zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Dkt. Mwinyi akutana na viongozi wa dini Zanzibar kujadili amani kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Zanzibar kujadili Mustakabali wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba Mwaka Huu. Rais Dkt, Mwinyi ameihakikishia Kamati hiyo kuwa Serikali inafanya kila Juhudi...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Habari Zanzibar: Ahadi mdomoni utekelezaji mashakani

    Na: Nihifadhi Abdulla. Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo imeridhia mikataba mbalimbali ya kimataifa na kikanda inayolinda haki ya uhuru wa habari. Hata hivyo, hali halisi inaonesha kuwa utekelezaji wa mikataba hiyo uko mbali na matarajio. Vikwazo vya kisheria...
  3. JamiiForums Tanzania Khanga za Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa kilichopo, Yanga itasusia kucheza ligi kuu Tanzania Bara, inaweza kuhamia Zanzibar

    Tunzeni post hii, Yanga wanadai kwanini tarehe ya mwanzo Simba waliamua tuu kua hawachezi na bodi ya ligi wakawaunga mkono bila sababu ya msingi? Yani inaonekana kama Simba yeye ndio anapanga ratiba anacheza akitaka. Kwa ninavyoona siion yanga ligi ya NBC msimu ujao, wanaweza kuhamia Zanzibar...
  5. JamiiForums Tanzania MOI yanadi huduma zake za Kibobezi katika Wiki ya Afya Zanzibar

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inashiriki maonesho ya Wiki ya Afya Zanzibar yaliyoanza Mei 4,na yatafikia tamati Mei 10, 2025 katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar. Akizungumza katika maonesho hayo leo Mei 5, 2025 Meneja Uhusiano wa MOI, Bw. Patrick Mvungi amesema...
  6. JamiiForums Tanzania AIRBNB DESIGN ZANZIBAR

    CALL US FOR MORE DETAILS +255624004650
  7. JamiiForums Tanzania MOI tunashiriki Zanzibar Afya Week 2025

  8. JamiiForums Tanzania Mbona timu za Zanzibar hazipigwi goli nyingi na Yanga kama za huku bara?

    Najiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika. Sasa kama hizi timu zilizopo kwenye ligi bora zinapigwa goli nyingi kila kukicha na Yanga, mbona kwa hizi timu za Zanzibar ambayo ligi yake inaonekana dhaifu hazipigwi goli...
  9. JamiiForums Tanzania Kiwango kilichoonyeshwa na Yanga Zanzibar ,ndio uwezo wa timu yetu

    Aliyemleta Kibabage Yanga motoni Jonathan Ikangalombo ni mtumishi hewa.Tuliambiwa kule kwao alimuweka Mpanzu benchi Zanzibar hakukuwa na bahasha
  10. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Zanzibar ataka uhakiki wa Vitambulisho vya Kura kwa Watumishi wa umma

    Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Idrissa Kitwana Mustafa, amewataka watumishi wa umma wa mkoa huo kuwasilisha nakala za vitambulisho vyao vya kupigia kura mara zoezi la uhakiki litakapoanza. Amesema hatua hiyo inalenga kubaini idadi ya watumishi wa serikali ambao hawakujiandikisha kwenye...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu kamati maalum NEC Zanzibar, ahoji kama tatizo tume, mbona 2015 walipata majimbo?

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeutaka upinzani kutozibeza Tume za Uchaguzi, INEC na ZEC, na kudai si huru wakati Chadema na ACT Wazalendo vimekuwa vikiongeza idadi ya viti vya Udiwani, Uwakilishi, Ubunge na kupata kura nyingi za urais. CCM kimesema Tume hizo ziko huru na zinatenda haki...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman Masoud Othman: Miaka 61 ya Muungano, Zanzibar inakandamizwa

    Wakati leo Tanzania inaadhimisha miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman amesema Zanzibar ilianza kupambana na changamoto za Muungano tangu yakiwa mambo 11 na hivi sasa yamefikia 41. Wakati Tanzania ikiadhimisha miaka...
  14. JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya MUUNGANO wa Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, 2025

    Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Watumishi wote wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) tunawatakia Watanzania wote maadhimisho mema ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
  15. JamiiForums Tanzania TUPEANE FURSA ZANZIBAR

    Mimi ni mgeni Zanzibar natokea Dar es salaam nimekuja kikazi kwa iyo anayejua FURSA mbali mbali tunaweza juzana.
  16. JamiiForums Tanzania Simba wako SA dhidi ya Stellenbosch sisi tuko dhidi ya kikosi Cha valante Zanzibar (kvz)

    Msimu ujao viongozi wasifanye huu mzaha tena wa sajili za ajabu hadi tunakosa kung'aa kimataifa
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yaahidi kutofumba macho dhidi wanaovuruga amani

    Kwa kuwa suala la amani ni jukumu la kila mtanzania kabla ya wizara yenye mamlaka husika moja kwa moja. Ni kwa nini wenye mamlaka husika wasingewaweka wazi watu hawa wabaya ili sisi raia tuwatambue kuliko kutupa jiwe gizani? ================ Watanzania wameombwa kuendelea kudumisha muungano...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu katibu mkuu CHADEMA Zanzibar: Polisi wanavyotufanyia sio kama wanatuvunja moyo, bali wanatutia ujasiri wa kupambana

    "Hivi ambavyo wanatufanyia vitatengeneza visasi vya muda mrefu sana lakini mimi naamini wametufanyia sisi lakini vizazi vyao vitakuja kufanyiwa haya ambayo tumefanyiwa na sisi. Nataka nimwambie Rais Samia kwamba anachokifanya kutunyamazisha ni kosa kubwa sana kwa sababu binadamu yeyote anapitia...
  19. JamiiForums Tanzania NASA waliwahi kuwa na Kituo Cha Anga za Juu Zanzibar. Kilifungwa baada ya Mapinduzi ya ASP

    My Take Kwamba Utawala ulioshika Dola baada ya Mapinduzi uliomba kufunga Kituo Cha kiteknolojia na muhimu kama hicho ila wakaona wajenge misikiti. ================ Chini ya majengo ya bati yaliyotutumka katika eneo la Tunguu na mashamba ya sasa ya Chwaka, kunazikwa sura iliyosahaulika lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…