yuko

YUKO was a Ukrainian group that combines folk and contemporary music.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yuko wapi kitwanga

    Wakuu huyu jamaa kitwanga alikuwa mtu wa karibu sana na Magufuli nilitegemea angesamehewa maana pombe sikuona kama sababu Sana labda kama alikuwa na ishu nyingine za lugumi co.yuko wapi mwamba huyu
  2. F

    JamiiForums Tanzania Je, Hezbolah yuko wapi kumsaidia Boss wake Iran?

    Tumeona kwamba Syria alipovamiwa basi hezbolah hawakusita kuingia vitani kumsaidia swahiba wao Assad. vivo hivo Hamas walipoanza kupokea kichapo Hezbolah nao hawakubaki nyuma walianza kufyatua makombora kuendelea miji ya Israel wakisema kwamba hadi Israel atakapoacha kushambulia palestina na wao...
  3. JamiiForums Tanzania Sunday Demonte yuko huru

    mambo vipi leo nimekutana na sunday demonte am so excited kwa kweli nimekutana mtu niliekuwa namsoma kwenye magazeti na kupiganae story Nimcheshi mno ana story nyingi kuhusu hawa wanawake mastar wa bongo itoshekusema aliwala sana hawa mabongo movie kipindi hicho kilichonishangaza zaid umbile...
  4. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: je ni kweli waziri wa fedha yuko juu ya mteule wake?

    Wasalaam. Kuna ushahidi kwamba rais anamlalamikia waziri wa fedha kwa ubadhirifu badala ya kumchukulia hatua. Mawaziri wanamlalamikia waziri wa fedha badala ya kumwajibisha kwa mujibu wa sheria. Wabunge wanamlalamikia waziri wa fedha badala ya kumwajibisha kwa mujibbu wa kanuni za bunge. Hii...
  5. T

    JamiiForums Tanzania YUKO WAPI DOKTA MANGURUWE?

    Dokta Manguruwe alivuma sana na mradi wake wa nguruwe pale dodoma, na mara nyingi alionekana mtaani, mara kwenye mechi ya Simba akigawa fedha. Sasa hasikiki tena Yuko wapi dokta Manguruwe????
  6. A

    JamiiForums Tanzania Afisa wa Hamas Osama Hamdan: Mohammad Al Sinwar yuko hai

    Yule Echolima1 alisema Mohammed Al Sinwar kauliwa na Israel tulimuambia sio kila anacho sema Israel uwe unakiamini lakini huwa analeta habari hazina uhakika. Kiongozi wa Hamas kule Lebanon Osama Hamdan wamekanusha hayo na wanasema yuko hai.
  7. JamiiForums Tanzania Shehe Ponda yuko ACT Wazalendo kwa mission Maalumu hasa kipindi hiki, na hio mission kaianza jana.

    Shehe ponda pale Act Wazalendo kapelekwa kwa kazi maalumu ya ku convice watu wa imani washiriki uchaguzi, na hio kazi kaianza jana kupitia tamko la shura ya Maimam na ataendelea nayo kwa muda mrefu sana. Na kuanzia Jana na kuendlea tegemea Shehe Ponda kuwa na ukosoaji soft soft kwa Watawala...
  8. JamiiForums Tanzania Je, huyu askari yuko sahihi ama anataka nimpe rushwa tu?

    Habar wakuu Kuna siku mida ya saa tatu usiku nilipita sehemu nikavamiwa na vijana wakanikaba,kunitishia silaha na wakafanikiwa kuniibia simu pamoja na pesa kidogo,nikaenda kuripoti kituo Cha polisi nikafungue kesi na kupatiwa RB. Nikamtafuta mtuhumiwa wangu kimyakimya maana anajulikana na...
  9. JamiiForums Tanzania Nasubiri Tarehe 8 Kwa Shauku... Je, Gwajima Atasema Nini?

    Napenda kusema kwa sauti ya ndani: Ninasubiri kwa hamu siku baada ya tarehe 8 Juni. Kwa ajili ya kumalizika kwa mfungo wa maombi ya siku 7 yaliyoitishwa na Askofu Josephat Gwajima. Siku ya kwanza ya mfungo huo (tarehe 2 Juni), usiku, ilisikika video yake akisema: Tangu hapo: Hakujulikana tena...
  10. X

    JamiiForums Tanzania Elon Musk: "Trump yuko kwenye file la Epstein hii ndio sababu ya msingi haijawekwa hadharani."

