zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Ulalamishi kuhusu wabara kupata ardhi Zanzibar

    Ninadhani sasa ni muda muafaka wa kulijadili suali nililotaja kwenye 'heading' kwa kina, IKIWEZEKANA LIENDE BUNGENI!, maana naona kuna watu, kwa chuki zisizo na msingi, wameamua kulitumia suala hili kiuchochezi zaidi! HEBU WADAU WAJIULIZE TU KWANINI HAWAPEWI PLOTS KUJENGA 'NGORONGORO...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya Lissu kwenye hizi chuki wanaoneza kuhusu Uzanzibari na Utanganyika?

    Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano. Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa pakubwa kwenye nia yake ovu. Kutamka hadharani kuwa "huyu Rais mzanzibari anauza ardhi yetu" sio...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzanzibar Shaka Hamdu Shaka ni Mkuu wa Wilaya bara, na Zanzibar hakuna Mtanganyika anayeongoza?

    Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, wakati Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 limewaliza Watanzania

    Wakati Watanzania wanaendelea kula Dozi ya Ubongo( Brain Vitamins) kutoka kwa Wakili Nguli na Mpigania haki Mh Makamu Mwenyenyekiti wa Chadema kwenye ziara zake. Mh Lissu ambaye yuko ziarani ktk harakati zake za Kuendesha Maandamano mikoa yote Tanzania na mikutano ya kisiaaa ametoa Takwimu...
  5. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tanzania Bara (Tanganyika) inachukua 98% ya Mapato yote ya Muungano, Zanzibar inaambulia 2% tu

    Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar. Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyakazi wa Zanzibar wawekewe nauli za usafiri kwenda kazini na kurudi wa Tanzania bara wasipewe?

    Watanzania mjue jambo moja tu. Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo. Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo. Raisi Samia angalia hili
  7. J

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuomba uraia Zanzibar

    Kuna namna hainipendezi kwenye huu muungano. Yaani ukiwa mzanzibar una haki zote katika huu muungano ila ukiwa mtanganyika huwezi hata kuajiriwa na Serikali ya Zanzibar wala kwenda kujenga Zenji, ila ukiwa mzenji unaweza fanya lolote huku bara sasa si ni heri uwe Mzanzibari tuu.... Naomben...
  8. JamiiForums Tanzania Mei Mosi: Wafanyakazi Zanzibar kuongezewa Tsh. 50,000 kama posho ya nauli

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Wafanyakazi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wataongezewa posho ya shilingi elfu hamsini (50,000) ya nauli ili kuleta ufanisi katika kazi na kurahisisha masuala ya usafiri kwa ajili ya nauli za kwenda...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia kakwepa Hoja za Wafanyakazi na kamtuma Makamu wa Rais wakati Rais wa Zanzibar yeye amevunja ziara kwa ajili ya Mei Mosi?

    Ni swali linaloniumiza Kichwa Hapa Arusha. Kila nikiangalia Naona kabisa hakutakuwa na majibu ya Wafanyakazi Nchini zaidi ya Porojo.. Nilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama Kikokotoo, Maslahi yao na hata Kuongezwa Mishahara.. Mbona amekimbia? Mbona mwenzake wa Zanzibar...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Hii video ina-trend ya namna kijana Ali alivyonyanyaswa na kubaguliwa Zanzibar

    Nimeiona hii video ya kijana Ali mwenye ulemavu na tatizo la kifafa. Nimesikitika sana alichofanyiwa na wananchi wenzetu wa Zanzibar. Huyu kijana kwa wanaomjua wanasema amekulia Sinza na ni mlemavu kweli na amekua akiishi kwa kupata vibarua na kuomba msaada wa chakula na hela. Udhalilishaji...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nape amuombe radhi Tundu Lissu, sio kosa kumuita Rais Samia Mzanzibari, ni takwa la Katiba ya Zanzibar

    Salam Wakuu, Tumemuona Waziri wa Habari, Teknolojia na Mawasiliano akimkemea na kumwagia shombo Lissu ndani ya Bunge kua Lissu amefanya ubaguzi kumuita Rais Samia mzanzibari ambae anatawala Tanganyika. Naomba tusome kidogo katiba ya Zanzibar Tumsikilize Rais Samia mwenyewe...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hivi maslahi ya Tanganyika kwenye Muungano na Zanzibar yanatetewaga na nani?

