Hili ni swali kutoka kwa mmoja wa wafuatiliaji wa ukurasa wetu kutoka mkoani Mara.
Ukitaka kusema ni zamu yako, huwa tunasema “It’s your turn…”.
Kuna baadhi huwa wanasema “It’s your duty….”. Hii sio sahihi, kwa muktadha wa zamu.
Wengi wanaosema “It’s your duty”, husema hivyo kwa kuwa shuleni...