zanzibar

  1. L

    JamiiForums Tanzania Juhudi za udhibiti wa kichocho za China zawaokoa maisha Visiwani Zanzibar

    China ni nchi kubwa inayoendelea, ambayo imekuwa mstari wa mbele katika kuzisaidia nchi nyingine zinazoendelea duniani zikiwemo za Afrika, kujipatia maendeleo kwa njia na mazingira yanayoendana na nchi husika. Kwa kupitia njia mbalimbali, China imekuwa ikitoa misaada kwa nchi hizo katika sekta...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nimetathimini Kazi Nzuri alizofanya Rais Hussein Mwinyi Ndani ya Zanzibar, kiukweli kabisa ashukuriwe

    Dr Hussein Mwinyi, Rais na Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar anapaswa kupongezwa na kupewa heko. Ndugu zangu ukiona sehemu imepata maendeleo au jambo zuri linafanyika ni vema utambue ya kuwa watu wemewekeza nguvu, akili, muda, pesa na uhuru wao pia. Ndani ya miaka mitano ya utawala wa...
  3. JamiiForums Tanzania Huenda Zanzibar Inaongoza Kwenye Biashara ya Ngono Mtandaoni

    Kwanza napenda ku declare interest kwamba mimi ni mnunuzi mzuri wa mabinti kwenye mitandao ya Tinder, Tagged na Badoo. Kila nikifika eneo jipya huwa nakagua profile moja baada ya nyingine kwenye mitandao hiyo na kufanya mchujo hadi nipate watoa huduma 5 wenye mvuto zaidi ndio nawapiga mkuyenge...
  4. JamiiForums Tanzania Zanzibar wanashindwa Kuvuta Maji kutoka Dar km 67 tu? Wanakazana kujenga Misikiti

    Yaani Zanzibar wanatunywesha maji ya Chumvi kama Wanyama(Ng'ombe) Kutoka Dar (Tanzania bara) hadi Kisiwani si mbali. Wanasiasa wa Zanzibar wanachoweza ni kuzalisha Janjaweed wa kuua watu wanaoandamana bara kupinga tume ya Uchaguzi. Shame on you! Akili zao eti zinawatuma kujenga daraja la...
  5. JamiiForums Tanzania Forodhani Zanzibar pachafu

    Miafrica ndio tulivyo.. Mnategemea utalii halafu mnashindwa ku enforce usafi wa eneo mashuhuri.. Weka faini kubwa,Enforce usafi,Adhibu watu,tia bakora wanaokojoa baharini..
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kesi ya wagombea ubunge Zanzibar na katiba ya jamhuri ya muungano

    Katika kesi inayoendelea Zanzibar ya kupinga matokeo ya ubunge Zanzibar iliyofunguliwa na chama cha ACT mwanasheria mkuu wa serikali ameweka pingamizi akidai mahakama ilipofunguliwa kesi haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo. ACT imefungua kesi kwenye mahakama kuu ya Zanzibar ambayo...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Ujumuishaji wa Somo la Elimu ya Dini ya Kiislamu kwa Wanafunzi Wakristo katika Upataji wa Wastani na Vipaji Maalumu Zanzibar

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, hususan Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, imekuwa ikihesabu somo la Elimu ya Dini ya Kiislamu (EDK) katika wastani wa ufaulu kwa wanafunzi wote, wakiwemo wanafunzi Wakristo, kwenye upimaji wa darasa la saba licha ya ukweli kwamba wanafunzi hao hawafanyi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tuache kelele, hata wewe wilaya yako ingepata nafasi kama Zanzibar ungependa mjitenge kwa haya Mema ?

    Wilaya unayotokea ingekuwa nchi ndani ya muungano inayojisimamia mambo yake mengi, yenye Rais wake, watumishi wake, Taasisi zake, n.k. lakini mnaweza kushika vyeo vikubwa hadi Urais, ajira za serikali za Bara, teuzi, ardhi, n.k, bado wangewaza kujitenga?” Rombo na Hai, Mngekuwa na kanchi kenu...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mgongano wa Kikatiba Wazuka Mahakama Kuu Zanzibar Katika Kesi za Wagombea Ubunge ACT

    Mgongano wa kikatiba umejitokeza katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kufuatia kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT-WAZALENDO kwa majimbo 19 ya Unguja Mgongano huo umeibuka leo mbele ya Jaji Hajji Suleiman Khamis katika Mahakama Kuu ya Zanzibar iliyopo...
  10. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 5 Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Mawasiliano: 0784 829565 @radhiyastore...
  11. JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu: Nauli ya ndege Zanzibar to Mwanza. Hasa nikifanya booking ya siku 21 mbele inaweza kuwa sh ngapi?

