zanzibar

  1. F

    JamiiForums Tanzania Zinatoka wapi pesa zinazotumika kujenga miradi mikubwa na mingi inayofunguliwa kila siku Zanzibar?

    Ukiangalia television na kusikiliza redio na hata kusoma magazeti utapata habari za miradi mikubwa mikubwa ikifunguliwa kila siku Zanzibar. Miradi hiyo ni kama vile barabara, shule za ghorofa, viwanjwa vy michezo, masoko ya ghorofa, majengo makubwa, viwanda, miradi ya nishati, flyovers, na...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini wa Zanzibar Wana waita wa Tanzania makafiri ,je wamesahau kuwa ni sisi ndio tuliowapa Uhuru na utukufu.

    Kwa nini wa Zanzibar Wana waita wa Tanzania makafiri ,je wamesahau kuwa ni sisi ndio tuliowapa Uhuru na utukufu. Mapinduzi matukufu yalifanyika tarehe 12 Januari 1964. yaliwaondoa Sultan wa Zanzibar na tabaka la watawala wa Kiarabu. Sultan wa Zanzibar alitokea Oman,Sultan wa kwanza wa...
  3. JamiiForums Tanzania Khanga Kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  4. A

    JamiiForums Tanzania CHAN 2025: Tanzania tusifanye makosa yanayayoendelea Zanzibar kujaribu wachezaji

    Naam, Tanzania tunaenda kuwa sehemu ya wenyeji waandaaji wa CHAN 2025. Ngoja niwaambie, Haya mashindano ndio size yetu kwa 100% tukiwa serious kama tulivyokuwa serious wakati mashindano haya yanaanzishwa rasmi 2009 kwa mara ya kwanza ivorycoast tunabeba hili Kombe. Mwaka 2009 tukiwa na Marcio...
  5. JamiiForums Tanzania Radio One Sterio, habari za Rais wa Zanzibar ni za Zanzibar

    Radio One Sterio mnapotusomea habari za rais wa Zanzibar haziwezi kuwa ni habari za kitaifa, hizo ni habari za taifa la Zanzibar lenye serikali yake na katiba yake. Siku hizi kumezuka mtindo wa kuifanya serikali ya Zanzibar kuwa ni ya muungano! Na huu mtindo unafanywa na viongozi wa serikali ya...
  6. JamiiForums Tanzania Wamakonde wa Kipumbwi na Mapinduzi ya Zanzibar 1964

    https://youtu.be/3u_DVV9tvNE?si=DrXHJjuwdgMWFqSl
  7. JamiiForums Tanzania Wamakonde wa Kipumbwi na Mapinduzi ya Zanzibar 1964

    https://youtu.be/3u_DVV9tvNE?si=DrXHJjuwdgMWFqSl
  8. JamiiForums Tanzania Si zaidi ya Miaka 20 Ijayo, Tanzania Bara tutaenda kujifunza Zanzibar namna ya kutumia akili kufanya maendeleo

    Wakiwa na rasilimali chache sana, Zanzibar wamegundua ili waweze kuendelea haraka ni vizuri waachane na akili za ki Tanzania Bara. Sisi tukiwa tunaendekeza ujinga eti uraia pacha utahatarisha usalama wao siku nyingi walishapitisha suala la Diaspora kushiriki kuwa sehemu ya uchumi wa nchi yao...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar imepata wapi hela zote hizi ndani ya miaka 3? tangia Samia awe Rais wa Muungano skuli za ghorofa mpaka Kojani

    Tanganyika shule ya ghorofa hairuhusiwi? Zanzibar imepata wapi pesa zote hizi sahivi? Hasa baada ya Samia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Huyu haoni hata aibu, tukimchagua tena 2025 hiyo miaka 5 Tanganyika kuna kitakachokuwa kimebaki? Watanganyika tuamke Tuko kwenye ukoloni wa Zanzibar...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia akifungua Shule ya Sekondari Bumbwini Misufini Zanzibar Januari 8, 2025

