zawadi

  1. JamiiForums Tanzania Balaa la zawadi

    Basi akanilaumu sana akatoa lawama za kutosha, ya kwamba kwanini nilimtendea vile, lakini haikuwa kosa ni moja wapo ya kutekeleza jambo husika. Turudi nyuma kwenye stori za maisha yetu ya kila kukicha, hapo awali niliwahi kupanga chumba katika moja ya jiji nchini tanzania, katika hiyo nyumba...
  2. JamiiForums Tanzania Mbowe azidi kukubalika kwa wananchi, apewa zawadi ya kuku na mtoto mdogo huko Kigoma

  3. JamiiForums Tanzania Usalama wa Rais Dkt Samia kukumbatiana na aliyepewa zawadi kwenye tukio la Azam

    Great thinkers, Nimeshangaa sana tena sana. Inakuwaje rais wetu na amri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama anakumbatiwa na raia kiasi kile?? Jamani nimestuka mno.
  4. JamiiForums Tanzania Week nzima nataka nitoe zawadi kali kwa wadada watano wa JF. Nimeguswa tu moyoni

    Well, nimewaza niwafanye nini wadada wa JF ambacho watanishukuru na kunikumbuka milele. Nikapata jibu. Mimi kiuchumi nipo vizuri. Sina shida ndogo ndogo maisha yangu ni uchumi wa juu wa kati. Sijafanikiwa bado kuwa uchumi wa juu wa juu. Ila si haba mambo mengi kwa kweli nayaweza. Tena nayaweza...
  5. JamiiForums Tanzania Zawadi ipi ni nzuri kwa mjamzito?

    Tarehe 28/04/2023 hapa ofisini tutakuwa na get together sehemu za beach Kwa ajili ya kujipongeza kama staff Sasa walianzisha kamchezo Kwa Kila staff kuwa na secreto wake na siku ya tukio hilo tutapeana zawadi, mm nikaokota kikaratasi na secreto wangu ni mama kijacho najiuliza nimnunilie Nini Ili...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna Gari za Ubalozi naziona zinasambaza Zawadi za Vifurushi Misikitini leo tafadhali zigawiwe Kiusawa na si kwa Upendeleo

    Zinasambazwa na Gari za Ubalozi wenye namba 255 sijajua ni Ubalozi wa Taifa gani. Vilivyomo ndani ya Vifurushi Zawadi hivyo (ambavyo GENTAMYCINE nimechungulia Kiuwizi Uwizi ) ni Mchele, Unga, Sukari, Mafuta ya Kupikia, Milo, Siagi, Chumvi na Juice Mchanganyiko. Japo Mimi ni Mkristo (tena wa...
  7. JamiiForums Tanzania Mbeya: Atuhumiwa kumuua mtoto wa kambo kwa kumpiga na kitu kizito kichwani kisha amtupa kwenye shimo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ZAWADI SASTONI NZUNJE [30] Mkazi wa Igalako Wilaya ya Mbarali, Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kambo aitwaye MESHAKI FAZILI MLAWA [12] Mkazi wa Kapyo kwa kumpiga kwa kitu kizito kichwani na kukimbia kusikojulikana. Kamanda wa Polisi...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ni Petro wa Pasaka hii kwa kumsingizia mama kuidhinisha malipo ya ovyo serikalini. Zawadi ya Pasaka kwa watanzania ni mama kumtumbua leo hii.

    Mama umesingiziwa hata alipobanwa na spika bado alishindwa kukana kuhusika kwako kuidhinisha malipo serikalini. Katiba ipo wazi wewe siyo muidhinishaki wa mapato serikalini. Kama unakumbatia kuidhinisha upigaji huu basi unakiuka hata Katiba. Wape mbuzi wa Pasaka yatima wetu lakini kwa watanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Bwana harusi afariki dunia akifungua zawadi iliyotegwa bomu

    Bwana harusi Adlyyne Wangusi amefariki dunia baada ya kufungua zawadi ambayo ilikuwa imetegwa bomu na mume mwenza. Bomu hilo lilidaiwa kutegwa na mpenzi wa zamani wa bibi harusi, ambaye alikuwa na hasira kutokana na mwanamke huyo kuolewa na mwanamume mwingine. Taarifa ya Jeshi la Polisi...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kipi ukipewa na X wako huwezi kukataa?

