zanzibar

  1. L

    JamiiForums Tanzania Pale uponyaji unapohitaji sindano tu, matibabu ya akyupancha ya China yaleta nafuu kwa wagonjwa wa Zanzibar

    Kwa Mtanzania Hassan Jumbe mwenye umri wa miaka 26, matatizo ya kukosa usingizi siku zote wakati usiku ilikuwa ni maumivu na mfadhaiko mkubwa kwake. Usiku mmoja baada ya mwingine, maumivu makali ya kichwa yasiyoisha yalimwandama mfanyakazi huyu mbichi wa ujenzi, na kumfanya ashindwe kupumzika...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwa Mkapa kulifungwa kwa matengenezo ya Bilioni 30, CAF imehamisha fainali Zanzibar. Tulipohoji tulionekana wachochezi, acha tujifunze kwa uchungu

    serikali ilidhani wakosoaji tunawapigia kelele, sasa kelele zinatoka CAF! Club ya Berkene imejulishwa na CAF uwanja utakuwa Zanzibar. Simba hawajui kinachoendelea, kwenye page yao wameandika taarifa kamili ni baada ya mechi ya ugenini. Uwanja wa Zanzibar huwa ni mgumu sana kwa mechi za Simba...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Zanzibar inaongozwa kwa misingi ya kidini zaidi, hawawezi kuruhusu kufukia vitu uwanjani, Lifanyike lolote mechi ichezwe Mkapa lasivyo tumekwisha

    Zanzibar wapo strict sana kwa kupenda kuonekana ni nchi ya dini, maamuzi mengi hufanyika kwa msingi wa dini katika mambo yao. Uwanja wao hawawezi kuruhusu kuufusha, kuingiza mapaka, kumwaga vitu vya ahabu, waganga waliovaa hirizi, n.k. kama tulivyozoea kuona kwa mkapa Mechi ichezwe kwa Mkapa...
  4. JamiiForums Tanzania Mwamuzi aliyekataa goli la Aziz K dhidi ya Mamelodi amepangwa kuchezesha fainali Simba VS RS Berkane Mei 25, Zanzibar

    CAF imemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Mauritania, Dahane Beida, kuchezesha mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane utakaopigwa Mei 25 huko Zanzibar. Hawa ndio waamuzi wa VAR kwa mchezo wa Simba dhidi ya RS Berkane • Mkuu wa VAR...
  5. D

    JamiiForums Tanzania TFF ongeeni na bodi ya uwanja Zanzibar mtoe taarifa kwamba uwanja wa amani upo kwenye marekebisho mtume CAF

    Fanyeni namna uwanja wa amani complex uwe kwenye marekebisho. Ili uwanja wa benjamini mkapa upate nguvu ya kupewa kipaumbele katika michezo ya CAF Ukiachana na mapato ya uwanja lakini michuano ya kimataifa inaitangaza Tanzana. Lakini pia mafisadi mujifunze kuwa ujanja ujanja na upigaji katika...
  6. JamiiForums Tanzania Nilipokuwa nawaonya kuwa uwezekano ni mkubwa sana kwa fainali kufanyika Zanzibar hamkuniamini, kiko wapi sasa?

    Wengine tuna jicho la kuangalia mambo kwa umakini mkubwa na tunapotoka hadharani kusema kitu fulani kina uwezekano mkubwa wa kutokea tunakuwa tumeshajiridhisha. Mara kwa mara nimekuja humu jukwaani nikasema kuna umakusudi unafanyika katika kukwamisha ukarabati wa pale uwanja wa Mkapa. Juzi juzi...
  7. JamiiForums Tanzania Mpasuko Mkubwa Zanzibar na Bara Mkutano wa 12 wa Waendesha Ofisi

    Tbc wako live Ngurudoto Arusha. Washiriki wametengeneza kambi mbili ya Zanzibar na Tanganyika. Tayari kwa mtu wa kawaida anayetizama sasa hivi atajionea. Waimbaji,watumbuizaji wanachangamkiwa kwa kutizama alikotokea! Hata watoa hoja wanashangiliwa kuzingatia upande. Ni hatari kubwa tunakoenda...
  8. JamiiForums Tanzania Fainal CCC kupigwa Zanzibar

