zilipendwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mwigulu anatumia matatizo ya wananchi kujijenga kibinafsi ingawa mbinu hii ni zilipendwa! Anatamani matatizo ya watu yawe mengi!

    Nilimsikia juzi anadai eti baada ya simba na yanga mtu anayeongoza kwa kutajwa ni yeye. Niwaombe watanzania tukatae huu uzamani na mbinu za kienyeji kutatua matatizo ya watu. Huyu mheshimiwa ni mzito wa kusoma alama za nyakati. Hii mbinu aliitumia na kuipatia sana magufuli lkn hata hivyo...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Lingala, rhumba tunes! Zilipendwa

  3. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Part three: Burudika na Instrumental beats za nyimbo za zamani (zilipendwa)

    PART THREE: Hizi hapa 15 INSTRUMENTAL BEATS za nyimbo za zamani (zilipendwa). 1. DULLY SYKES - Salome 2. BABALEVO - Kama kawa 3. SPACK - Ombi langu. 4. JAYDEE - Mambo matano. 5. ANJELLA - Toroka. 6. SUMALEE - Chukua time. 7. TIMBULO - Sina hali. 8. OFFISIDE - Kidudu mtu. 9. MIRROR - Nibembeleze...
  4. Right Marker

    JamiiForums Tanzania PART TWO: Burudika na Instrumental beats za nyimbo za zamani (zilipendwa)

    PART TWO: Hizi hapa 15 INSTRUMENTAL BEATS za nyimbo za zamani. 1. RADO - Usiulize. 2. DAZZ BABA - Wife. 3. AMIRADO - Nimechoka. 4. TUNDAMAN - Asinah. 5. MAKHIRIKHIRI - Dumelang. 6. BASHARI - Siwema. 7. PICCO - Katoto. 8. BICHEKA - Macho yanacheka. 9. RAY C - Nimekuvumilia. 10. RAY C - Mahaba ya...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane kampuni, mabasi na vengine vilivyo vuma tanzania miaka 2000 kushuka chini

    Mimi nakumbuka kuna mabasi yalikuwa yanaitwa Saibaba,mtoto wa simba. Tukija wanamuziki kulikuwa three sister enzi hizo za ITV wadada fulani swaga za ulaya,mtoto wa dandu,msondo ngoma. Upande vitu navyo kumbuka Airport ya dar ilikuwa free kuingia juu kuangalia ndege. Lengine ilikuwa si rahisi...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Zilipendwa: Champions League 1990 - 2010

    Tunaanza na Barcelona, huku tukienda na timu zingine huko mbeleni..... Edgar Davis Samuel Etoo Ronaldinho Luis Figo Patrick kluivert Rivaldo Puyol
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nimemuambia gen-z mmoja kuwa tulikuwaga tunaweka vocha hakuna huduma ya kujiunga dakika nyingi kwa hio unaongea fasta fasta salio lisikate eti aamini

    Eti anasema "hio ilikuwa miaka ya 80 nini ??🤣🤣🤣🤣🤣" Millenials mmeanza kuwa makumbusho ya taifa sasa
Back
Top Bottom