    Wadau hebu tupeane A ,B C za ma ex wetu
  11. JamiiForums Tanzania Yaani hivi tunavyoipromoti JamiiForums hapa tukikuta Zawadi zetu ni zifuatazo nitanuna hadi Kiama

    1. Key holder ya JamiiForums 2. Handbook ya JamiiForums 3. Cello Pen ya JamiiForums 4. Flyer ya JamiiForums 5. Kupiga Picha na Jengo lao zuri na Nembo yao nzuri kisha kupata nao Lunch na Kuondoka 6. Handkerchief ya JamiiForums 7. Sandals (Kandambili) za JamiiForums Jamani tuandalieni huko...
  12. JamiiForums Tanzania UFM ya Azam Media tafadhali naomba Jina la huyo Mama aliyesema Kauli hii ya Kishujaa niliyoipenda ili nimpe Zawadi ya Mbuzi Jike

    "Mwanamke mwenye Maadili na mwenye Kujitambua ukipigwa na Mumeo hutakiwi Kutangaza kwa Majirani au hata kwenda Kushtaki Kwenu au Ukweni bali unavumilia na unamsubiria Mumeo Hasira zikipungua unamuomba Radhi hata kama unajua kabisa kuwa Mkosaji ni Yeye kwani kwa kufanya hivi utamjengea Kitu Mumeo...
  13. JamiiForums Tanzania Zawadi kwa Mwalimu

    Based on true story Nakumbuka wakati tuko form 3 na 4 class letu lilikuwa linaongoza kwa sifa mbaya za utoro.umalaya hasa watoto wa kike,wizi,kwenda kuiba vitu kwenye mashamba ya walimu,bangi,watoaji mimba,viburi na wazee wa kula hela ya Ada. Hizo sifa zote tulipewa sisi darasani kwetu na...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia ana viwango vya kimataifa, ni zawadi maalum kwa Watanzania

    Kama una afya njema ya mwili na akili hebu chukuwa muda wako kumuangalia usoni Mama Samia kwa kutumia macho yako ya nyama na ya rohoni. Bila shaka utagundua kuwa Tanzania na watu wema wote wako salama chini ya uongozi wake. Uhakika wa kuiona kesho yao na hata kuwaona wajukuu wako kabla hujafa...
  15. JamiiForums Tanzania Watoto ni zawadi pekee

    Habari wana jamii wenzangu... Nipo hapa kukumbushana katika suala la malezi na makuzi ya watoto wetu. Ujumbe huu ni kwetu sote kwa sababu naamini ipo siku kila mmoja atasimama kuwa mzazi. Jamii ya sasa kutokana na utandawazi unao endelea imetokea watoto kukosa mapenzi ya dhati na...
  16. JamiiForums Tanzania Zawadi Mkweru: Elimu ya matumizi sahihi ya mitandao ianzie shuleni

    Zawadi Mkweru, mtumishi wa Jamiiforums, leo ikiwa siku ya wanawake Duniani yupo Mbashara EATV akizungumzia masuala mbalimbali kuhusu matumizi sahihi na salama ya mitandao ya jamii. Katika mjadala huo Zawadi anafafanua umuhimu wa Elimu ya matumizi sahihi na salama ya mitandao kuanza kutolewa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Furahia Uhuru ulionao sasa, ni zawadi kubwa sana maishani mwako

    Nilikuwa sina mpango hata wa kuandika Hii thread lakini naiandika kwa ufupi sana baada ya kupita instagram na kukutana na clip hatari za wahuni wakiwa wanahamishwa gereza huko El salvador Kuhamishwa kwao,mikao yao yani imenikumbusha Moment hatari sana nilizowahi pitia miaka ya zamani hiyo Gusa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Zawadi Ngailo

    Nafurahi kujumuika nanyi kupitia ukurasa huu
  19. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumpa mwanamke zawadi siku ya Valentine kwa kujua hatua mliyopo

    Zawadi yako lazima iwe na uzito na itoke kwa moyo mmoja. Wanaume wengi hutoa zawadi kwa wanawake ili kuomba msamaha au ili apendwe au ili amshawishi mwanamke awe naye kimapenzi, hii hupunguza nguvu ya zawadi. Mwanamke atapokea zawadi yako na kukushukuru. Ili zawadi yako iwe na uzito kwanza...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata qaswida ya Al Madrasat Raufu Rahim inaitwa Zawadi

    Habari nilikua naomba msaada wakupata qaswida ya Al Madrasat Raufu Rahim inaitwa zawadi nimeangaika sana YouTube sijapata naomba mwenye nayo anitumie 0693620048 wsp
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…