zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Je, kuanzishwa kwa Shirika la Mawasiliano Zanzibar ina maaana Mawasiliano yameondolewa katika mambo ya Muungano?

    Kwa mwenye ufahamu kinachoendelea Zanzibar baada ya kuundwa kwa Shirika la Mawasiliano Zanzibar ni nini? Mimi nijuavyo mambo ya mawasiliano ikiwemo Posta na Simu ni mambo ya Muungano. Hata sheria iliyoanzisha Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) Act 12 of 2017 imetamka wazi kuwa itatumika...
  2. JamiiForums Tanzania FREELANCER WA ZANZIBAR ANAHITAJIKA

    Habari wanaJF NInahitaji mtu mwenyeji wa zanzibar, awe anauelewa kidogo na taaratibu za kiserikali zanzibar. Call 0693410889
  3. JamiiForums Tanzania Story ya kurejea kwa Sultan wa Zanzibar ni Fake News! JF Tumelishwa Tango Pori!. Asante Kaka Chale kuniwezesha kuupata ukweli

    Wanabodi, Hii story ya Sultan wa Zanzibar kurejea Zanzibar Ni fake news. Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni Jana baada ya kuisoma na kuchangia, nilipandisha bandiko la maoni yangu. Kaka yangu mmoja kutoka Zanzibar, Kaka Chale, akanipigia simu...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Sultani wa Zanzibar alikaa Tanganyika kwa siku 5 kabla ya kuelekea Uingereza kwa hifadhi ya kisiasa

    SULTANI JAMSHID ALIYOISHI DAR ES SALAAM KAMA MKIMBIZI AKIJITAYARISHA KWENDA NCHI YA TATU ILI TANGANYIKA ISIWE NA MGOGORO NA ZANZIBAR. Mchezo huu hauhitaji hasira, mtu ni kwao, karibu sana Sultan Jamshid. TOKA MAKTABA: AIISHUKURU SERIKALI YA TANGANYIKA KWA KUMPA NJIA YA KUPITA KUELEKEA...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Sultan Jamsid bin Abdullah aliyepinduliwa 1964 kurejea Zanzibar Januari 9 2025: Je apewe nafasi katika uongozi? Urejeo wake ni shinikizo la Oman?

    Uchambuzi wa Mapinduzi ya Zanzibar ya Mwaka 1964 Kwanini Mapinduzi Yalitokea Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea kutokana na mchanganyiko wa sababu za kisiasa, kiuchumi, na kijamii. Wakati wa utawala wa Sultan Jamshid bin Abdullah, kulikuwa na tofauti kubwa kati ya Wazanzibari wa asili ya Kiafrika...
  6. JamiiForums Tanzania John Okello (Baba wa Taifa la Zanzibar) angekutanishwa na Sultan Jamshid

    Nlisoma humu uzi kuwa baba wa Taifa la Zanzibar ni John Okello (RIP) Huyu ni Che Guevara wa East Africa. Mwanamapinduzi na mpigania Uhuru. Huyu alitoka kwao Uganda kuja kuwakomboa Wazanzibar. Alikuwa na moyo wa kipekee sana. Dunia haipaswi msahau. Napendekeza kama ana ndugu zake anapokuja...
  7. JamiiForums Tanzania Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni

    Mnamo Januari 9, 2025, Zanzibar itashuhudia tukio la kihistoria itakapompokea Sultan Jamshid bin Abdullah kurejea kwenye pwani zake. Hili ni tukio muhimu sana kihistoria, kwani mtawala wa zamani wa Zanzibar anarudi baada ya miongo sita ya uhamisho nchini Uingereza na Oman, kufuatia kuondolewa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Tanganyika ni tamaa ya madaraka na wanakosa subra tofauti na Zanzibar

    Tamaa ya vyeo, mfuragano nakukosa subra ktk vyama vya siasa 1. NCCR 2. TLP 3. CUF bara 4. Hivi sasa chadema Siasa wanaona mchakato wa siku 1 , 2 au 3
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar, Nahitajika kuwa na vitambulisho gani?. Naenda kutafuta kazi.

    Wakuu baada kupambana hapa Tabora na kutokuona mwelekeo wowote maisha nimeamua niende Zanzibar. Sasa nimekuja hapa mnipe muongozo jinsi ya kuingia Zanzibar nataka niende huko nikatafute KAZI ZA UJENZI. Pesa niliyonayo Kwasasa niliyosevu ya kunifikisha huko kutoka Tabora na matumizi mengineyo...
  10. JamiiForums Tanzania TUPENI ABC Kwa sisi tunaotaka kuagiza laptop Zanzibar ushuru ukoje

    Kama Kichwa kinavyojieleza hapo nataka kuagiza laptop Zanzibar au naweza kwenda mwenyewe nikabeba kwenye begi Je Bei ya ushuru ipoje na kama mzigo nimeweka kwenye begi bado nitatozwa ushuru Nawasalisha Kama Upo Zanzibar/Pemba tafadhari karibu dm
  11. JamiiForums Tanzania Geolojia inasemaje katika hili, Je kwanini Zanzibar hakuna madini ya dhahabu, copper au Almasi?