    Naona ushosti kati ya Trump na Elon unaelekea kufa vibaya mno. Leo imekuwa siku yao ya kupeana vijembe kupitia kurasa zao za mitandao ya jamii
  11. T

    JamiiForums Tanzania Gwajima yuko sahihi na ninasimama nae

    Inatosha nasema tena inatosha. Ni mda sasa watanzania kuacha kushabikia ulimbukeni na kukemea hiki serekali inachokifanya. Democracy maana yake ni mtu kuwa na uhuru wa kutoa maoni bila kujali anatoa dhidi ya nani. Gwajima kuongea suala la utekaji hayo ni maoni yake na hajavunja sheria yoyote ya...
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu Gwajima yuko sahihi : Angalieni maajabu, Walomshambulia Padre KITIMA, mpaka leo Kuna kigugumizi Cha kuwapelekea Mahakamani

    Hadi hapa Chini TEC wanashangaa, inakuaje muda wote huo mpaka Sasa hamna kinachoendelea Mahakamani. https://x.com/HildaNewton21/status/1926620724153688282 Sasa ni ukweli uluo wazi, Genge linaloendesha Mauaji na Utekaji ni Genge la Rais . Sasa Polisi wakisema tunamkamata, tunampeleka Mahakaman...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ameniambia Yuko single

    Wadau salaam, Demu wangu niliyekaa nae kwa mwaka mmoja hivi nilimuuliza baada ya kuona anaweza kukaa online bila kunitafuta mpaka mimi nimtafute. Nilimuuliza kama ana mwanaume mwingine? Alinijibu hapana nipo single. Amekuwa akibadilika badilika. Leo akiamka vizuri atakuita mpenzi. Keshokutwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mungu?

    Ninajiuliza kila siku bila kupata jibu Yuko wapi Mungu, wakati watoto wanalala njaa? Yuko wapi Mungu, wakati watu wanapoteza wapendwa wao kwa magonjwa wasiyoweza kutibu? Mbona dunia imejaa vilio, lakini mbingu zimejaa kimya? Wanasema Mungu ni mwenye huruma, lakini mateso haya yanaongezeka kila...
  15. JamiiForums Tanzania Waungwana, Mzee Wangu na Swahiba Wangu Steven Wassira Yuko Wapi? Mbona Kimya?

    Nilimuonya Swahiba wangu Babu Steven Wassira wanakupoza hao CCM kukuingiza katika Marathon na mtu kama John Heche "Kipchoge" wa kizazi hiki ila hakuthamini maana anawaamini Chama chakavu ambao hata akifia kwenye race watamtunuku bendera robo mlingoti na kumsahau. Sasa anayejua yuko wapi...
  16. JamiiForums Tanzania Uingereza sio wajinga

    Ndg kwa ufupi niliachaga kitambo mambo ya siasa za nchi hii. Kwa nini. 1. Siasa ni kwa ajili ya viongozi na familia zao. 2. Siasa ni kwa ajili ya matajiri vs wanasiasa. 3. Maskini kaa sibiri mwisho wa uhai wako. 4. Waliotimkia majuu wanabahati maana wameepuka dhahma. 5. Ahadi nyingi za wanasiasa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mzizimkavu?

    Mda mrefu sana sijamuona huyu mzee humu ndani. Alikuwa mtaalamu sana wa mambo ya elimu ya gizani yeye na pacha wake mshana jr, ila kwa sasa sijui yuko wapi. Je kabadili id au naye alipewa lift na ile bombadia ya covid-19.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Yuko Wapi Dkt. W. Slaa?

    Ndio, sijamsikia kwa muda mrefu Sasa. Kipindi tunachopitia, mazingira tuliyomo, matukio yanayotokea yeye Yuko wapi?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Maono: Tundu Lissu yuko jela ili awe salama na kisha aje achukue uongozi wa nchi hii kutoka jela

    Sina mengi ya kusema ila ukweli ndio huo na hii ni kazi ya Mungu (NATURE). Angebki uraiani, ingekuwa ni hatari zaidi kwake . Kwahiyo, NATURE imemtafutia sehemu salama ingawa tunaona kama anateseka. Pia, kuwepo kwake ndani, kunachochea hamasa ya mabadiliko. Kwa kifupi, yuko jela kwasababu kuu...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Golugwa: Hilda Newton bado hajapatikana, Tunachofahamu alichukuliwa na polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema mpaka kufikia hivi sasa hakina taarifa za alipo mjumbe wa Baraza Kuu la chama hicho Hilda Newton baada ya kukamatwa siku ya jana akiwa eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar Es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari leo April 25...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…