    Wakuu nauliza huenda mwaka huu kabla ya pasaka nikawa visiwani kwa wala urojo mimi na wife hivyo nahitaji kujua nauli ya mtu mmoja mwanza to Zanzibar ama Zanzibar to Mwanza nauli ni sh ngapi? Nakadiria kufanya booking mapema zaidi kati ya siku 21 hadi mwezi. Mwenye Taarifa za uhakika anipe...
  12. JamiiForums Tanzania Heri ya Miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar

  13. M

    JamiiForums Tanzania Kodi za Watanganyika zinajenga shule Zanzibar ambazo hapa Tanganyika hazipo

    Hii sio haki kabisa. Tunawajengea Wazanzibari mbona hapa Tanganyika hakuna shule kama hii?👇
  14. JamiiForums Tanzania Enyi watanganyika, Samia hukaa Zanzibar kuchangamsha uchumi wa huko.

    GT Samia anachofanya wakati ninyi mkiamini amejificha lakini yeye anapeleka serikali huko na kuongeza mzunguko wa fedha. Ikulu inapohamia mahali pilikapilika zinakuwa nyingi. Hotels na migahawa hufurika.magari yanakuwa na movement za hapa na pale. In short huyo bi kidude anaipenda Zanzibar...
  15. JamiiForums Tanzania Naona kidogodogo Ikulu ya JMT inahamia Zenji. (Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar)

    Tunaelekea mwezi wa 3 sasa. Mambo ya nchi mengi yanafanyikia huko Zenji Ikulu ndogo🤔
  16. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Mawasiliano: 0784 829565 @radhiyastore @prathrealestate...
  17. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wanafunzi 62 wa Jimbo la Ole Wapatiwa zawadi za motisha kwa kufanya vizuri Michepuoni

    Wanafunzi 62 wa Jimbo la Ole waliofaulu mitihani ya Michepuo wamepatiwa zawadi za motisha zilizotolewa na Mwakilishi wa Jimbo hilo, Seif Hamad Suleiman, katika hafla iliyofanyika Januari 4 Skuli ya Sekondari Ole. Akizungumza wakati wa utoaji wa zawadi hizo, Mwakilishi huyo aliwapongeza...
  18. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wananchi Zanzibar wajitokeza uchaguzi mdogo Fuoni

    Wananchi wa Jimbo la Fuoni lililopo wilaya ya Magharibi B mkoa wa Mjini Mgaharibi, Zanzibar wameendelea kujitokeza kushiriki katika uchaguzi mdogo wa Mbunge katika jimbo hilo. Uchaguzi huo unafanyika hii leo Desemba 30, 2025 kufuatia kifo cha aliyekuwa mgombea Ubunge wa jimbo hilo, Abbas Ali...
  19. JamiiForums Tanzania Kombe la mapinduzi Zanzibar ni jeuri, dharau au kutojielewa kwa waandaaji?

    Waliitisha press, wakasema kombe la mapinduzi kuanzia Sasa ni la kimataifa, wakimanisha zitakazo shindana ni nchi na nchi, sio klabu za kawaida. Tukasema sawa, akaitwa Burkina Faso, Uganda, Kenya, Burundi japo wengine walilikataa wakajitoa, haya likafanyika, Zanzibar heroes sijui ni nchi ya...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mahakama Kuu Pemba kusikiliza kesi ya uchaguzi ya wagombea 8 wa ACT Wazalendo leo Desemba 16

    Mahakama Kuu ya Zanzibar Kanda ya Pemba leo Desemba 16,2025 inatarajiwa kusikiliza kesi ya walalamikaji wa Uchaguzi, wakiwemo waliokuwa wagombea wanane wa Chama cha ACT Wazalendo, dhidi ya wasimamizi wa uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Walalamikaji wanadai ukiukwaji wa sheria za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…