    Najaribu kujiuliza juu ya upatikanaji wa miamba inasosemakana kuwa na dhahabu au madini mengine yenye thamani kubwa. Je nchi kama zanzibar ina maana tokea enzi za ukoloni kulikuwa hakuna mwana geolojia aliye gundua dhahabu zanzibar ? Mbona nishasikia kwamba hapa hapa duniani kuna visiwa vina...
  12. JamiiForums Tanzania Zanzibar kwenye sikukuu ya Idd mwezi Aprili walilipwa mshahara tar 16. Huku Tanganyika Christmas mshahara hakuna

    Hivi inakuwaje waislamu walilipwa mapema ili wajiandae na sikukuu yao tar 16 Tu!! Ila ona huku mpaka leo kimya.. Tujikumbushe hapa Pia soma > Wafanyakazi wa Serikali Zanzibar wamelipwa tayari Mshahara wa Aprili 2023
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar imefika huku! Kunani?

    Chama cha soka Zanzibar kimemteua Rahma Abdalla Munir kuwa mchuwa Mapaja wa timu ya wanaume yaani Zanzibar heros Taarifa iliotolewa imesisitiza na Chama hicho kwamba Rahma Abdalla Munir atakuwa ndio mchuwa mapaja wachezaji wa kiume, hii ni haki? Hakuna madokta wanaume? Hii inafundisha...
  14. JamiiForums Tanzania KERO Mtaa wa Kisonge na Mtaa wa Bin Abeid (Zanzibar) maji taka yanasambaa mitaani na barabara ni mbovu

    Sisi Wakazi wa Mtaa wa Kisonge na Mtaa wa Bin Abeid hapa Mkoa wa Mjini Magharibi tuna changamoto ya mifumo ya Maji taka kutowekwa katika mazingira mazuri na kwa ufupi ni kuwa Miundombinu imeharibika lakini Viongozi wetu hawachukui hatua. Kuna mabomba na chemba za majitaka zinavujisha maji...
  15. JamiiForums Tanzania Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar: Acheni kuchukua fedha ili muwafiche wanaowafanyia ukatili Watoto na Wanawake

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema hatua zaidi zinatakiwa kuchukuliwa dhidi ya matukio ya Ukatili hasa kwa Watoto na Wanawake na pia Jamii imetakiwa kutoa ushirikiano zaidi kwa Mamlaka zinazohusika kukabiliana na changamoto hiyo. Hayo yameleza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Taifa ya...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Aongoza Ujumbe Wa Tanzania Mkutano Wa Dharura Wa Mawaziri Wa SADC Organ Zanzibar

    WAZIRI KOMBO AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA MKUTANO WA DHARURA WA MAWAZIRI WA SADC ORGAN ZANZIBAR Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC- Organ), Mhe. Balozi...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi 1 ya JMT, Zanzibar Kujiita Nchi, Sio Uhaini?. Zanzibar Iadabishwe Kuondoa Ubatili wa Katiba Yake ili Tuitambue au Tumchelee Mwana Kulia?

    Wanabodi, Makala yangu ya leo kwenye gazeti la Mwananchi. https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/katiba-ya-zanzibar-inavyokinzana-na-ya-jamhuri-ya-muungano-wa-tanzania-4853314 Kuna msemo wa Kiswahili usemao, mchelea mwana kulia , hulia yeye!. Makala hii ni swali "Tanzania ni nchi moja ya...
  18. JamiiForums Tanzania Bashungwa apokelewa Wizara ya Mambo ya Ndani - Zanzibar

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent L. Bashungwa (Mb) amewasili na kupokelewa katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi mara baada ya kuapishwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 10 Disemba, 2024. Mapokezi hayo yamefanyika katika Ofisi za Idara...
  19. JamiiForums Tanzania Ikulu ya Dodoma imetelekezwa? Rais Samia anatumia ya Dar es salaam na Tunguu Zanzibar

    Ikulu ya Dodoma imetekekezwa? Rais Samia anatumia zaidi ya Dar es Salaam au Tunguu Zanzibar. Je huu ni uungwana?
  20. T

    JamiiForums Tanzania Je, katiba ina semaje kuapisha viongozi Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar?

    Ndugu zangu nielewesheni inawezekana nina tongo tongo ila naona kama kuna jambo halipo sawa na kama lipo sawa basi naona kuna shida ktk katiba yetu. Kwa mujibu wakatiba Tanzania ni muunganiko wa Tanzania Bara na Tanzania visiwani. Na kwa katiba hiyo hiyo inasema patakuwa na Rais wa Tanzania na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…