Kuna matumaini kuwa huenda mafuta yakagundulika Zanzibar. Ni habari njema!
Hilo likitukia, Tanzania itakuwa tajiri kama Libya ilivyokuwa kabla ya kuangushwa kwa utawala wa Gaddafi?
Sina uhakika kama Gaddafi alikuwa na Maalmasi, Matanzanite, Madhahabu, na Mamikaa ya mawe kama Tanzania, lakini...
Kampeni ya Taifa ya Mtoto Ni Mboni Yangu imesogezwa mbele na kutarajiwa kuanza Desemba 14, 2024 Zanzibar chini ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ikisimamiwa na Waziri Riziki Pembe Juma kwa kushirikiana na Taasisi ya Ndoto Ajira.
Lengo la Kampeni hii ni kuwalinda watoto...
Ikiwa zimebaki siku mbili tu kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania Bara, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetoa taarifa kuwa Jumatano ya Novemba 27 ni siku ya kazi kama kawaida Zanzibar. Taarifa hiyo imetolewa na ikulu
Soma pia: LGE2024 Tamko la kutangaza siku ya uchaguzi wa...
Wakuu,
Hivi karibuni Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis alisema kuwa serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) inaenda kujifia 2025 na pamoja na kwamba anaipenda sana aina hiyo ya serikali lakini hana jinsi zaidi ya kuona mwisho wake...
Naibu Kamishna Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA - Zanzibar Bw. Saleh Haji Pandu amesema wataendelea kuvilea vilabu vya kodi mashuleni ili kuwaandaa watoto kuwa walipokodi wazuri wa baadae na kuwa mabalozi kwa jamiii juu ya ulipaji kodi kwa hiyari.
Bw. Pandu ameyasema hayo tarehe 23/11/2024 kabla...
Kuna neno Tanzania na Kuna neno Zanzibar, haya maneno mawili hayana shida, yako vizuri tu na yanaeleweka ila unapojaribu kuyaweka kwenye sahani moja ndipo utaona utata wake.
Utata usiomithirika.
•Ukifika wakati wa uchaguzi mkuu ndipo utagundua kuwa haya maneno yana utata sana. Kuna watu...
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa, amewaomba wananchi wa Mtaa wa Komesho, Kata ya Msambweni, Jimbo la Tanga Mjini na vijiji vya jirani kuwaamini wagombea wa chama hicho kwa kuwapigia kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.
Akizungumza...
Mimi ni Mwanafunzi wa degree, nipo Mwaka wa Pili katika chuo Cha Abdurahman Al-Sumait kilichoko Zanzibar.
Mimi na wenzangu tulipata ufadhili wa masomo (Scholarship) kutoka Taasisi ya Direct Aid Society ambayo zamani ilijulikana kama African Muslim Agency (AMA) ambayo ndio wamiliki wa Chuo cha...
CHUO cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kupitia Kituo chake cha Kikanda cha Umahiri katika Usalama Barabarani kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usafiri na Usalama Barabarani Zanzibar (ZARTSA) kimetoa mafunzo ya usalama barabarani kwa madereva na makondakta wa gari za abiria wa Mkoa wa Kaskazini...
Miezi kadhaa nyuma wife alikuwa anahitaji kununua simu baada ya survey za hapa na pale mitandaon tukakutana na page za kuuza simu mitandaoni location Pemba ila wanatuma mzigo popote.
Bei zake zinaonekana za chini sana kuliko bei za maduka mengi sasa picha linaanza kwenye picha zote kwenye page...
Mwenyekiti wa CCM, Jimbo la Nungwi, Ali Adibu Mbwana
Pia Polisi walisema gari lilikuwa halina Plate Number, mzigo huu hapa
Pia soma:
~ Zanzibar: Vijana wawili wauawa na wengine 2 kuumizwa vibaya. ACT yataka Jeshi na Polisi kufanyiwa mabadiliko Kimuundo na Kiutendaji
~ Jeshi la Polisi kuunda...
Salaam Wakuu,
Zanzibar yaandaa Bonanza la Utalii, Michezo na Utamaduni la Pemba, tarehe 27 hadi 30 Novemba 2024.
Hapa chini ni Hotuba iliyotolewa leo na Mhe. Mudrik R. Soraga Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale kuelekea Bonanza hilo.
======
HOTUBA KWA UZINDUZI WA PEMBA TOURISPORT AND CULTURAL...
Nimemuona Rais Mwinyi akiwa Uchina akipigia debe, pamoja na mambo mengine, Bandari ya Mangapwani. Katika hotuba zake kadhaa, Rais Mwinyi ameonyesha nia ya dhati kuifanya bandari hiyo iwe kubwa kabisa Afrika Mashariki.
Upande wa pili, inaelezwa kwamba bandari ya Bagamoyo ikikamilika, itakuwa na...
Na -Nishan Khamis
Zanzibar: Mitandao ya kijamii imeleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano ya kisasa, ikitoa fursa za kipekee kwa viongozi, wakiwemo wanawake, kujitangaza, kujenga majukwaa ya kuwasiliana na jamii, na kushawishi sera za kisiasa. Hata hivyo, changamoto nyingi zinawakabili...
Kampeni ya Taifa ya Mtoto Ni MboniYangu inatarajiwa kuanza Novemba 23, 2024 Zanzibar chini ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ikisimamiwa na Waziri Riziki Pembe Juma kwa kushirikiana na taasisi ya Ndoto Ajira
Lengo la Kampeni hii ni kuwalinda watoto dhidi ya Ukatili...
“Niliishiwa na nguvu wakati aliponiambia kama unaitaka hii nafasi basi lazima tukutane kimapenzi kwanza ndio uipate,” anasema Sharifa.
Kitu pekee kilichomjia kichwani kwake ni kuliweka jambo hilo liwe siri, libaki milele kwenye shimo la nafsi yake, hakutaka mume wake ajuwe nini kilimkuta hata...
Habari za kuamka wakuu
Kiufupi mm sio muandishi mzuri lakin kuna kitu nataka kuwasilisha baada ya kuishi huku Zanzibar.
Tokea nimehamishwa kikazi kutoka mkoa X kuhamia Zanzibar kuna mambo yananishangaza kuhusu wazanzibar na nchi yao!
1.Gharama za maisha
Kama mnavyo jua zanzibar ni mji wa...
Kwa wasiofahamu washiraz ni jamii ya ya watu huko iran kama kabila hivi.
Achana na washirazi wa hapo unguja na mafia naongelea washiraz original.
Hawa wanaweza kua ni kabila lililokua na mchanganyiko wa wairan hao wa zamani ndipo wakajiita washiraz
Sasa twende basi, unakumbuka chama cha Afro...