zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Meli ya Serikali iliyokarabatiwa kwa Tsh. Bil 3.6 yauzwa kwa Tsh. Mil 536.8

    Meli ya MV Maendeleo yenye uwezo wa kubeba abiria 600 na tani 697 za mzigo kwa wakati mmoja ilikuwa ikifanyiwa matengenezo Bandari Kavu ya Mombasa, Kenya. Wizara ya Uchukuzi Zanzibar imechukua uamuzi wa kutoendelea na ukarabati na kuiuza Meli hiyo kwa mnunuzi ambaye hajatajwa ili kupunguza...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

    Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara. Wanawake 1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770 2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764 3. Christina Solomon Mndeme Kura...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kupata Guest Zanzibar kwa Tsh 50,000 kushuka chini?

    Ndugu zangu ninategemea kuja Zanzibar kipindi cha mwaka mpya, hivi naweza pata guest ama lodge za bei rahisi kweli kama elfu 50 kushuka chini?
  4. JamiiForums Tanzania Zanzibar na guest isiyo na jina

    Nimekuwa na trend ya kuja Zanziba kila wakati kwa majukumu mbalimbali.Changamoto kubwa huku ni bei ya hotel ambayo mara zote..minimum ni TZS 60,000 ambayo ni Hotel ya kawaida kabisa.Sasa juzi nimekuja tena huku na kumtafuta rafiki yangu akaniambia zipo za bei naafuu. Akanipeleka sehemu fulani...
  5. JamiiForums Tanzania Zanzibar samaki zenu huwa mnauzia wapi? Mbona adimu sana

    Nipo hapa kwenye kisiwa cha marashi ya karafuu jioni nikaenada zangu barabarani kuzurura nikakutana na wauza samaki wa kukaanga sikuuliza bei maana huku bongo huwa tunawanunua kwa buku ikizidi sana buku jero, nikawagonga samaki watatu palepale nikamaliza natoa elfu tano ili nirudishiwe chenji...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wa Utalii ashauri bandari ya Dar, Zanzibar ziboreshe huduma ili kuongeza watalii

    Ushauri umetolewa kwa mamkala za bandari ya Dar es Salaam na Zanzibar kuzingatia ubora wa huduma wanazotoa ili kutengeneza mazingira mazuri ya utalii kwa kuwa kufanya hivyo kutaongeza soko la tasnia hiyo pamoja na kuongeza kipato kwa watu binafsi na Serikali kwa jumla. Ushauri huo umetolewa na...
  7. JamiiForums Tanzania Nini kinachomsibu Rais Mwinyi kwa uteuzi wa aliyekosa imani ya Wazanzibar uchaguzi 2020?

    Wanajamvi kumekuwa na sintofahamu juu ya uteuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi mkuu 2020 hadi kuondolewa katika nafasi hiyo. Kuna jambo halipo sawa au ni mikakati ya kujiimarisha Kiserikali. Karibuni.
  8. JamiiForums Tanzania Ni kwanini mikoa ya Pwani ya Bahari pamoja na Zanzibar wezi hawapigwi sana?

    Mikoa hii mwizi anaweza kujieleza kwanza, anaweza kukanywa, kupelekwa kituoni ama ikitokea kupigwa ni dozi ya kati tu. Tanga Pwani Pemba Unguja, Dar kwa zamani ila sasa wageni wengi sana. Mikoa mingine hata wahuni wakikuitia mwizi umekwisha, hakuna muda wa kukusikiliza, watu wanakusanyika...
  9. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Samia ‘kuwafunda’ mabalozi wa Tanzania nje ya nchi kuanzia tarehe 14-21 Nov 2022

    Mkutano huo uliopangwa kufanyika Zanzibar kuanzia Novemba 14 – 21, 2022 ni wa kwanza tangu Rais Samia alipoingia madarakani na unabeba kaulimbiu isemayo: “Mwelekeo Mpya Katika Kuimarisha Diplomasia ya Uchumi”. Hayo yamebainishwa leo Novemba 12, 2022 na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini ACT Wazalendo wasimpinge Rais Mwinyi Zanzibar? Lazima kuna Tatizo

    Mada inajieleza. ACT ni mdau ndani ya Serikali ya Zanzibar. Makamu wa kwanza wa Rais ndie mshauri Mkuu wa Rais ingawa Rais hapangiwi la kufanya sawa. Tatizo linakuja kwenye Dhamira ya kweli ya kile anachohubiri Rais Mwinyi. Haiwezekani katika hali ya mashaka ya kile kilichotokea uchaguzi wa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kunani ITV kutumika kutangaza utapeli? Ilianza na Vanila Village Njombe, ikaja Kaylinda na sasa inatangaza Vanila village Zanzibar.

