yesu

  1. JamiiForums Tanzania Yesu ambaye ndiye Role Model wetu Wanaharakati naye alipewa Kesi ya Kisiasa kama Lissu

    Kuibuka kwa yesu kristo kulileta matishio makuu mawili moja ikiwa kwa utawala wa Roma na pili ikikuwa kwa dini ya kiyahudi. Kwamba Yesu wakati anazaliwa alikuta utawala wa Roma ndio ulikuwa unatawala dunia na hata wafalme na magavana kutoka Israel waliteuliwa na kaisari kutoka Roma. Sasa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nimetengwa kanisani baada ya kuomba account namba ya Yesu ama Mungu nimuwekee Zaka zake, fungu la kumi. Wanalazimisha wao ndio wampokelee Mungu hela

    Kanisani walikuwa wanasisitiza sana kila muumini lazima atoe fungu la kumi, maana ni la Mungu, binafsi nikawa tayari kumtolea mungu hela zake hizo za fungu la kumi ila kwa kumpatia Mungu mwenyewe ili kuepusha watu wa kati kumlia Mungu hela zake. hivyo nikaomba account namba ya Mungu ama namba...
  3. JamiiForums Tanzania Nimewasambaratisha majambazi, usiku, kwa Jina la Yesu!

    Ndugu zangu, hii ni habari ya kweli kabisa; sio chai! Uongo mimi nauchukia kama ukoma! Ilikuwa around saa saba usiku, nilikuwa safarini nikiendesha gari langu, kuelekea nyumbani. Barabara ilikuwa tulivu, ila haikuwa na taa za barabarani, hivyo giza lilitanda kila upande wa barabara. Sikujua...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Wakati wa vita ya I&II ya dunia Yesu na Muhamadi walikuwa upande upi wa vita hiyo?

    Habarini, Kama Yesu na Muhamadi ni uhalisia basi lazima walishiriki vita ya I&II ya dunia,sasa kwanini Mungu alikubali Waafrika ndiyo wakapigane vita isiyo yao? Walikuwa wapi??
  5. JamiiForums Tanzania Shetani ananifahamu, na Yesu anamjua, wewe je, shetani anakufahamu?

    Mapepo, mashetani na wachawi wananifahamu sana kuwa nimeokoka na sina mchezo na dhambi. Wiki iliyopita, walijaribu kunishambulia kama walivyomfanyia Ayubu. Mdomo wangu ulivimba ghafla ukawa mwekundu. Kama kawaida, kimbilio langu la kwanza ni Jina la Yesu. Niliukemea uvimbe huo kwa Jina la...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Hizi ni fikira chanya za manabii/mitume wa Kiafrika wasiokubalika nyumbani kwao AFRIKA,tuziweke hapa:-

    BOB MARLEY:- "How can you be sitting there Telling me that you care That you care? When every time I look around, The people suffer in the suffering In every way, in everywhere Say, na-na-na-na-na (na-na, na-na!) We're the survivors Yes, the Black survivors" WAKE UP AFRIKA!
  7. JamiiForums Tanzania Siri Imefichuka! Yesu Kristo sio Nabii Isa

    Kuna watu wanafundisha kwamba jina jingine la Yesu ni Nabii Isa. Ukweli ni kwamba kuna tofauti kubwa kati ya Yesu Kristo na Nabii Isa. Yesu Kristo ana sifa kuu zifuatazo: Ni Mwana wa Mungu na pia ni Mungu. Katika Mt 16:15-17 – Yesu alimwuliza Petro, "Nanyi mwanisema mimi kuwa ni nani?" Petro...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje mpaka Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenzie?

    Inawezeka vp Yesu afe kwaajili ya Waafrika na siyo kwaajili ya wazungu wenye vinasaba naye? Kwa wema upi hasaaa ambao yesu tulimfanyia hadi afe kwaajili yetu,hapa kina walakini na yatupasa tuutafute ukweli kwa gharama zozote zile kawa w walivyotumia gharama zao kuwalisha Wafia dini ujinga hiu...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kwa maovu waliyotendewa WAAFRIKA kutoka kwa warabu na wazungu kupitia Yesu na Muhamad naweza sema hawa ndiyo SHETANI WENYEWE

    Habarini za usiku, Je, inawezekana vipi kuwe na shitani mwingine zaidi ya Yesu na Muhamad iwapo hawa ndiyo walitumika na wazungu na warabu kuwafanyia WAAFRIKA mabaya ambayo ndiyo DHAMBI zenyewe? Yaani mwarabu amtumie muhamad kuja Afrika kuwakamata Waafrika walioumbwa na Mungu na kwenda kuwauza...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Siku makanisa yakijaa waumini matajiri na kuongozwa na nabii mmoja aliye masikini basi yesu atakuwa alikuwepo kweli!!

