young africans

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium.
Nicknamed "Timu ya Wananchi"
utaputapu (People's Club) or "Yanga" (Young Boys) , Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 27 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

    Updates Half Time Yanga 0-0 Marumo Goal 68" Aziz Ki 70" Yanga 1-0 Marumo Goal 92" Bernard Morison 94" Yanga 2-0 Marumo FT: Yanga 2-0 Marumo Mabingwa wa Tanzania, Dar es Salaam Young Africans maarufu kama Yanga, jioni ya leo watashuka dimbani uwanja wa Benjamini Mkapa kupambana na timu...
  2. mwarabu feki

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Singida BS 0 - 2 Yanga S.C | NBC Premier League | Liti Stadium| 04.05.2023

    Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Tanzania Young Africans Leo wanajitupa dimbani kumenyana na Singida Big Stars katika mchezo wa wa ligi ya NBC.. Ikumbukwe katika mchezo wa awali Yanga waliibuka na ushindi wa magoli 4-1 Je nani ataibuka mshindi? 00" Mpira umeanza 03" Mzize anapiga shuti...
  3. MwananchiOG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Young Africans SC 5-0 Kagera Sugar | Ligi Kuu Bara | Azam Complex | 11-04-2023

    Karibuni katika mtanange mwingine wa NBC Premier League kati ya mabingwa watetezi Young Africans SC dhidi ya Kagera Sugar FC katika dimba la Estadio de Azam Complex muda wa saa moja kamili usiku Kikosi cha Young Africans 👇👇👇 ▪️Vikosi vinaingia uwanjani hapa ▪️0' Mpira unaanza ▪️03' Mayele...
  4. Kilimbatzz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa updates za Rivers United vs Dar es Salaam Young Africans

    Wakati tukisubiria mbugi la kisasi kati ya miamba ya Nigeria na Mabingwa wa kihistoria walioshindikanika hapa Bongo, Nitakuwa nakuletea on hand updates za timu hizi mbili ili ujue kiwango cha mpira cha kila mmoja 📌1)Dar Young Africans walicheza Jana mechi ya Kombe la Azam na kuibuka na ushindi...
  5. Kilimbatzz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpinzani wa The Super Dar es Salaam Young Africans kujulikana kesho

    Timu zilizoingia robo fainali kombe la CAF CC ni: 1)Asec Mimosa-Cote d'Ivore 2)Rivers United-Nigeria 3)Marumo Gallants-South Africa 4)Young Africans-Tanzania 5)AS Far Club-Morocco 6)Pyramids-Egypt 7)US Monastrienne-Tunisia 8)USM Alger-Algeria Kuna timu nne za Juu ya Jangwa la Sahara na...
  6. Kilimbatzz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kutinga robo fainali kwa kishindo, timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi yao zinahaha kumkwepa

    Nimepenyezewa za chini ya kapeti. Zile timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi yao zinapishana pale HQ za CAF. Lengo lao eti CAF ichengeshe draw Ili wasikutane na miamba hii ya hapa Bongoland. Kuna wengine mpaka wakaamua kuwaconsult maofisa na mashabiki wa Ile timu iliyopigwa nje ndani...
  7. Wakili wa shetani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sema jina Young Africans limekaa unyama sana

    Katika timu zote kwenye mashindano ya CAF, jina la Young Africans ndiyo tamu zaidi.
  8. Greatest Of All Time

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

    Ni Jumapili tulivu, wapenda kandanda tunakutana tena hapa jukwaani kushuhudia mechi za Kombe la Shirikisho Afrika. Leo katika Kundi D, AS Real Bamako ya Mali inawakaribisha wawakilishi wa Tanzania, Young Africans SC. Ikumbukwe AS Real Bamako, bado inatafuta ushindi wake wa kwanza, mara baada...
  9. Mchochezi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023

    Young Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika. Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga wanapaswa washinde ili kulinda heshima ya nchi. Mazembe wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ktk...
  10. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 𝗙𝗨𝗟𝗟 𝗧𝗜𝗠𝗘: Mapinduzi cup: Yanga 1-0 KMKM SC

