zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Shuleni

    Zanzibar Mental Health Support Organization imeanza kutekeleza Rasmi Mradi wa Elimu ya Afya ya Akili Mashuleni Unguja, Zanzibar – 23 Januari 2025 Zanzibar Mental Health Support Organization (ZAMHSO) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Wizara ya Afya, imeanza kutekeleza rasmi mradi wa kutoa...
  2. JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar kusimamisha shughuli mapokezi ya Dkt. Mwinyi

    Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar kimewataka wanachama na wananchi kujitokeza kwa wingi kumpokea Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiket ya chama hicho Dkt Hussein Ali Mwinyi ambae atawasili kesho Januari 22, 2025 mchana katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar Katibu wa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanawake katika Uongozi ni chachu ya kufikia Dunia yenye usawa

    Pili Said Mohamed, ni Diwani wa Wadi ya Mahonda, Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Unguja, simulizi yake katika harakati za uongozi inaonesha historia ya kipekee katika safari za Wanawake wengi wenye ndoto za uongozi visiwani Unguja. Pili ambaye alianza harakati za Siasa Mwaka 2020 akiwa Mwanachama hai...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nyumba Zanzibar

    wadau, hasa wanaoishi Zanzibar naomba msaada wenu, Nitakuwa Zanzibar kikazi kwa mwaka mmoja kuanzia mwezi wa pili. Natafuta Nyumba ya kupanga 1 Bedroom ikiwa master room ni vyema zaidi, Sitting room na jiko. Kama itakuwa ngumu kupata basi walau 1 master bedroom, sitting room na jiko...
  5. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bahati Issa Suleiman: Wanawake wanaotaka kuingia kwenye Uongozi wasiwe na hofu, ni haki yao Kikatiba

    "Inaonekana hali ya kisiasa itakuwa ngumu na huenda hali hiyo ikasababisha Wanawake kutokugombea kwa hiyo lazima kuwajengea uwezo." Hayo yalizungumzwa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Huria (OUT), Victoria Luhiri tarehe Febuary 14, 2019 katika mdahalo wa ushiriki wa Wanawake kwenye Uongozi...
  6. N

    JamiiForums Tanzania KERO Maktaba ya Vitabu Zanzibar haina Huduma ya Maji, Watumishi na Wanachama tunateseka, tupo hatarini kupata magonjwa

    Mimi ni mmoja wa Wanachama wa Maktaba ya Vitabu ambayo ipo hapa Mjini Unguja, changamoto kubwa iliyopo hapa Maisara, Mkoa wa Mjini Magharib ni kukosekana kwa huduma ya maji. Naomba Wizara ya Elimu pamoja na Bodi ya Huduma za Makataba Zanzibar kushughulikia changamoto hii haraka iwezekavyo...
  7. JamiiForums Tanzania Naibu DCI: Takwimu zinaonesha Makosa ya mauaji ya binadamu yameongezeka Zanzibar

    Naibu Kurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Naibu Kamishna wa Polisi DCP. ZUBERI CHEMBERA amesema makosa dhidi ya binadamu kwa upande wa makosa ya mauaji yameongezeka Zanzibar. Akitoa tathmini ya hali ya usalama Zanzibar kwa kipindi cha Januari hadi Disemba 2024 huko Makao Makuu ya Polisi...
  8. JamiiForums Tanzania Naibu DCI: Makosa ya udhalilishaji wa kijinsia yamepungua Zanzibar

    Naibu Kurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Naibu Kamishna wa Polisi DCP. ZUBERI CHEMBERA amesema Makosa dhidi ya binadamu yamepungua ambapo yameripotiwa jumla ya makosa 1,116 katika Vituo vya Polisi Zanzibar katika kipindi cha Januari hadi Disemba, 2024 ikilinganishwa na makosa 1,280 ya...
  9. JamiiForums Tanzania 2030: CCM kutoa Wagombea Wapya JMT na Zanzibar

    Matokeo ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa yamewatangaza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Pamoja Na Rais Dkt Hussein Ali Mwinyi Kuwa wagombea Urais 2025-2030. Marais hawa watakuwa wanakamilisha Ngwe zao za Pili za Uongozi katika Ngazi ya Urais Katika Serikali za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania NIi kweli umeme Zanzibar ni rahisi kuliko Tanganyika?

