zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Manara kuwavua nguo mabosi zake kusema wamechonga shepu ni kuwadhalilisha

    Unajua manara ana hii tabia ya kuchonganisha watu pia ana tabia ya kuwapondea watu anapokuwa amezungukwa na watu, alishawai kumzungumzia vibaya Hersi ambaye ni Rais wa Yanga. Pia safari hii amewaponda sana Mabosi zake ambao ni GSM na Salaah na Wake zao. https://youtu.be/j_9LbO4AGaA
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na mwanamke aliye siku zake. Je, kuna madhara?

    Yaani dushe Lina rangi nyekundu ipi madhara yake? nisaidien wakuu Nimefanya mapenzi na mwanamke aliye siku zak. Je kuna madhara
  3. JamiiForums Tanzania Atembea umbali wa kilomita 850 kwenda kumpiga mteja aliyetoa maneno ya kejeli mtandaoni

    China bhana kila kitu kinawezekana!! Umeshawahi kuwaza siku utembee umbali mrefu kwenda kumtafutia mteja aliyetukana bidhaa zako na kumpiga. Kuna jamaa mmoja ambaye ni muuzaji wa bidhaa mbalimbali kupitia online Aliweza kutembea umbali wa kilomita 850km ili kumfuata mteja ambaye alitoa maneno...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbu huponzwa na kelele zake akiwa mawindoni, jitafakari yawezekana una tabia za mbu

    Ukiwa kwenye usingizi usio fofofo si rahisi kutomsikia mbu akinyemelea damu kwako na haraka utachukua maamuzi ya kumdhuru au kumkwepa na hivyo kusitisha LENGO LAKE. Ipo hivyo kwa binaadamu pia kuna ambao wana tabia za Mbu kupiga kelele nyingi kabla ya safari na mwishoni kuzuiwa. Unataka kurudi...
  5. JamiiForums Tanzania Trump alalamika namna China inavyochafua bahari kwa taka zake za viwandani.

  6. JamiiForums Tanzania Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .

    Janabi hana Exposure wala Experience yoyote ya kimataifa ya kudeal na Afya , ukiachana na nadharia zake za kutoa miongozo katika ulaji hana sifa .
  7. JamiiForums Tanzania Kila mtu ana upekee kwenye alama zake za vidole

    Alama za vidole ni za kipekee sana kutokana na mchanganyiko wa sababu za kijenetiki na matukio ya nasibu wakati ukikua kama kijusi tumboni kwa mama yako na hivyo kusababisha kutofautiana kwa mifumo ya matuta na mistari kwenye ncha za vidole. Tofauti hizi, ikiwa ni pamoja na umbo, saizi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Kata CCM Nyalikungu wilaya ya Maswa aache tabia zake za kuwatukana viongozi wenzake wa kike.

    Tabia ya Katibu Kata wa CCM Kata ya Nyalikungu,wilaya ya Maswa,Charles Kahema anatakiwa ashughulikiwe na uongozi wa CCM wilaya kwa tabia zake za kuwatukana matusi na kuwadhalilisha viongozi wenzake wa Kata hasa wa jinsi ya kike. Aprili 14,2025 alifikishwa katika kituo cha polisi wilaya ya Maswa...
  9. JamiiForums Tanzania He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

    Shalom, Salam alaikum. Baada ya kusoma Biblia kuanzia Genesis Hadi Revelation nikaamua kuanza kusoma pia Quran (Mwaka huu). Ila Huwa napenda kufahamu chanzo, uandishi Hadi uwasilishaji wa kitabu kabla ya kuanza kukisoma kitabu hicho (Napima uzito). Na Hiki ndicho nilichogundua kwa upande wa...
  10. JamiiForums Tanzania Feedback kutoka kwenye ule uzi wa OKX na give away zake

    Habari wana JF hope mnajiandaa vyema kabisa na pasaka wiki hii Wiki kadhaa zilizopita nilishare thread humu iliyokuwa inahusu blockchain and cyptocurrency especially kwenye kipengele cha crypto exchanges. Kwenye huo uzi nilielezea kuhusu zawadi au Give away zilizokuwa zinatolewa na exchange ya...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya kusaini maadili na kanuni zake. ACT Wazalendo watoa Mlio, kanuni zina mapungufu