    Nimekua nikifuatilia mijadala mingi sana ya viongozi wetu, na kugundua kwamba tofauti na watanganyika, wenzetu wazanzibari wote kwa pamoja wako macho sana kuhusu maslahi yao ndani ya muungano. Kibaya zaidi ni kwamba kwa huku bara hata wale wa mrengo wa upinzani wanasisitiza tu kwamba eti...
  13. JamiiForums Tanzania Kuelekea miaka 10 ya ACT Wazalendo, je kuna mpasuko Bara na Zanzibar?

    Jana ACT Wazalendo imezindua nembo Mpya ya Chama katika kusherekea miaka 10. Lakini Mwenyekiti wake Othman Masoud Othman alimaarudu OMO hakuwepo ukumbini, Jussa ambae ni Makamu Mwenyekiti upande za Zanzibar (mhafidhina) hakuwepo ukumbini. Je, ACT Wazalendo Bara na Visiwani Kila mtu kaamua...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume: Tatizo Watanganyika hawajitambui utaifa wao, sisi Zanzibar hatuwezi kufuta utaifa wetu

    Wakili msomi Fatma Karume anasema kuwa viongozi waTanganyika ndiyo tatizo. Viongozi wa Zanzibar na wananchi wa Zanzibar wanajitambulisha kama wazanzibari katika muungano wa nchi mbili kisha inafuata uTanzania. Lakini viongozi wa kutoka upande wa bara hasa hawa wa CCM na serikali yake...
  15. JamiiForums Tanzania Ukiacha electronics kununua Zanzibar suala la nguo na viatu

    Wengi husema electronics kwa Zanzibar ni bei nzuri. Je kwa upande wa nguo na viatu ikoje? Naweza nunua Nguo au Viatu Zanzibar badala ya Dar Es Salaam? Kuna bei nzuri kwa vitu hivyo? Au nini naweza nunua Zanzibar kwa bei nzuri kuliko Dar. Ukiacha tende, ubuyu na halua.
  16. JamiiForums Tanzania Lissu: Zanzibar ni koloni la Tanganyika

    Msikilize Lissu hapa akitema cheche Ukweli lazima uwekwe wazi
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano, leo Aprili 26, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiongoza Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano, leo Aprili 26, 2024 ambapo Marais na viongozi kutoka nchi mbalimbali za Afrika wamehudhuria. https://www.youtube.com/live/R3pfPUmz0VU?si=2VIbcr69kskARqvU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  18. JamiiForums Tanzania Historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Aprili 26, 2024: Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuriy a Watu wa Zanzibar ziliungana na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo Bunge la Tanganyika na Baraza la Mapinduzi lilithibitisha Mkataba huo Muundo wa Muungano Muundo wa Muungano wa Tanzania kama ulivyoelezwa katika...
  19. JamiiForums Tanzania Watanganyika ndio Wazenji halisi

    Naam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi! Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio wazanzibari orijino. Asili ya neno Zanzibar ni maneno mawili ya kiarabu. "Zanj" ikimaanisha 'watu...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaoifahamu Zanzibar, hii mvua imewahi kutokea lini??

    Najua hapa hawakosekani wakongwe wa Zanzibar, hata kama hukuwepo wakati huo basi kwa namna moja ama nyingine utakuwa ulihadithiwa ama kusimuliwa! Hii mvua kubwa iliyoanza leo saa saba usiku kwa kiasi kilekile mpaka saa hizi saa tano asubuhi haijakata iliwahi kunyesha lini?? Nitoeni hofu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…