    Siku ikitokea waumini wote wa mwamposa wakawa matajiri kumshinda mwamposa basi itakuwa ni ishara ya wazi kuwa yesu alokuwepo na anafanya kazi. Kinyume na hapo ni ujinga tu ma hadithi za kusadikika!!
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mwaafrika unasujudia makaburi ya Yesu na Muhamadi na kuacha makaburi ya bibi na babu zako ulio na vinasaba nao

    Habarini, Hili nalo linafikirisha sana MWAFRIKA,unaenda kusujudia kabuli la yesu na muhamadi na kuacha kusujudia makaburi ya WAZAZI/WAASISI ambao ni BIBI na BABU zako yanayokuzunguka na ulio na vinasaba nao ,unaakili wewe kweli? Yaani hata kitasafusha kwa kuyapalilia tu umeshindwa ila...
  12. JamiiForums Tanzania YESU ni jina la uzima, uponyaji, na ushindi juu ya giza

    JINA LA YESU LITUKUZWE WATOTO WA MUNGU! Watu wa Mungu walio okoka na ambao bado hawajaokoka! Leo ngoja tuzungumze juu ya Habari Njema ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai! Leo natangaza habari za wokovu! Leo natangaza jina lipitalo majina yote jina la YESU KRISTO! JINA LA YESU LINA NGUVU...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kumwamini Mungu bila kumwamini Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach, ni kupoteza muda,moto unakusubiri

    Salaam, Shalom! Unatenda mema, unajitunza, unahurumia maskini, na kutenda mazuri duniani na unamwamini Mungu, Kisha unamkataa Yesu, huko ni kupoteza muda, Hizi ni sababu kwanini kumwamini Mungu na kutoamini kuwa Yesu ndiye Mungu mmoja aliyekuja katika mwili wa Mwanadamu ni kupoteza muda; 1...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kama Yesu aliwakomboa watu wake na atarudi kuwachukua je viumbe wengine wasiyomwabudu walikombolewa na nani na watachukuliwa na nani?

    Habari, Ni wazi waumini wengi wa Kikristo wanaamini Yesu atarudi na kuwachukua ke viumbe wengine nyani,kuku,bata,simba,nk pamoja na wasiyo wakristo walikombolewa na nani na watachukuliwa na nani au watabaki duniani?
  15. JamiiForums Tanzania Waislamu wanaamini Yesu wao atakuja kuhukumu binadamu, je atafanya hivyo kama nani na mamlaka yapi

    Huyu Yesu wa waislamu huwa wanasema alikua mtu wa kawaida tu bila uungu wowote na kwamba ni nabii, hao hao kwenye kitabu chao wanasema Yesu wao huyo atakuja kuhukumu binadamu, kama tujuavyo dunia ni kubwa ina mabilioni ya watu, yaani nabii mmoja atahukumu vipi hawa mabilioni ya watu au hata...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Hoja juu ya Biblia Agano Jipya (2): Kwanini Yesu alipofufuka hakujionyesha kwa makuhani na mafarisayo kuthibitisha mfano wa nabii Yona?

    Makuhani na mafarisayo walimtaka Yesu awake ishara akawaambia kama Yona alivyokuwa kwenye tumbo la samaki siku tatu kisha akatoka basi na yeye atakuwa kaburini siku tatu na kutoka akiwa mzima tena. Lakini alipofufuka alikuwa akiishi maisha ya kificho. Aghalabu tunaambiwa takribani aliwatokea...
  17. JamiiForums Tanzania Yajue mambo mazito yatakayotokea wakati Yesu atakapokuja

    Heshima zenu wakuu. Leo nawaletea mpangilio(timeline) au mtiririko wa mambo mazito sana yatakayotokea Yesu atakapokuja. Maandalizi yanayofanyika nchini Israeli, ya kujenga hekalu la tatu, ni ushahidi wa wazi kuwa Yesu amekaribia kuja...
  18. JamiiForums Tanzania Kitabu cha Nabii Amosi

    Je kitabu Cha nabii Amosi kimejikita hasa kwenye Nini na uhusiano wake na maisha ya jamii na kanisa la leo. Tunaweza tukashare idea kwa yeyote anayejua na kufahamu.
  19. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Mwanasayansi agundua ilipo Damu ya Yesu

    Ron Wyatt ambaye ni Mtafiti na mchimbaji wa mabaki ya kale, , amedai kufanya ugunduzi wa kupata damu ya Yesu Kristo chini ya eneo la Golgotha, mahali ambapo Yesu alisulubiwa. Kwa mujibu wa Wyatt Anasema tetemeko la ardhi lililotokea wakati wa kifo cha Yesu Kristo lilisababisha Ufa kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania INRI= Yesu mfalme wa wayahudi

    Maandishi haya, I.N.R.I., yanatokana na Kilatini: Iesus = Yesu Nazarenus = Mnazareti Rex = Mfalme Iudaeorum = Wayahudi ambayo maana yake ni "Yesu wa Nazareti, Mfalme wa Wayahudi." Maneno haya yaliandikwa kwenye msalaba wa Yesu kwa amri ya Pontio Pilato, kama ilivyoelezwa katika Injili ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…