zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Serikali ifanye mchakato wa kujenga multipurpose indoor arena 4 (Dar es salaam, Zanzibar, Arusha na Dodoma)

    Tanzania hatuna indoor arena ya kubeba kati ya watu elfu 15 mpaka 20 hii inafanya kufanya event nyingi kuwa changamoto kwa Tanzania Kuwepo kwa indoor arena kutavutia events nyingi kufanyikia Tanzania sababu miundombinu kama indoor arena itakuwepo Events nyingi recently zimekua zikifanyikia...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Wanu Ameir Akabidhi Kisima cha Maji Makunduchi, Zanzibar

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Wanu Hafidh Ameir jana tarehe 22 Machi, 2025 amekabidhi kisima cha maji katika Kijiji cha Miwaleni Makunduchi kitakachosaidia kutatua changamoto ya maji kijijini hapo. Itakumbukwa kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania BoT: Zanzibar yaanzisha Hati Fungani Isiyokuwa na Riba, inayofuata misingi ya dini ya Kiislamu

    Zanzibar Yaanzisha Hati Fungani Isiyokuwa na Riba Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imefungua dirisha la uwekezaji katika hati fungani inayofuata misingi ya dini ya Kiislamu, Zanzibar Sukuk, ambayo inalenga kusaidia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo visiwani humo. Akizungumza...
  4. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kuishi Zanzibar sema sijui pa kuanzia

    jamani nahitaj msaada wa mawazo yenu wana jamii nahitaji kwenda Zanzibar kuishi na kufanya maisha yangu uko je nifikie wapi maana sina ndugu wala rafiki huko na maisha ya huko yapoje? Msaada wana jamii wenzangu bado ni kijana mdogo mwenye ndoto za kuishi nje ya nchi.
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana Zaidi ya 30 wa Kikundi cha Urithi Wetu waanza safari kutoka Kigoma hadi Kizimkazi, Zanzibar, kuhamasisha upandaji miti

    Vijana zaidi ya 30 wa kikundi cha Urithi Wetu PTP2 wameanza safari ya kipekee kutoka Kigoma hadi Kizimkazi, Zanzibar, kwa lengo la kuhamasisha upandaji miti na kudumisha urithi wa kipekee wa Tanzania. Wakiwa chini ya uongozi wa Mwalimu Philip John Ally, Mkurugenzi wa shirika la kijamii APHI...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman amshangaa Wasira kupotosha yaliyotokea Angola, asema ameipaka matope Serikali

    Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman ameshangaa kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Stephan Wasira na Mwenezi wa CCM Zanzibar Khamis Mbeto kufuatia yeye pamoja na viongozi wengine wa kisiasa kuzuiliwa uwanja wa ndege Airport. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya Exim Yaandaa Futari Tanga na Zanzibar Kuimarisha Uhusiano wa Kijamii

    Sheikh Mkuu wa Mkoa Wa Tanga, Sheikh Juma Luwuchu (kulia), Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim, Bw Jaffari Matundu (kati) na Mkuu wa Kitengo cha Hazina na Masoko ya Dunia wa benki ya Exim, Nelson Kishanda wakifuturu pamoja wakati wa hafla ya mfungo wa mwezi wa Ramadhan kama sehemu ya kuoneshaa...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama wa ACT Wazalendo wakamatwa kwa kufanya fujo kwenye Vituo vya Uandikishaji Zanzibar

    Kama ambavyo niliwapa habari awali juu ya zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la wapiga kura Mkoa wa Kusini Unguja kuanzia tarehe 08/03/2025 hadi tarehe 13/03/2025; zoezi ambalo Jeshi la Polisi lilikuwa na dhamana ya ulinzi na Usalama wa vifaa, watendaji wa Tume, mawakala wa vyama, wananchi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kuhairishwa kwa debi ya kariakoo yachukua mlengo WA uchaguzi wa 2025 Zanzibar leo

    Bodi ya ligi yaangalia kuhairishwa kwa debi ya kariakoo
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wazee wacharuka Zanzibar eneo lao ladaiwa kuporwa na watoto wa mstaafu Amani, DC anena mazito

    11 March 2025 Nungwi Kiungani Kaskazini Unguja ARDHI YA MASIKINI WASILAZIMISHWE KUUZA, BALI WAIKODISHE KWA WAWEKEZAJI ILI WAPATE KIPATO ENDELEVU https://m.youtube.com/watch?v=n1wBSC3B3-E Maoni: Ardhi ni mtaji wa masikini kwa wazee wenye umiliki wa ardhi maeneo prime (yanayovutia wawekezaji)...
  11. JamiiForums Tanzania Khanga Kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Makamu mwenyekiti wa TLP, Zanzibar Hamad Mkadam afariki dunia