    Daaaah... ACT nao eti wanatoa mlio kwa issue hii? === "Tumefanya uchambuzi wa kina wa Kanuni za Uchaguzi na Kanuni za Maadili, na tumeona mapungufu makubwa. Kwa mfano, Kanuni za Maadili zinawalazimisha vyama kusaini makubaliano yanayokiuka Katiba, na kuwanyima haki ya kushiriki uchaguzi. Hili...
  12. JamiiForums Tanzania Trump aanza kulainika katika vita vya tarrifs, aondoa bidhaa za marafiki zake katika tarrifs.

    Katika kile kinachohesabiwa na wengi kama kuanza kutepeta kwa Trump rais huyo wa Marekani ameondoa bidhaa za electronics katika vita vyake vya tarrifs na China. Hata hivyo Wamarekani wengi wamelalama wakidai sio sawa kujali bidhaa za electronics tu wakiamini inachangiwa na sababu za ukaribu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania CCM hatimaye arubaini zake zimekaribia

    Nasema hivi nikiwa hai,kwa mwenye akili anajua kabisa watu wanaenda kutema nyongo zao, Yaani ukweli wa uovu wao CCM sasa uanenda kuanikwa kweupe.Watu wanaenda kuungana kwa waziwazi kuanzia Viongozi wa dini mpaka mtu wa mwisho kabisa ambaye ni mkulima kwa ajili ya kulikabili hili dubwana, maana...
  14. JamiiForums Tanzania Ijue Sheria Ya Makosa Ya Uhaini Na Adhabu Zake

    Katika kulinda mamlaka na hadhi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa kuelewa na kuheshimu sheria zinazolenga kuzuia matendo ya usaliti na uhaini dhidi ya serikali. Sheria ya Uhaini Na. 2 ya mwaka 1970 imeweka bayana aina ya vitendo vinavyotafsiriwa kama uhaini na adhabu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Anayepambana na Lissu tumwambie tu Ukweli anapoteza muda wake na mali zake.

    Idadi ni ndefu sana. Kila aliyejaribu kupambana na Mh Tundu Lissu kwa njia mbali mbali na mbunu kali kali alishindwa. Huyu Lissu ni mtenda haki, amekuwa siku zote mpigania amani na haki ktk maisha yake yoote. Mwenyezi Mungu amemjalia baraka hii. Nayo inamlinda. Sihitaji kutaja list ya...
  16. JamiiForums Tanzania Milango ya Chuma toka China na ile ya Tanzania-Uimara na Changamoto zake

    Habari wanajukwaa. Ninaomba tupeane uzoefu na mawazo kuhusu aina hizi 2 za milango ya Chuma. Ipi ni bora ukilingamisha na mingine. Strength na weakness za kila milango. Inadumu kwa muda gani na reaction zake linapokuja swala la kutu. Uimara wa milango yenye na vitasa vyake. Pia tuangalie na...
  17. JamiiForums Tanzania Tekken Adventure 250, nataka kukichukua hiki chuma, zipi Weakness na Strengths zake

    Nimeweka picha
  18. JamiiForums Tanzania Swala la kujizima data kwenye kujitafuta lina faida na hasara zake

    Swala lakujizima data limeanzisha vitu vingi kwenye jamii yetu kwakutoa matunda kwa baadhi ya watu na kupoteza watu kwenye ramani. Hapa tunazungumzia style za utangazaji wa biashara, upambe (uchawa), influencer 😃, nk Upande wa faida: Kuna yule binti alikuwa anajipa vibe kwenye biashara yake...
  19. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

    Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
  20. JamiiForums Tanzania Kimenuka! Ali Kamwe apewa saa 24 amuombe radhi RC wa Tabora kwa kauli zake

    Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Tabora United Christina Mwagala amempa saa 24 Afisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe awe amemuomba radhi Mlezi wa Timu ya Warina asali wa Tabora, Tabora United. Hayo yamejiri baada ya Ali Kamwe kujibu kauli za Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambaye ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…