    Mechi ngumu sana lakini Wananchi wamepambana mpaka mwisho, KMKM ni wazuri sana chini ya Kocha Hemed Morocco lakini hawakuweza kuwa wababe mbele ya Wananchi, alama tatu kwao. Sio timu tu kutoka Zanzibar, Ni KMKM, mabingwa wa ligi ya Zanzibar tuliowashinda tena kwa kikosi cha pili, hii ndio maana...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

    FULL TIME: Yanga inafanikiwa kufuzu Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 89' Bakari Mwamnyeto anaingia anatoka Morrison 88' Wenyeji wanaonekana kama wamkata tamaa, wanapata kona 80' Yanga wameanza kucheza vizuri zaidi, wanamiliki mpira Azizi Ki...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kuionya Young Africans makundi ya CAFCC

    Natamani kiongozi mmoja amshike bega mtoto pendwa mwana Kalala amwambie kuwa katika mechi hii inahitajika nafasi moja ili kulipata goli moja, natamani amwambie kuwa pindi azam tv na king’amuzi chao bora watakapotoa takwimu za mwisho na tukaona upande wa njano na kijani una on target 3 basi...
  13. aloma_matei7

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba tumjadili Aziz Ki

    Hivi huyu mtu inakuwaje mpaka sasa hachezi ulaya wakati kuna viande kibao kule?
  14. Dong Jin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Young Africans (Yanga) SC to the world

    Kila pembe ya dunia imeshuhudia hili tukio na kulizungumzia kwa ukubwa wake... Nisiwe na maneno mengi maana maneno bila uthibitisho ni porojo tu. Hebu chekini hapa. Hakika hii ndio klabu kubwa Afrika mashariki na kati, pengine Africa kwa ujumla.... Kongore wananchi..... 💪💪💪
  15. Little brain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Young Africans 4-0 Mbeya kwanza | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

    Mabao ya Mayele, Said Ntibanzokiza ‘Saido’ na Dickson Ambundo yalitosha kuipeleka mapumziko Yanga ikiwa kifua mbele kwa mabao 3-0. ⚽️' 34, F Mayele ⚽️' 39, S Ntibazonkiza ⚽️' 44' D Ambundo. Yanga first eleven Diarra Job Bangala Farid kibwana Sureboy Aucho Saido Moloko Ambundo Mayele...
  16. Daktari wa Manchester

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Happy independence Day to young Africans fans

    Habari za asubuhi Natumaini wote tutakuwa wazima wa afya kabisa kama Kuna mtu anaumwa na mtakia quick recovery katika tatizo Nawatakia happy independence Day 🇹🇿 kwa mana yanga wote tukutane tarehe 11
  17. demigod

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Cha Kujifunza Mwananchi Kutoka Port Harcoat - Rivers United 1 - 0 Young Africans SC

    1. Licha ya usajii mzuri hatukuwa tumeyachukulia serious michuano ya CAF. 2. Mafanikio ya Simba SC ya msimu uliopita yalifanya ionekane ni rahisi zaidi kuweka jitihada zisizo thabiti kufika mbali kwenye michuano ya CAF. 3. Pilika za usajili zilifanya tupoteze focus kwenye kuhakikisha ushiriki...
  18. Mozu1991

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rivers United vs Young Africans(1-0) | CAFCL

    Habarin wadau, hivi hi mechi kati ya River United na Yanga itaoneshwa chanel gani? ======= Mechi kamishna Sulley Camara kutoka Sierra Leone amewaruhusu Yanga wacheze wote kwa kuwa hakuna cheti kuhalalisha kuwa wamekutwa na corona. Mpira umeanza kati ya Rivers United na Yanga 28' Rivers...
  19. Wang Shu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Young Africans yazindua jezi mpya msimu wa 2021/2022

    Tarehe 24 msemaji wa klabu ya Yanga Haji Sande Manara alitoa taarifa katika hafla yake yakutambulishwa kama msemaji wa klabu hiyo,kuwa tarehe 25 mwezi huu{leo} saa tano asubuhi watazindua jezi za msimu mpya na hii ni maalum kuelelea kilele ya siku ya mwananchi itakayo fanyika huko Zanzibar...
  20. LIKUD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Karibu Young Africans Haji Sunday

    Simba watasema hili dongo kwa Mwamedi
Back
Top Bottom