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Zanzibar Hamad Mkadam amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, wakati akipatiwa matibabu ya afya kwenye moja ya hospitali kisiwani Pemba. Mkadam amefariki ikiwa ni mwezi mmoja na siku nne umepita tangu achaguliwa kuendelea kuhudumu...
  13. JamiiForums Tanzania Save the Childen na Tanzania Bora Initiative yazindua mradi wa Vijana Plus Zanzibar

    Mradi wa Vijana Plus utasaidia kuwajengea uwezo vijana wengi katika usimamizi na utekelezaji wa mashirika yasio ya serikali na kuepukana na changamoto zinazowakwamisha katika uimarishaji wa maendeleo yao. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana Zanzibar, Shaib Ibrahim...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo wafungua mashitaka dhidi ya Mkuu wa Wilaya kwa kukamata na kupiga Watu wakati wa Uandikishaji Wapiga Kura Zanzibar

    Chama cha ACT wazalendo kimeamua kuwashitaki viongozi wanaotumia vibaya madaraka yao kwa kukamata watu kinyume na sheria na kuwapiga pamoja na kuingia zoezi la uandikishaji wapga kura linaloendelea Zanzibar. Chini ya mpango huo wameanza kwa kufungua mashitaki dhidi ya mkuu wa wilaya ya...
  15. JamiiForums Tanzania Wizara ya Utalii na mambo ya Kale Zanzibar yatoa mafunzo kwa watembeza watalii 150 (Beach Boys) ili kuilinda hazina hiyo isipotoshwe na kuharibiwa

    Wizara ya Utalii na mambo ya Kale Zanzibar imewapatia mafunzo maalum watembeza watalii 150 (Beach Boys) ili kuona kazi hiyo inafanywa vizuri kwa kulinda maslahi ya Zanziabr na tamaduni zisipotee. Yamesemwa hayo leo huko Maruhubi katika Chuo cha Hoteli na Utalii na Mkurugenzi wa Utalii Dkt...
  16. JamiiForums Tanzania Wasomi msio na ajira muishinikize serikali mpate haki ya kuajiriwa Zanzibar kama ilivyo wenzenu kutoka Zanzibar walivyo na haki kuajiriwa bara

    Kama unakuwa msomi na huzijui haki zako za msingi ni heri upokonywe vyeti vyenyewe. Si wasomi wote wataajiriwa na serikali au sekta binafsi ila ni sharti kuwepo na usawa katika ajira. Bila kijali huyu anatoka visiwani au bara kwenye suala la ajira vijana wote wanapaswa kuwekwa kwenye kapu moja...
  17. JamiiForums Tanzania Harmonize amuomba msamaha Diamond Platnumz kwa tofauti zilizowahi kutokea kati yao, ikiwamo wakiwa visiwani Zanzibar

    NYOTA wa Bongo Fleva, Harmonize a.k.a Konde Boy amemuomba msamaha Diamond Platnumz kwa tofauti zilizowahi kutokea kati yao, ikiwamo cha siku ya karibuni wakiwa visiwani Zanzibar. Kupitia Insta Story yake, Harmonize ameandika kuwa anatumia mwezi mtukufu wa Ramadhani kuomba msamaha kwa yeyote...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom, ZICTIA Zaungana Kukuza Matumizi ya Kidijitali Zanzibar Kupitia Nyaya za Chini ya Bahari

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Zanzibar (ZICTIA), Shukuru Awadhi Suleiman (kushoto) na Mkurugenzi wa Mtandao wa Vodacom Tanzania Plc Andrew Lupembe, aliyemwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, wakisaini nyaraka za makubaliano ya ushirikiano lenye lengo la kuboresha huduma...
  19. JamiiForums Tanzania Natamani zali la kupigwa kula mchana Zanzibar linipate, patachimbika

    Yani natamani na nina hamu sana zali la kupigwa kwa kula hadharani mchana badala ya usiku mwezi huu linipate huko Zenji. Patachimbika maamae huo mkono ntakavyoutembeza. Yani ngumi za uhakika. Chaliifrancisco gTurn hydroxo Malaria 2 Adiosamigo Mpaji Mungu PSL god mshamba_hachekwi min -me Jagina...
  20. JamiiForums Tanzania Maelezo ya Makamu Mwenyekiti (Zanzibar) ACT, Ismail Jussa alipozungumza na Wanahabari Makao Makuu ya Chama, Vuga, Zanzibar, Februari 27, 2025

    UTANGULIZI: Nimewaita hapa leo kuzungumzia kashfa kubwa (major scandal) inayozunguka kile kilichopewa jina la uwekezaji wa kimataifa katika Bandari ya Zanzibar ambacho sasa kinawatafuna wananchi masikini wa Zanzibar walioangushiwa zigo kubwa la kubeba gharama za mradi huo wa kashfa. Zigo hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…