    Nimeona Habari ya kushuka kwa bei za umeme Zanzibar, ndio nikashtuka kua kumbe tokea siku nyingi umeme Zanzibar NI Rahisi kuliko Tz bara. Je umeme si unatoka huku kwetu? Nini shida mpaka Sisi tunyonywe Unit inauzwa ghali ?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Ulinzi zanzibar

    Jamani Kuna anaewajua Chaka force security? Maana Kuna Uzi nimeupitia naona watu wanalalamika kuwa kazi ya ulinzi wengine hawalipwi wengine wanapewa laki Moja Yani balaa tu. Mi naomba kwa anaewajua Hawa Chaka force security je ni salama kufanyia kazi? Na pia kama unajua wanalipa bei gani naomba...
  12. JamiiForums Tanzania Je Zanzibar Inahitaji Truth & Reconciliation Comm。Kuponya Makovu ya Mapinduzi, ili Upinzani Ukishinda,Upewe?。Sis & Bro,Can You Please Do The Needfu?。

    Wanabodi, Makala yangu kwenye Nipashe ya Jumaoili ya Leo。 Leo Tarehe 12 January 2025, imedondokea siku ile ile ya Januari 12, 1964, ilikuwa ni siku ya Jumapili. Leo Tanzania inaadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wakati Wazanzibari wengi wanashereheka kuyapongeza Mapinduzi...
  13. JamiiForums Tanzania Je inawezekana mtu ambae aliwahi kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwenda kugombea urais huko zanzibar?

    kWa raia wa zanzibar ambae ashawahi kuwa rais huko visiwani inawezekana kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania hilo tulishaliona. Sasa kwa hilo nililouliza naomba majibu,wataalamu wa mambo
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga zanzibar

    Habari wakuuu, Natafuta chumba cha kupanga ambacho hakipo mbali sana na michenzani mall, Zanzibar. Chumba kiwe master na bajeti yangu ni kisizidi laki moja kwa mwezi. Anayekifahamu au ambaye anaweza niunganisha na dalali naomba anisaidie. Ahsante
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, programu ya kilimo ya Waziri Bashe iliihusisha Zanzibar?

    Majuzi nilikuwa matembezini zanzibar, nilichokishuhudia ardhi yao si ya kutosha kwa kilimo kikubwa kile cha kimkakati, ambacho unaweza kuita kama kilimo haswa, Nikatafakari je haiwezekani kukapatikana vijana 300-500 wa kizanzibar wakaanzishiwa program ya kilimo, aidha Mkoani Morogoro au Tabora...
  16. JamiiForums Tanzania Hatimae leo wamekubali kwamba zanzibar ni mkoa

  17. JamiiForums Tanzania Historia ya Mapinduzi ya Zanzibar Inataka Tahadhari Kuisomesha - Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/bn9RRKMN9qA?si=u7CW5jq7ruUzOkH7
  18. JamiiForums Tanzania Waamuzi wa Mapinduzi Cup, wanaibeba Zanzibar

    Waamuzi wa Zanzibar wanatia aibu Inaonekana wanachezesha Kwa maelekezo, yaani wameambiwa Zanzibar laZima afike final Nimetazama mechi ya Zanzibar na Kenya ila yule mwamzi ni muhuni aisee Amegawa red card ♦️ mbili , yellow cards 8 Kwa Kenya na kurusha ngumi😂🤣 Zanzibar wakapewa favour za kutosha...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Sultani wa Mwisho Zanzibar, Sultan Sayyid Jamshid Al Said, Afariki Usiku Huu, Omani

    Wanabodi Vyanzo vya kuaminika vimethibitisha kwa "Atheer" taarifa za kifo cha Mheshimiwa Sayyid Jamshid Al Said, Sultan wa mwisho wa Oman aliyekuwa Zanzibar, akiwa na umri wa miaka 95, baada ya kuugua kwa muda mrefu. Vyanzo hivyo vimeeleza kuwa Sultan huyo wa zamani alifariki dunia Jumatatu...
  20. JamiiForums Tanzania Hatma ya Tanzania iko juu ya Watanganyika na Wazanzibar

    Hatma ya Tanzania iko juu ya watanganyika na wazanzibar, lakini athari za kisiasa inaweza kuwa doom day kwa Tanzania. Lakini kanuni ya asili itaamua mustakabali wa Tanzania,itaacha kiashiria cha hatari juu ya watanganyika na wazanzibar,lakini kanuni ya asili sio matokeo ya kisiasa wala kiuchumi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…