    Wale matapeli wa Vanila village Njombe sasa wamehamia Zanzibar. Na ITV iliyokuwa ikiwatangaza wakiwa Njombe (Vanila village Njombe) ndiyo Sasa inawatangaza wakiwa Zanzibar (Vanila village Zanzibar). Hawa ITV ndiyo waliohusika kuwatangaza Kaylinda waliochezesha upatu kwenye mitandao na kisha...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Pan African Humanitarian & Investment Summit 8 November 2022 Zanzibar

    03 November 2022 Zaidi ya wajumbe 250 toka nchi 40 kutua mjini Zanzibar hayo yamebainishwa na mmoja wa waandaji wa mkutano huo balozi-maalum utalii anayeiwakilisha Seychelles nchi Tanzania Bi Maryvonne Pool ( the Seychelles Tourism Ambassador and Consul Tanzania) ambaye ametoa shukrani kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Shughuli za kimuungano zinapofanyika Zanzibar zisimamiwe na Viongozi wa Muungano siyo Zanzibar

    Shughuli za Kimuungano zinapofanyika Zanzibar haimaanishi shughuli hizo zisimamiwe na viongozi toka Zanzibar. Mambo ya Muungano yanasimamiwa na serikali ya Muungano na siyo Serikali ya Zanzibar. Mambo yote ya Muungano yana mawaziri wake wa kuyasimamia.
  14. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Makunduchi (Makunduchi plot for sale.)- Zanzibar

    Plot for sale in Zanzibar - Makunduchi: Area : Makunduchi, opposite VETA college. Document : Title deed Distance: 1.5 kilometer from the beach (Clove Island Zanzibar Villas) Location: 6°24'27.6"S 39°33'52.2"E Size: 600 square meters Contact: 0682955526 Price: TZS 20 million Karibuni wakuu.
  15. JamiiForums Tanzania Kwa mdada/wadada wasafi mliopo Zanzibar naomba wenyeji wenu

    Nimeingia asubuhi hii Zanzibar baada ya kutoka South Africa, kwakweli nimekuja Zanzibar kuangalia fursa za biashara. Nimekuwa nikitamani sana kufanya biashara, na mara nyingi nimekuwa nikitamani kupata rafiki wa kike ambaye tutafanya naye biashara. Asiwe sister du insta mikucha. Hawa huwa...
  16. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Ashikiliwa kwa kujirekodi akiwatolea Lugha ya Maudhi Wazanzibari

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Elizabeth Ngiba (32), kwa kosa la kujirekodi video kupitia Mtandao wa Tiktok na kutoa Lugha ya Maudhi dhidi ya Wazanzibar akiwaambia kwamba licha ya kujua kujistiri lakini Tabia zao ambazo hakuzitaja hazitofautiani na wengine na kuwataka...
  17. 5

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwinyi akosa mahaba Zanzibar

    Habarini wakuu., Nimeona kuna haja ya kuja na uzi huu, ni baada ya tathmini halisi iliyofanywa na wachambuzi mbali mbali kuhusu maendeleo ya wazanzibari wote unguja na pemba. Sera ya Dr Mwinyi wakati wa uchaguzi ilikuwa ni ''yajayo yanafurahisha'' lakini sasa imekuwa ni kaa la moto baada ya...
  18. JamiiForums Tanzania General machines maintainance and repair. Karibu tukuhudumie

    Based on Dar es salaam & Zanzibar. Generator Services, Refrigerator Services, Air conditioners Services, Electrical wiring, Washing machines services. For first & Reliable Services call us First. +255 693 797 110 Cc. Breeze Rabi
  19. JamiiForums Tanzania Zanzibar yaizidi JNIA kwa idadi ya wageni wanaoingia nchini

    Uwanja ndege wa AAKIA mwaka 2021 ulipokea wageni wa kimataifa 732,000 ukifuatiwa na JNIA uliopokea wageni 604,000 wa kimataifa, ikiwa ni tofauti ya wageni 128,000. Ripoti ya takwimu za kitaifa (Tanzania in figures 2021) inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), inaonyesha kuwa uwanja huo...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi ateua Mrajis wa Mahakama Kuu Zanzibar

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…