mpya kabisa, original kutoka Italia

    Wadau, nina Arduino UNO mpya kabisa, original (OG) kutoka Italy. Zinauzwa bila cable. 💰 Bei: Moja: TSh 25,000 Mbili: TSh 40,000 📱 WhatsApp: 0715460098 Wahi, zipo chache sana!
  3. JamiiForums Tanzania Gari hizi zinauzwa bei nafuu landcruiser 55m, harrier anaconda 50m, v8 vxr lc 300 mpya bei 750m

    HIlo gari juu landcruiser inauzwa 55,000,000 TZS HIlo gari juu harrier anaconda inauzwa 50,000,000 TZS Wale wapenda chombo cha moto kipya ni landcruiser lc300 ni jipya new bei 750,000,000 TZS., Magari yote yanapatikana mkoa wa dar es salaam, wilaya ya kinondoni, kuona 30,000 TZS,,, Wasiliana...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ekari 500 za ardhi zilizopimwa zinauzwa Msata -Chalinze

    Bilioni tano (5) kwa zote. Eneo lipo kilometa kutoka barabara kuu ya Msata kwenda Chalinze. Nioo inbox kama unahitaji
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini harrier anaconda used hapa bongo zinauzwa sana

    Habari za weekend Team, Nimegundua harrier anaconda zinauzwa sana yani ile mtu ananunua anakaa nayo miaka miwili mitatu anaiuza kwani zina changamoto gani pia hata mitandaon kwenye zile page wanazouza magari lazima utazikuta anaconda zinauzwa ambazo zimetumika hapa bongo miaka miwili,tatu mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Begi za Mtumba zinauzwa

  7. D

    JamiiForums Tanzania Apartments zinauzwa zipo Msasani beach

    Mango tree residence ni mradi mpya wa nyumba za makazi na biashara, Ni mradi wa majengo ma 5 yenye gorofa 17 kila jengo, mradi tayari umeanza kujengwa toka mwezi wa 8 mwaka jana, ambapo unatarajiwa kukamilika mwakani 2027 kwa phase 1 na 2029 kwa phase 2. Unit zinapopatikana hapa ni one, two...
  8. D

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mango Tree Residence Apartments for sale

    MANGO TREE RESIDENCE Located in Msasani beach Dar es salaam Tanzania we are happy to invited you to visit our project. Our project is at Golden location, first of all it is located nearby beach indian oceanic, secondly it is surrounded by important services for humans such as TMJ Hospital...
  9. JamiiForums Tanzania Bajaji zinauzwa used na mpya

    Uzi huu ni maalumu kwa kupost bajaji, pikipiki na magari yanayouzwa..... Bajaji numbe ELV Ipo dar es salaam inauzwa Tsh. 7.5mil.
  10. JamiiForums Tanzania Baada Ya Muda Kupita Nimeelewa Mo Alikuwa Anatoa Ujumbe Upi Na Kwa Nani , Na Alimaanisha nini...

    Kuna clip Mo alikuwa anahojiwa akasema alishanunua Bugatti Chiron halafu akauza pasipo kuliendesha wala hata hakuliwasha hilo gari. Mo anasema aliona hawezi ku afford gari linauzwa bei mbaya kiasi kile 4.5 Million Euros nadhani tax excluded.. Pesa aliyouza faida yake akanunua mashine za...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Used tv , home theater na fridge zinauzwa

    Nauza Hisence TV 43" , Home Theater LG 1500watts na Fridge Hisence milango miwili. Bei vyote 1,500,000/=.call 0754410309
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mbao za mnazi zinauzwa

    Mbao za mti wa mnazi 2*4 futi 3 zinauzwa bei ni 8000. Zipo Tuangoma.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mbao za mnazi zinauzwa

    Mbao za mti wa mnazi 2*4 futi 3 zinauzwa bei ni 8000. Zipo Tuangoma.
  14. JamiiForums Tanzania EKARI 4,670 ZINAUZWA, ENEO LIPO PANGANI TANGA, BEI NI MILLION 1 KWA KILA EKARI

    #shambalinauzwa Shamba la Ekari 4,670 linauzwa Pangani, Tanga Distance Kutoka Kivukoni cha Pangani (ferry) hadi shamba ni km 14 -Shamba lilikuwa linalimwa Mkonge -Plot size Ekari 4,670 -Document: Title Deed Bei shilingi milioni 1 kwa kila ekari moja 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  15. JamiiForums Tanzania INAUZWA SSD zinauzwa @ 120,000/=

    SSD zinauzwa 512GB SATA Moja 120,000/= (zipo mbili) Zipo Mbezi beach Mawasiliano: +255625550108
  16. C

    JamiiForums Tanzania MASHINE ZA UWAKALA BANK ZINAUZWA na Laini za Uwakala

    Mashine za uwakala wa Benk zinauzwa Benki zilizopo NBC EQUITY CRDB NMB SELCOM EXIM LAINI ZA UWAKALA TIGO VODA AIRTEL HALOTEL Bei ya VYOTE 6M haipungui. MAWASILIANO : 0653851536 Location : Dar Es Salaam,Kijitonyama NOTE : Ukinunua Mashine itabidi uwe na AMBA YA NIDA, LESENI na TIN...
  17. JamiiForums Tanzania Hizi Lamborghini Urus zinauzwa kama bei gani hivi?

    Maana kuna mwamba anavimba nayo mitaani sijui itakua bei gani? Kwa maana ata kikokotoo cha TRA hawajaweka, ila simple Google inatuambia new one kuanzia Billion
  18. JamiiForums Tanzania Ekari 18 zinauzwa, beach area, zipo Dar Kigamboni

    Beautifully Beach Plot for Sale at Kigamboni Kibugumo ●Area size 18 acres ●Price 1.3m usd ●Document Title deed ●Distance from main road is 1km Contact us and Schedule a visit: 🇹🇿+255758844717
  19. J

    JamiiForums Tanzania Bajaji used TVs no D zinauzwa bei nzuri zipo Dar

    Bajaji Tvs no DGK inauzwa , kwa sasa IPO inafanya kazi mbezi Bei 3M Contact: 0675336219
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba nyingi za Dar zinauzwa na Benki?

    Nimefanya utafiti kupitia ukurasa wa Dsm Brokers (Instagram) mpaka sasa nimegundua nyumba nyingi za dar zinauzwa na benki kwasababu ya madeni sasa sijui tatizo ni nini ikiwa mkoa wa dar unasifika kuwa kitovu kikuu cha fursa za kifedha na biashara, Katika utafiti wangu kupitia ukurasa wa hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…