zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar watu hawatekwi, kuuawa na kupotea?

    Najiuliza ili swali inakuwaje Zanzibar watu hawatekwi na kupotea Kama bara? Toka watu wameanza kutekwa na kupotea mwaka 2016 mpaka mwaka huu ni 2024!! Sijawai kusikia mzanzibar katekwa na kupotea Ila watanganyika ndio waanga wa utekaji na kupotea hii ni bahati mbaya au Nini ? Sipati majibu...
  2. JamiiForums Tanzania Siku kama ya Leo 10 Disemba 1963 nchi ya Zanzibar Ilipata Uhuru wake

    Leo ni kumbukizi ya siku ya Uhuru wa nchi ya Zanzibar. Mnamo tarehe 10 Disemba 1963 nchi hiyo ya Zanzibar ilipata uhuru wake toka kwa wakoloni wa Uingereza ambao walikuwa wameitawala nchi hiyo kwa takriban miaka 73 (tokea 1890). Mohamed Shamte alikuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar huru akiongoza...
  3. JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya Wasaini Makubaliano Kuendeleza Maendeleo Endelevu Zanzibar

    Umoja wa Ulaya (EU) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wamesaini makubaliano mawili muhimu yanayolenga kukuza maendeleo endelevu, uhifadhi wa bahari, na usawa wa kijinsia. Makubaliano hayo yalisainiwa mbele ya Riziki Pembe Juma, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto; Rita...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 OMO: Zanzibar Hatutakubali Kura ya Siku Mbili 2025

    Mwenyekiti wa ACT- Wazalendo Taifa, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, amesema ACT Wazalendo haitakubali Zanzibar kufanyika kura ya siku mbili. Mheshimiwa Othman, ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ameyasema hayo leo Jumatatu Disemba 09 2024, aliposhiriki akiwa Mgeni Rasmi...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanganyika ilikufa na Zanzibar ikabaki?

    Huu muungano huu kiukweli pamoja na kusoma kwangu shule zote sijawai kupata majibu kutoka kwa wanasiasa au walimu wanaofundisha ! Nina maswali wataalamu naomba mnijibu Tanganyika iko wapi? Mbona Zanzibar ipo? Kwanini Zanzibar utoa Rais wa Tanzania wakati Tanganyika haiwezi kutoa Rais...
  6. JamiiForums Tanzania Naye Rais Mwinyi wa Zanzibar Atunukiwa PhD ya Heshima Katika Uongozi Unaoacha Alama na Chuo Kikuu Cha Zanzibar (SUZA)

    Hongera Rais Mwinyi unastahili tuzo hii ya Uongozi Unaoacha Alama. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Zanzibar. Chuo Kikuu cha Zanzibar kimemtunuku Shahada hiyo ikiwa ni kutambua na kuthamini...
  7. JamiiForums Tanzania Double Standard: Kwa mwaka huohuo mmoja wa kalenda, Sherehe za Mapinduzi Zanzibar sawa, ila Sherehe za Uhuru wa Tanganyika hapana

    Kwa maoni yangu, hili halijakaa sawa. Sherehe hizi ni za Wananchi au ni za Viongozi tuliowaweka madarakani? Je, bila kufanya kinachosemekana ni Kitaifa pale uwanja wa Uhuru, nchi imekosa njia ya namna huku vijijini Matombo wananchi tukasherehekea? Wadau naombeni maoni yenu,tuishauri Serikali yetu.
  8. JamiiForums Tanzania APRM Tanzania na Namibia wakutana Zanzibar kuimarisha utawala bora

    Watendaji wa Taasisi ya Mpango wa hiyari wa Kujitathmini katika vigezo vya utawala Bora wa Umoja wa Afrika (APRM) kutoka Tanzania na Namibia wamekutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar, Mheshimiwa Haroun Ali Suleiman, katika mkutano uliofanyika...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini ushoga ni mwingi Zanzibar kuliko Tanzania Bara?

    Takwimu zinaonyesha na ukweli unadhihirisha kwamba vitendo vya kishoga nchini Tanganyika ni vichache kuliko ilivyo nchini Zanzibar, hadi kufikia hatua ya kukemewa na viongozi wa dini wanaokerwa na tabia hizi chafu. Tazama jinsi mashoga yanavyofanya shughuli zao na kujinadi hadharani bila...
  10. JamiiForums Tanzania Ofisi ya uhamiaji watangaza nafasi mpya za kazi, November 2024

    Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana wa Kitanzania wenye sifa zifuatazo: 1. SIFA ZA MWOMBAJI Awe ni raia wa Tanzania; Awe hana ajira...
  11. JamiiForums Tanzania Bondia aliyefariki Zanzibar kwa kupigwa TKO, azikwa Dar

    Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Abassi Mselem, ambaye Novemba 30, 2024 alipigwa ulingoni na kupoteza fahamu kisha kufariki Desemba 1, 2024, amezikwa leo jijini Dar es Salaam. Mselemu amezikwa kwenye makaburi ya Saku yaliyopo Mbagala jijini Dar es salaam baada ya mwili wake kuwasili leo...
  12. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Jamii yatakiwa kupinga vitendo vya ukatili, uzalilishaji na rushwa

    WAZIRI wa Maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma ameitaka jamii kushirikiana kwa misingi ya maadili mema, kudumisha amani na utulivu Nchini katika kuondokana na kushamiri kwa vitendo vya ukatili, udhalilishaji, wizi na rushwa ili kuleta maendeleo ya haraka...
  13. JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu wa Zanzibar tuwe makini, wengi wanatepeliwa kwa kuambiwa wanatafutiwa safari ya nje ya Nchi

    Huku Zanzibar kumeibuka tabia ya Watu ‘kupigwa’ sana pesa kwa kisingizio cha kutafutiwa safari za kwenda nje ya Nchi. Wengi ninaowafahamu waliokutwa na changamoto hiyo wameingizwa mjini kwa kuambiwa wanatafutiwa safari ya kwenda Nchini Canada, wanashawishiwa kuwa watakuwa na maisha mazuri...
  14. JamiiForums Tanzania Wabunge Wanawake Zanzibar: Uwekezaji Unaofanywa Umekuwa Kichocheo cha Kukuza Uchumi Zanzibar

    WABUNGE WANAWAKE ZANZIBAR: UWEKEZAJI UNAOFANYWA UMEKUWA KICHOCHEO CHA KUKUZA UCHUMI ZANZIBAR Wakiwa Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 30 Novemba, 2024, Wabunge Wanawake Zanzibar wameeleza kuwa Uwekezaji unaofanywa na Serikali umekua ni kichocheo cha kukuza uchumi na maendeleo ya nchi. Hayo...
  15. JamiiForums Tanzania Wabunge Wanawake Zanzibar Wafika Kaskazini Unguja, Wakagua Miradi Iliyotekelezwa

    WABUNGE WANAWAKE ZANZIBAR WAFIKA KASKAZINI UNGUJA, WAKAGUA MIRADI ILIYOTEKELEZWA Wabunge Wanawake Zanzibar wakiwemo Wabunge wa Majimbo na Wabunge wa Viti Maalum wameendelea na ziara yao ya kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya Rais wa Zanzibar na...
  16. JamiiForums Tanzania Wabunge Wanawake Zanzibar Wapongeza Miradi Mikubwa Ilivyoleta Maendeleo Zanzibar

    Wabunge wa Umoja wa Wanawake (UWT) Zanzibar (Wabunge wa Majimbo na Wabunge wa Viti Maalum) tarehe 28 Novemba, 2024 wameanza ziara rasmi kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya Rais, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Katika ziara yao, Wabunge Wanawake...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Barabara Mtaa wa Magomeni Jitini - Unguja, imechimbwa na kutelekezwa, kuna usumbufu mkubwa wa magari kupishana

    Hapa Mtaani kwetu Magomeni Jitini katika Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua kwa muda wa wiki tatu sasa. Kuna Barabara imechimbwa, hakuna ujenzi unaoendelea mpaka sasa, hali inayofanya madereva kutumia njia moja hali inayosababisha kero ya...
  18. JamiiForums Tanzania Tetesi: Jimbo la Zanzibar ya Wamasaai linaenda kwa mwangalizi wa Mali Mkuu wa Hekaya aliyestaafu

    MSG ndo anaandaliwa kushika jimbo ambalo ni Zanzibar’s ya wamasaai, kulinda Maslahi za familia ya mkuu wa hekaya alostaafu, Itakuwa Mwaka 2025 wala si now Ikumbukwe mzee wa kuambiwa changanya zako ndo mmiliki halali wa Mali zinazosemekana za MSG! Vikao 10 sasa !!! Britanicca
  19. JamiiForums Tanzania Yanga waache kujipendekeza na Zanzibar

    Jezi mpya za Yanga kwaajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zimeandikwa Visit Zanzibar kwa nyuma upande wa chini. Huko ni kujipendekeza kiwango cha SGR. Kwanini wasitangaze Visit Tanzania, Visit Mount Kilimanjaro, Visit Ngorongoro, Visit Tarangire au basi Visit Kigoma na maeneo mengine ya utalii...
  20. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zanzibar hakuna Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, tupeane elimu kidogo kuhusu Chaguzi

    Hivi karibuni huko Tanzania Bara kumekuwa na mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo leo Novemba 27, 2024 Wananchi wanapiga kura. Mimi kama mdau wa siasa na mifumo ya Uchaguzi Zanzibar nimekuwa nikipokea maswali mengi kuhusu kwanini Zanzibar kumekuwa hamna shamrashamra za Uchaguzi kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…