    Siku ya leo Januari 8, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Katika hotuba yake Rais Samia aligusia...
  11. JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz: Dhambi zote za Rais Samia apewe Tundu Lissu

    Wakuu, Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz, amezua utani wa aina yake leo Januari 7, 2025, wakati wa ufunguzi wa hoteli mpya katika Kisiwa cha Bawe, Zanzibar. Dimpoz, amesema itapendeza sana kama "dhambi zote za Rais Samia akipewa Tundu Lissu"
  12. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Cha Zanzibar: Uzinduzi wa Kitabu Cha Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979)

    https://youtu.be/lfKyNUQzdM0?si=n1ln1wI6YY84RaJK
  13. JamiiForums Tanzania Hadi 2030, Zanzibar itakuwa kama Dubai!!

    Mitano Tena! Zanzibar imepata wapi fedha
  14. JamiiForums Tanzania ACT: Tunaitaka Serikali ya JMT, kuacha utowaji wa Leseni kwa eneo la Fungu Mbaraka na Bahari Kuu upande wa Zanzibar

    TAARIFA KWA UMMA TUNAITAKA SERIKALI YA JMT, KUWACHA MARA MOJA UTOWAJI WA LESENI KWA ENEO LA FUNGU MBARAKA NA BAHARI KUU UPANDE WA ZANZIBAR Tokea mwaka (2009) ambapo Baraza la Wawakilishi na Serekali ya awamu ya sita ya Dr. Abedi Amani Karume na aliekua Waziri wa sekta hiyo ndugu Mansour Yussuf...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman atangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT

    https://www.youtube.com/live/SNFqdxgQ_R4 Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo, Ndg. Othman Masoud Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ametangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo.
  16. JamiiForums Tanzania Huyo Rahisi wenu kila siku yupo Zanzibar?!

    Muda mwingi rahisi atafanya hivi na vile akiwa Zanzibar. Mara, rahisi yupo na Dotto magari Zanzibar. Aisee, mbona hakauki huko Zanzibar?! Dodoma ambapo ndipo Ofisi yake ilipo anakaa muda gani huyo rahisi?! Inachosha bwana! Bora hata ya Hayati aisee.
  17. JamiiForums Tanzania Dr. Zakir Naik awasili Zanzibar, afafanua kuhusu mhadhara atakaofanya, asema hakuna utata kwa wale wanayoyajua maandiko

    Dr. Zaik Nakir amwesasili nchini Zanzibar na katika mahojiano aliyoyafanya amesema kuwa mhadhara atakaofanya hauna utata wowote kwani ataongelea vitu vilivyopo katika maandiko ya Biblia na Quran. Amesema kuwa Biblia imemuongelea Muhammad na pia Quran imemuongelea Yesu. Source...
  18. JamiiForums Tanzania Wabunge wa UVCCM Wachangia Milioni 30 Kwaajili ya Ujenzi Chuo cha UVCCM Tunguu, Zanzibar

    Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaotokana na Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar, walifika katika chuo Cha Umoja wa Vijana Tunguu Kwaajili ya Uvunaji wa mabilinganyi na pilipili Boga Kwa lengo la kuendeleza Siasa na Uchumi Katika Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM. Aidha, Wabunge na...
  19. JamiiForums Tanzania Sultan wa mwisho wa Zanzibar Afariki Dunia

    Aliyekuwa Mfalme wa Zanzibar Sayyid Jamshid amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo nchini Oman zikiwa zimebaki siku chache kufikia miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomuondoa madarakani na anatarajiwa kuzikwa katika makaburi ya familia ya kifalme huko Muscat. Vyanzo vya habari vimethibitisha...
  20. JamiiForums Tanzania Wapiga Makachu Forodhani waruhisiwa, Watasaini Mkataba

    Mamlaka ya Uhifadhi na uendeshaji wa Mji Mkongwe Zanzibar kwa kushirikiana na taasisi nyingine za serikali zimekubaliana kuwaruhusu vijana wa wapiga makachu katika eneo la Forodhani kuendelea na Shughuli zao kwa kuzingatia taratibu zilizoanishwa katika mikataba itakayosainiwa na vijana hao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…