zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Akili za Wakongo zipo wapi?

    Hawa wajomba, wanaenda kujaa kwa fally ipupa mil 65, mpaka wakafa 1500. Walikua wanagombea kuzama ukumbini au wako kati. Haya usiulize, nishahudhuria Diamond jubilee, Silent inn, leaders sana tu acha huko duniani. Hawa jamaa hawa, sasa kinachonisikitisha wananapiga makelele tu wanaonewa tu na...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaona mengi sana hivi huwa hamtucheki kweli kwa vituko vya aina hii tuwapo faragha?

    Hii huwa naona kwenye vyumba vya kubadirishia nguo (changing room) hasa kabla na baada ya kazi mnapojiweka sawa ili mrudi ma kwenu. Hata chuo ma bwenini nilikuwa naona sana wanaume wa aina hii. Tulivyo wanaume huwa hatuwazi vitu vidogo vidogo kama hivi. Sasa unakuta mwanaume ana zile bukta za...
  3. JamiiForums Tanzania Misri wamjibu Trump; hawawezi kushiriki kuwaomdoa Wapalestina wana dhamana isiyoweza kuvunjika na ardhi ya mababu zao

    Wanaukumbi. ⚡️🇪🇬BREAKING: Egypt’s Embassy in USA republishes the following as a response to Donald Trump: Egypt’s stance is clear: it cannot be part of any solution that involves the transfer of Palestinians into Sinai. Such a move would trigger a second Nakba, an unimaginable tragedy for a...
  4. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Afrika Mashariki imzuie Kagame kunywa damu ya wakongo, na kula nyama zao katika vita ya Mashariki mwa Kongo

    Sijaisikia jumuiya hii ikitoa kauli au kuitisha kikao cha dharura dhidi ya huyu mla nyama za watu na mnywa damu za binadamu. Wote ni wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki. N. B: for the first time simjui Mwenyekiti wa jumuiya hii wala katibu
  5. U

    JamiiForums Tanzania Trump awaonea huruma mateso wanayopata wapalestina, aagiza misri na jordan kubadili sera zao na kuanza kuwahamishia wengi zaidi nchini mwao!

    Wadau hamjamboni nyote? Rais trump atoka maagizo mazito ya kiutendaji kwa nchi za Jordan na misri Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: January 26, 2025 By Agencies Today, 4:32 am US President Donald Trump says that Jordan and Egypt should take more Palestinians from Gaza, where...
  6. JamiiForums Tanzania Agencies za ukahaba zili ripoti ongezeko la kihistoria la uhitaj wa huduma zao pale viongozi na wanasiasa 3000+ walivyokutana kwenye mkutano wa DAVOS.

    Watu mashuhuri huwa wanakutana kwa ajili ya mkutano wa World Economic Forum huko Davos hii hupelekea kushahimiri kwa biashara nyingine zinazozunguka mji huo ikiwemo ya ukahaba. Huwa wanakutana kuzungumzia kupatia suluhisho la maswala yanayoikumba dunia ikiwemo umasikini. Naona wana deal kweli...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa zao la ufuta majani kujikunja na kukakamaa nitumie dawa gani

    Ufuta wangu una wiki 7 majan yanakakamaa je nipige dawa gani nimeshapga dawa ya duduba lakin hali bado haijakaa sawa
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Poa Communication tawi la Zanzibar huduma zao ni mbovu

    Wakala wa mtandao wa Yas wajulikanao Poa Communication tawi la Zanzibar enelo la Amani huduma zao ni mbovu sana. Nilitaka kupatiwa huduma ya Uwakala wa Mixx by Yas na nikaelekezwa niende ofisini kwao kwani ni miongoni mwa kampuni zilizoteuliwa kutoa huduma hizo. Nilichokikuta najuta hata...
  9. JamiiForums Tanzania Aina za watu na tabia zao kanisani

    Kanisa Lina Aina ya watu ambao hawako katika MISHENI Sawa. Kuna Baadhi ya wahusika uwepo wao Kanisani ni kukamilisha ajenda zao ZINGINE... Katika Historia ya Makanisa Maandiko Matakatifu (Ufunuo 3:14-15) yanaeleza kuwa tupo Kanisa la mwisho ambalo ni Kanisa la Laodakia na tabia za Kanisa la...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CHADEMA ukiisha, baadhi ya watu heshima zao zitashuka

    Habari ya asubuhi, nimekuwa mfuatiriaji wa huu UCHAGUZI na kipindi Cha kampeni CHADEMA ila hawa baadhi ya makada heshima ZAO ZITASHUKA Kwa kiwango Cha 4g badhi ni hawa. 1. Yericko Nyerere. huyu jamaa binafsi nilikuwa mfuasi wake wa kutupwa ni kama wale waumini wa mtumishi mwamposa nilikuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Tumemuona Rais Trump akicheza na Mkewe baada ya Kuapishwa rasmi, hivyo tunaomba na wengine wakiapisha hivi karibuni nao wacheze na Wake / Waume zao

    Na GENTAMYCINE naomba yoyote yule atakayeapishwa huku Afrika (kama kuna Uchaguzi wowote mwaka huu 2025 japo najua hakuna Uchaguzi wowote katika Kumbukumbu zangu) nae akiwa anacheza Muziki na ama Mkewe au Mumewe mara baada Kuapishwa basi atuonyeshe Manjonjo yake ya kujua Kucheza Muziki (hasa wa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini watia nia nafasi ya Urais wanaruhusiwa kuonyesha nia zao mapema lakini wagombea ubunge na udiwani wanaonekana kama wanatenda jinai ?

