FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

Protect

Member
Apr 4, 2020
94
299
Updates

Half Time Yanga 0-0 Marumo

Goal

68" Aziz Ki

70" Yanga 1-0 Marumo

Goal

92" Bernard Morison

94" Yanga 2-0 Marumo

FT: Yanga 2-0 Marumo

Mabingwa wa Tanzania, Dar es Salaam Young Africans maarufu kama Yanga, jioni ya leo watashuka dimbani uwanja wa Benjamini Mkapa kupambana na timu ya Marumo Gallants ya kutoka Afrika ya Kusini katika mechi ya nusu fainali ya kombe la Shirikisho hatua ya kwanza

Mechi hiyo itayochezwa saa kumi ya jioni, itakuwa ni muhimu kwa Yanga kupata ushindi mzuri kabla ya kwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili ya mechi ya marudiano

Nitakuwa nawe katika kufuatilia na kuhabarisha kile kitakachokuwa kinajiri kwenye dimba la Mkapa jioni hiyo

Mungu Ibariki Yanga, Mungu ibariki Tanzania

Screenshot_20230510_131010_Instagram.jpg

FvxbgK0XgAU3gjf.jpg
 
WANANCHIIIIIII LEO NI SIKU AMBAYO TUNAENDA KUUONESHA ULIMWENGU KWAMBA YANGA INA UKUBWA KIASI GANI.MAKOLO

WAMEJARIBU KUIKUZA MARUMO KWA KILA NAMNA ILA LEO TUTAENDA KUWAONESHA YANGA NI NANI.
EWE MWANANCHI TEMBEA KIFUA MBELE KWANI LEO NDIO TUNAENDA KUINGIA FAINALI RASMI.
LEO MADUNDUKA YATALILIA CHOONI.
 
Kila la kheri Timu ya Wananchi.

Tunajua ni game ngumu sana ila tunaamini uwezo tunao na Kikosi bora pia tunacho katika kupata matokeo yaliyo mazuri kwenye hizi dakika 90 za kwanza.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Back
Top Bottom