    Fainali ya CAF CC itapigwa Zanzibar, CAF wameindikia barua TFF & Simba kuwajulisha. CAF haijaridhishwa na pitch ya kwa mkapa hasa wakati wa mvua.
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo Zanzibar wameamua kwenda mwilini

    Kinachoonekana sasa ni ACT Wazalendo kutazama wanayosema wanye madaraka wakiwemo wanachama wa CCM wa kawaida wanaopata au kupewa nafasi ya kuzungumza. Jambo ambalo limewanya CCM wengi kuchunga maulimi yao. ACT Wazalendo wameamua kumshitaki mtu na si kuilalamikia CCM ,anaetenda kosa na...
  10. JamiiForums Tanzania ZANZIBAR PROJECT MANSION FROM DESIGN TO SITE CALL US +255624004650

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES +255624004640 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  11. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  12. JamiiForums Tanzania Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu za Chadema kushindwa kuenea zanzibar miaka zaidi 30

    Leo tujadili sababu za kwa nini chadema pamoja na ukongwe wa miaka 33 imeshindwa kuenea upande muhimu wa Jamhuri yaani visiwani Zanzibar? Je zipo sera na agenda zilizojificha ndani ya CDM?
  14. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa China Wawazawadia Watoto wa Zanzibar Tabasamu Jipya Kupitia Upasuaji wa Mdomo

    Timu ya 34 ya Madaktari wa China waliopo Zanzibar hivi karibuni imekamilisha upasuaji mitano ya midomo iliyopasuka juu na upasuaji 19 ya matatizo ya kaakaa kwa watoto ndani ya siku tano tu, huku kila upasuaji ukifanywa bila shida yoyote na hatimaye kurejesha afya na kuwapatia zawadi ya tabasamu...
  15. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa za Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  16. JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa Zanzibar akutana na Mke wa Rais wa Msumbiji Zanzibar

    Mke wa Rais wa Zanzibar akutana na Mke wa Rais wa Msumbiji Zanzibar Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya ZANZIBAR MAISHA BORA FOUNDATION (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi, amekutana na kuzungumza na Mke wa Rais wa Msumbiji, Mama Gueta Selemane Chapo, aliyetembelea...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Daniel Chapo awasili Zanzibar kwa ziara ya kikazi

    RAIS DANIEL CHAPO AWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA YA KIKAZI Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Daniel Chapo tayari amewasili Zanzibar akitokea Jijini Dar Es Salaam ambapo akiwa Zanzibar atakua na ziara fupi ya kikazi Akiwa Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume amepokelewa na Waziri wa Nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzanite CEO Roundtable - Zanzibar Chapter yazindua Mkutano wa kwanza wa Sheria za kazi Zanzibar

    Zanzibar leo Mei 8, 2025, imeweka historia ya kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa kwanza wa Sheria za kazi, Mkutano huo ulioandaliwa na Taasisi ya Tanzanite CEO Roundtable - Zanzibar Chapter kwa kushirikiana na Kamisheni ya Kazi Zanzibar (ZLC), mkutano huo wa siku moja umefanyika katika Ukumbi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi; Je, Tanzania imedhibitiwa na Zanzibar?

    Najiuliza hili swali inakuwaje kila sector nyeti nchi hasa ofisi ya Rais imeshikiliwa na mzanzibar? Na ukimkuta mtanganyika anakuwa Hana meno na aamininiki kwa chochote!! Je, Tanzania imethibitiwa na Kama Nyerere alivyokuwa amewadhibiti wazanzibari? Mmeshasikia mtu anatekwa Zanzibar kwanini...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Mazrui aipongeza MOI kwa huduma nzuri

    Waziri wa Afya wa Zanzibar, Mhe. Nassor Ahmed Mazrui ameipongeza Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kutoa huduma bora za matibabu ya mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu kwa wanachi wa Zanzibar wanaotibiwa MOI. Mhe. Mazrui ameyasema hayo leo Jumanne Mei 06, 2025...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…