    Kwanini wagombea urais wanapenda sana wafahamike kwa wananchi mapema zaidi hata mwaka kabla ya uchaguzi lakini ni marufuku kwa watia nia ubunge na udiwani kuonyesha nia zao? Hali hii ipo kwenye vyama vyote vya siasa nchini na ukanda wa Afrika. Mfano kwa sasa mgombea Urais au mtia nia ACT...
  13. JamiiForums Tanzania Hawa koluna na wahalifu wengine nchi ya congo kwa sheria walizowekewa kuna siku watakimbilia nchi jirani kuendeleza kazi zao.

    Waziri wa sheria wa kongo Constant Mutamba.Kupitisha sheria ya kunyonga na kukamata wahalifu kongo kuna weza kusabisha asilimia kubwa au ndogo wengi wakaenda kufanyia nchi jirani. Ili swala nimekumbuka vikundi vya panya road hapa tanzania baada ya kuzibitiwa na mwisho wa siku vilikimbilia nchi...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Roma aeleza hisia zake Vyama vya Upinzani kuwatenga wasanii katika shughuli zao

    Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!!Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return…. Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi kubali upate hasara!!Show moja ya CC EM...
  15. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuacha kuchukua pesa zao bila kulala nao?

    TRUE STORY; nina bahati ya hasa kupendwa na wakaka wa 40+ mpaka 50 huko (hawa wazee nadhani). And nipo 20's mwishoni kabisa bt they use to call me "toto, chakudeka, wengine Mumy etc" ilimradi wanavyojisikia wao☺️🤣, nyie bwana... Bt Guys please aim ya kuandika hii sio Promo wala kutafuta mtu ni...
  16. JamiiForums Tanzania Legends platform: wasanii wa zamani na kazi zao

    Tutaanza na Bob Marley katika kazi iliyotukuka isiyoisha fashion ya no woman no cry (hakuna mwanamke hakuna kilio) No woman no cry lyrics by bob marley [Chorus] No woman, no cry No woman, no cry No woman, no cry No woman, no cry [Verse 1] 'Cause, 'cause, 'cause I remember a when-a we used to...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu ananiomba sana hela. Kwa hali hii nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine

    Kataa ndoa tunajambo letu 2025 mwingine huyu hapa namuachia manyoya shwaaaah uzuri ashalambwa mara mbili japo sikuwa na mpango wa kumuacha ila kwa haya mashuti aisee nakimbia mbio ndefu sana niwaachie pasi wengine. Mimi siwezi kufanya mambo yote hayo mimi sio baba yako. Kila mtu afe na chake
  18. JamiiForums Tanzania Ujio wa wachina laki 3 Tanganyika uwe na tija kwa Taifa na si kwa ajili ya watu wachache na jamaa zao

    Ni ugeni mkubwa mwaka huu.. Maandalizi ni mengi na ni makubwa lakini yanayofanywa kwa siri kubwa sana hasa na wachina wenyewe. Madalali wa kichina tayari wako nchini wakizisaka fursa na kuzishikilia, mashushushu wa kichina pia ni wengi mno Mahoteli yananunuliwa kwa kasi ya ajabu. Migodi...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini vijana wa kiume wanajiachia na kuwa huru kwa dada zao

    Hiyo kichwa inahusika Watoto wa kike wakiolewa kaka zao wanakuja kama ndgu wengine. Cha ajabu tena katika umri mkubwa 30s wanajiachia kama mazombie. Hii kitu siielewi na nimeshuhudia vijana kwenye nyumb a kadhaa wakiwa very free na hawajali hata dada yao akitoa milio ya kupelekewa moto wanaona...
  20. JamiiForums Tanzania Wazungu wamewezaje kuwa wazalendo kwa nchi zao kuliko ilivyo kwa Waafrika wengi kwa mataifa yao!

    Mungu awabariki JWTZ! Uzalendo wao kwa taifa letu si wa kutiliwa mashaka! Lakini hata hivyo sizungumzii majeshi kwenye hii mada! Ninaawalenga viongozi na raia kwa ujumla! Japo siyo wote, lakini Wazungu wengi wapo tayari kuua, na hata ikibidi wao wenyewe kufa kwa ajili ya mataifa yao, wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…